Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Lile shetani la Chato lilikuwa hatari sana
 
mengine semeni yote ila mm kusema ukwel kiingereza cha kabendera hakijanibariki kabsaaa
 
Huna hoja zaidi ya kufanyakile kile unachoshauri wenzako wasifanye. Mwache Kabendera ajitetee mwenywe kw akuleta ushahidi. Vinginevyo unatupotezea muda au kutafuta kiki tu. kwa kuanzisha uzi huu
Ajitetee kwan kashtakiwa wapi na nani!!
 
Naona umejaa a lot of skit.Jibu hoja wacha kukimbilia matusi na metaphor zisizo na kichwa wala miguu.Umeulizwa swali hujajibu unakimbilia personal attack.Au uliandika usichokijua?
 
Nini kinachokukataza usikubali kwa mtu ambaye alijitangaza ni lunatic na ana vyeti(classified lunatic) vya Milembe Hotels upande wa suite?

kinachonifanya nisikubali ni common sense ya kawaida tu, simtetei Magufuli au yoyote yule, lkn hili hali make sense hata kidogo, Magufuli mpaka anakufa alikuwa na maadui nje na ndani ya nchi, sababu ya corona politics zake, iweje amuuwe mtu tena kwa risasi halafu sijui bendera ajue lkn secret services zote za wazungu zisijue?
 
Burden of proof lies with the claimant.Kabendera amedai lililotokea hivyo anawajibika kuleta ushahidi wa hilo analodai limetokea.
Nani wa kumshtaki go ili atoe huo ushahidi?
 
Hii ya kubaka ni kweli imo kwenye kitabu au ni mfano?
 
USHAURI.
Endelea kubishana na mishale ya saa.
 
Naona umejaa a lot of skit.Jibu hoja wacha kukimbilia matusi na metaphor zisizo na kichwa wala miguu.Umeulizwa swali hujajibu unakimbilia personal attack.Au uliandika usichokijua?
Free your mind, utaona na kuelewa mengi sana!
 

Katika Maaandiko yaliyo andikwa kuhusiana na hizi tuhuma Naona hili linafikirisha kwa kiasi chake.
 
Nadhani hhuelewi haya mambo. Jumuia ya Kimataifa pamoja na kujua mauaji ya Makonda, zaidi ya kumzuia kwenda USA, ilifanya nini? Mboka Putin alikuwa anaua, amefanywa nini? Kim Ill wa North Korea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…