Well, he is right in his own rights.
But I can tell you otherwise, and that is, human brain is faster than computer in decision making because we human make decisions using heuristic methods. But this does not guarantee the right decision as you call it 'Best'.
A heuristic is a mental shortcut that allows people to solve problems and make judgments quickly and efficiently. This shorten decision making time and allow people to function without constantly
stopping to think about their next course of action. Heuristics are helpful in many situations,
but they can also lead to cognitive biases. [ see
Source by Kendra Cherry of www.verywellmind.com ]
The key word there is 'BIAS'!
Most of the time a human being is bias because of the emotions, he will be affected by past experiences from what he has seen or heard so many times in the past, which is different from computer algorithms though they may be of biased mathematical models. It's hard to find a computer program which is biased like humans, stereotype and prejudiced.
Kwa mfano wewe ni mmasai, myakyusa, mchagga, au msukuma ambae ulipokuwa unakuwa umeambiwa wahaya, wangoni na wapare ni malaya, na makabila ya pwani yetu ni wavivu.
Kisha wewe ungepewa kazi na waingereza ya kutoa visa za watanzania kwenda UK, lakini ukapewa shariti usiwape visa watu ambao asili yao ni wamalaya au wavivu. Narudia hapo 'watu ambao asili yao ni malaya au wavivu' sio 'asili ya kabila yao ni malaya na wavivu'.
Basi kwa akili ya kibinadamu kutokana na historia uliyosikia na mitazamo tu ya ndugu na rafiki utanzaa kujipunguzia kazi ya kutumia jitihada kubwa kwa kila mtu anaye omba visa bali utaelekeza nguvu na umakini zaidi kuwachunguza waombaji wa toka makabila niliyotaja hapo juu yenye kutuhumiwa hizo sifa.
Na kwa hakika utaona kweli una wapata wengi toka makabila hayo, sababu ndio umejipa muda zaidi kuwafuatilia hao. lakini kama usingekuwa na uvivu wa kibinadamu wa kujaribu kutafuta njia ya mkato ungelimchunguza kila mtu kwa umakini bila kujali kabila na pengine ungekuta makabila mengine yangetoa watu wenye sifa hizo wengi kuliko wahisiwa.
Na wengine hapo wa maqkabila mengine ungewanyima visa sababu tu ya muonekano wao hauja upenda, wanaonekana wajuaji sana, au wanajifanya wasomi kuliko wewe, wana kipato kikubwa kuliko ndugu zako vile unawaonea wivu, au walikunyima kitu flani au mligombea jambo flani lisilo husiana na kazi yako au vigezo vya kuwanyima visa.
Mfano mwingine ni rahisi polisi wa Kibiti au Stakishari kumshambulia mtu alie vaa kazu, jacket, na kafuga ndevu ambae anawajia kwa mbele kwa kasi huku mkono mmoja kaficha kwenye nguo kuliko mtu ambae ameshika msalaba hana ndevu, hajavaa suruali ndefu inayo mruka(kipedo) lakini kavaa kanzu yenye msalaba.
Polisi watafanya mahamuzi hayo sababu ya past experience ambayo imejenga emotion flani ambayo ni biased, ni stereotype, na prejudice kwa watu wa dini flani sababu namna media kubwa duniani zinavyo tangaza sana matukio yanayo fanywa na baadhi ya watu hao, huku hawaweki sana matukio kama hayo yanayo fanywa Norway au Sweden, au UK au vikundi vya white supremacy kama KK vya Marekani. Huwa hawaongelei sana matukio.
Na ndivyo inavyo tokea mara nyingi watu weusi kuuwawa na askari polisi waupe huko marekani, au mtu mweusi anavyo fanyiwa sana upekuzi Ulaya kuliko mtu mweupe. Ni bias decisions lakini sio watu weusi wote wahalifu na wakorofi kihivyo.
Mfano mwingine ilitokea Marekani kulikuwa na afisa flani wa polisi aliagiza watu wenye asili ya Ulaya na Asia wengi wasichufatiliwe sana na wala wasifunguliwe mashitaka na kuwekwa rumande kama wakiruka vizingiti vya mageti ya kulipia usafiri wa treni na akaagiza askari wahakikishe wana waangalia zaidi watu weusi na walatino na ikitokea wameruka lazima wawafungulie mashitaka na kuwaweka ndani.
Lakini kama hapo ingetegemewa system ya computer kama AI itumie kamera tu, basi wote bila kujali race wangefunguliwa mashitaka na takwimu zingekuwa tofauti ya sasa wanapotegemea binadamu. Hapa utaona computer ni bora kuliko binadamu.
Sijui kama unanielewa ninacho kisema?
Things would have been different if an AI system would have been given the same job.
CC:
Chenchele Mayu ROBERTO 20 mgodi kali linux Kuchwizzy