Madai kwamba Magufuli alimpiga Ben Saanane risasi pale Ikulu isichukiliwe kihisia; hizi hapa ni sababu za msingi kuamini kwamba ni ukweli

Ilikuwaje CCM wakampitisha kugombea urais na kuwa Rais huku wakijua kichwa chake si kizuri ana matatizo? au tuseme aliathiriwa akili na tatizo la afya alilokuwa nalo, ugonjwa wa moyo? Siku nyingine ccm iwe inawafanyia checkup examination wagombea wake wote wanaowania nafasi mbalimbali kama hawana matatizo ya kiafya na akili ili kuepuka haya
 
Suala la afya ya mtu si lako, ni la Mungu.
 
Kazi ya kuhakikisha yale amesema niya kwake. sio sisi
Haiingii akili eti ampige risasi wakati watu maalum wa kupiga hiyo risasi anao wamemzunguka labda uniambia alimtumia kama taegget ya kujifunzia
Huelewi. Mtu mwingine angempiga angeweza kuja kushitakiwa. Raisi wa Tanzania ana kinga ya kutoshitakiwa hata akiua!

Licha ya hayo, ni wazi alimpiga risasi kwa hasira. Kichaa hapewi rungu atembee nalo!
 
Wewe ni mjinga mkubwa kabisa
 
Heee. Kazi ipo.
 
Duuh wakati magu akiwa hai huyo chizi alikuwa wapi kuyasema mapema
 
Aisee huu mwaka tutasikia mengi, just imagine leo ndio kwanza tupo tarehe 2.
 
Nilishangaa sana siku Magufuli alipojitokeza wazi na kuutangazia umma kuwa yeye anamiliki pisto 2, na akaenda kuziandikisha polisi baada ya tangazo la waziri wa mambo ya ndani, halafu yeye akaona ni ufahari.

Kusema kuwa marehemu kuna wakati akili yake ilikuwa inakuwa sivyo, yeye mwenyewe aliwahi kusema, mke wake aliwahi kusema, na watu wa juu ndani ya TISS waliwahi kusema. Kwa hiyo haishangazi kama alifanya hivyo. Mgonjwa wa akili anaweza kufanya hata yasiyoweza kufikirika.

RIP Ben Sanane.
 
Huelewi. Mtu mwingine angempiga angeweza kuja kushitakiwa. Raisi wa Tanzania ana kinga ya kutoshitakiwa hata akiua!

Licha ya hayo, ni wazi alimpiga risasi kwa hasira. Kichaa hapewi rungu atembee nalo!
Uko serious kwamba wanaotembea na silaha kwenye misafara hawaruhsiwi kuua watashtakiwa?
 
Hatuna utaratibu wa kuwapima wagombea uraisi akili. Hivyo inawezekna kabisa mtu asie sawa kichwani kupata nafasi ya uraisi Tanzania - na hata USA ilishawahi kutokea. Kwa Magufuli, kichaa alipewa rungu!
 
Swali la kujiuliza ni moja Tu

Je Ben saa nane alikuwa na madhara makubwa Kwa serikali?

Je beni saa nane angeweza kupindua utawala wa magufuli?

Je Ben saa nane alikuwa na madhara yoyote Kwa Rais Personal?
Hili si swali moja boss.
 
Unapotoa tuhuma nzito kama hizi unalazimika kuweka credible evidence. Sasa ushahidi wa Kabendera ni maneno ya kuambiwa na "maofisa wa serikali na watu kutoka vyama vya upinzani" Sasa tujiulize, ni mtu gani wa upinzani angeweza kuwepo wakati wa tukio hapo Ikulu?
 
Nimekuelewa kumbe wewe ni ccm ila ni mkweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…