Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

pana makubwa
 
Maelezo mengi ya nini!
Nilitaka unifafanulie tu"kuuwa mtu live" kukoje?
Huko kwingine hata sihusiki kabisa
 
Cheti feki kwenye Moja na mbili
 
Mbumbumbu wa vyeti feki bhana
 
Mbumbumbu wa cheti feki kwenye Moja na mbili 🤣🤣🤣🤣
 
Nyie vyeti fake hamjui chochote, acheni kujifurahisha.
 
Danger!
 
Unajua Mimi nimeshangaa daima jiñsi Waafrika wanavyowaadhibu watu sampuli ya Magufuli, ni ngumu kwa bara kuendelea ikiwa watu wake hawatafuti chanzo Cha tatizo na badala yake Wanashughulika na matokeo.

Magufuli alikuwa ni mtu wa kushikiliwa na kupewa msaada wa kiroho na hiyo ingetosha kufanya Moja ya viongozi Bora sana.

Sasa tazama kile waTanzania wamemchora na wanaendelea kumchora.
 
Pia huoaswi kuamini alichosema hadi uthibitishe kwa ushahidi ambayo hata huyo kabende hajatoa
 
Anayeamini huo ujinga wa kabendera ni kichaa na anatakiwa kupelekwa hospitali ya vichaa milembe Dodoma.
Kwani Ben Saa nane yuko wapi na nani alipaswa kujua. Nini ilikuw role ya serikali kulinda watu. Impliedly tu jpm ndo alimuua ndo mana hata vyombo vya dola viliogopa kufanya uchinguzi. Mbona akiki huna?
 
Huyu mtu alikuwa muuaji tena ana roho ngumu
 
Magufuli au aliyekuwa makamu wake akamatwe mara moja, huu ni ushenzi mkubwa sana kwa wananchi.
 
Wewe ni wa mwisho kwenye mengi sio hili tu!
 
Watu wakiambiwa that that guy was a murderer, with psychiatric problems wanabisha!
 
AKIKATAA KUA HAKUTAKA KUBAKWA KABENDERA ATASEMAJE? UNAFIKIRI SSH ANAWEZA KUKUBALI UJINGA KAMA HUO ?KABENDELA DISH LIMEYUMBA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…