Nsanzagee
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 2,209
- 4,769
Inaweza kuwa hoja yangu ikaibua hisia tofauti tofauti
Lakini najaribu kurudisha akili zangu nyuma,
Hoja na malalamiko kuhusu muungano wetu ni kama zimekuwa zikiibuka pindi tunapokuwa na viongozi wapole wapole!
Mbona haikuwa hivi kwa Rais Chuma cha pua Hayati John Magufuli
Hii inamaanisha, nchi yetu siku zote itahitaji viongozi wakali mithili ya dikiteta