Wewe umefiwa na ndugu wangapi? Unajua unaposema kitu jaribu kuwa hata umeeshuhudia.
Madagascar ilikuja na option ya dawa moja tu. Na sijui kama kweli ingetosha kwa kila mtu kuipata na hapo ndipo walipobugi. Hata sisi watanzania tuongeze uzalishaji wa tangawizi na vitunguu na malimao la sivyo nasi itakuwa ni shida kidogo