Madai: Robot Sophia anataka awe na familia yake na ajira kama binadamu

The current artificial intelligence (AI) is not even near to where it was intended to be (to the level of human intelligence) instead it is a sort of automated computer programs that makes the system autonomous.

1000's Python or C if..else statements are enough to make any system behave autonomous. If you hear this, take this, answer this...etc.

They are scripted by engineers, hamna kitu hapo, it's programming on chip/processor trick

Ubongo Vs Processor ??

1. Ubongo wetu una kama neurones billion100 , tech ya processor mpaka sasa zinauwezo kubeba hadi billions 100 za transistors
2. Transistor moja ina miguu 3, neurone moja ina point hata 10,000
3. Ubongo Una synapses/info signaling trillion 100, complex ya neurones wiring katika ubongo inasafirisha hizi synapses in short time, itahitaji transistors zaidi ya quadrillions kurusha hizo signal

______
Neurone moja inafanya wiring 10, 000 na kusafiriaha info's trillion 100
Transistor moja inafanya terminal wiring 3, kusafiriaha signal 1 at a time that means roughly more of 3,300 of transistors as one neurone?? and 330 trillions of transistors in a single chip/CPU???

Unataka kusema nini??

Software intelligent maneuvebillity is limited to the processing capability of the hardware,

Ati nini?

View attachment 1324326
Hili sio jengo, ni K computer, project iliyofanywa na IBM 2013, ambayo inaweza kusimulate 1% ya ubongo wa mtu, inaenda na speed ya 1/2400th speed

Artificial intelligence frameworks are just man made backbone softwares that follows certain pattern like Machine learning, ANNs, GAs, Fuzzy logics, there's no intelligence there

Robot Sophia anakua scripted cha kuongea au kujibu endapo akiulizwa kitu...she has alot of hard disk storage with some stored conversation software programs.
Blessed

kelphin kepph
 
Mkuu yoote uliosema hata binadamu ndo alivyo. Hata wewe unaweza kuwa hacked na virusi au bacteria ukaanza tukana ovyo au kupiga watu, ndo maana tuna hospitali za vichaa. Ubongo ni kazi asili ya uumbaji ndio, but uumbaji ni nn? Utofauti ni kwamba aliyekuumba uwezo wake wa sayansi ni mkubwa sana hivyo utofauti wa kazi yake na yetu pia lazima uwe mkubwa. Ww ni kiumbe uliyeundwa na super inteligency. Tofauti yako na Sofia ndo hiyo basi. Mambo mengine yote mnafanana.
Acha kukaza fuvu
 
Acha kukaza fuvu
Jamaa anaweza kua programming fanboy, hatumkati tamaa, we all into it

But hapa tunaongelea uhalisia wa kuimplement brain as mind with electronics hardwares/chips

Nadhani wanachanganya intelligent na human Mind,
Softwares can be intelligent but we are intelligent and mindful

Control feedbacks systems are already intelligent..if this reaches hear, optimize, take this, off this, etc
But sio human mind, we don't work on that way.

That means hata kama tukafanikiwa kuimplement complete brain circuit (which is quite impossible) bado ile natural mind flow haitaiwepo (consciousness), why?

1. We don't understand yet how the brain works (connections, mind flow, etc)
Assuming we have successfully understood the brain circuit
2. Synapses are electrochemical signals flowing from dendrites through axon to other neurones, wakati processor zetu ni Electrical signal (mostly if not purely, digital signals)

You can't understand the brain by reprogramming a dense deep neural networks (machine learning), because their maneuveribillities are finite even of it is Zillions of nimbers, it is finite, a powerful computer would break that mind. Did any machine ever broke human mind? Let alone a neural signal processing succeeding in conveying brain signals.

Nafikiri tunaweza kufikia level flani ya AI kubwa Sana Tu lakini sio human brain
 
Madame Sofia kuna watu wanaamini hizo waya, kazia hapohapo😅😅
220px-Sophia_at_the_AI_for_Good_Global_Summit_2018_(27254369807)_(cropped).jpg
 
Jamaa anaweza kua programming fanboy, hatumkati tamaa, we all into it

But hapa tunaongelea uhalisia wa kuimplement brain as mind with electronics hardwares/chips

Nadhani wanachanganya intelligent na human Mind,
Softwares can be intelligent but we are intelligent and mindful

Control feedbacks systems are already intelligent..if this reaches hear, optimize, take this, off this, etc
But sio human mind, we don't work on that way.

That means hata kama tukafanikiwa kuimplement complete brain circuit (which is quite impossible) bado ile natural mind flow haitaiwepo (consciousness), why?

1. We don't understand yet how the brain works (connections, mind flow, etc)
Assuming we have successfully understood the brain circuit
2. Synapses are electrochemical signals flowing from dendrites through axon to other neurones, wakati processor zetu ni Electrical signal (mostly if not purely, digital signals)

You can't understand the brain by reprogramming a dense deep neural networks (machine learning), because their maneuveribillities are finite even of it is Zillions of nimbers, it is finite, a powerful computer would break that mind. Did any machine ever broke human mind? Let alone a neural signal processing succeeding in conveying brain signals.

Nafikiri tunaweza kufikia level flani ya AI kubwa Sana Tu lakini sio human brain
Absolutely
 
Wamlete tu Bongo,waone atakavyofanywa screpana watoto wa Arusha ungalimi,atanyofolewa waya moja moja,vile vipande vya aluminium,plastiki,vitafanywa kitu mbaya sana.
 
Nafikiri everybody should read this, suppose to be analysis of what we are discussing here

Bila kumwambia mtu, yeye ataanza kutafuta hapo mahali mpaka afike anako taka

Sophia bila kimprogram mwanza kichwani mwake(on chip) hata ubungo hawezi jua

Wanao mtemu sofia as if ana approach human intelligence ni programming fanboys and tech Movies , they think OneDay they will create a human brain by sitting on the keyboard.

I can say, it is easier for Einstein relativity to break laws and go back in time than creating the most complex, yet chaotic human Intelligent organ -brain, let alone Central Nervous System

I don't know, kama watu wanakua fooled kweli na hii scripted robot, mature AI programmers wanaweza kua hata wanacheka jinsi watu wanavyoshangaa ati ni intelligent like us..

Sophia ni Eliza program iliyoko kwene device

Tofauti ya Sophia na laptop ni kwamba program ni ileile Ila skeleton ndo linawachanganya watu
Kaka naomba usome hapo nimeshajibu hilo swali lake.
Post #68
 
Aanze kwanza na puli asikurupukie ndoa

Halafu atuhakikishie usalama wa mb0 zetu kwanza, unaweza ukapigwa shoti ya umeme halafu ikawa shida baadae
[emoji23][emoji23] yan tumewaza same thing
 
The current artificial intelligence (AI) is not even near to where it was intended to be (to the level of human intelligence) instead it is a sort of automated computer programs that makes the system autonomous.

1000's Python or C if..else statements are enough to make any system behave autonomous. If you hear this, take this, answer this...etc.

They are scripted by engineers, hamna kitu hapo, it's programming on chip/processor trick

Ubongo Vs Processor ??

1. Ubongo wetu una kama neurones billion100 , tech ya processor mpaka sasa zinauwezo kubeba hadi billions 100 za transistors
2. Transistor moja ina miguu 3, neurone moja ina point hata 10,000
3. Ubongo Una synapses/info signaling trillion 100, complex ya neurones wiring katika ubongo inasafirisha hizi synapses in short time, itahitaji transistors zaidi ya quadrillions kurusha hizo signal

______
Neurone moja inafanya wiring 10, 000 na kusafiriaha info's trillion 100
Transistor moja inafanya terminal wiring 3, kusafiriaha signal 1 at a time that means roughly more of 3,300 of transistors as one neurone?? and 330 trillions of transistors in a single chip/CPU???

Unataka kusema nini??

Software intelligent maneuvebillity is limited to the processing capability of the hardware,

Ati nini?

View attachment 1324326
Hili sio jengo, ni K computer, project iliyofanywa na IBM 2013, ambayo inaweza kusimulate 1% ya ubongo wa mtu, inaenda na speed ya 1/2400th speed

Artificial intelligence frameworks are just man made backbone softwares that follows certain pattern like Machine learning, ANNs, GAs, Fuzzy logics, there's no intelligence there

Robot Sophia anakua scripted cha kuongea au kujibu endapo akiulizwa kitu...she has alot of hard disk storage with some stored conversation software programs.
Aache ungese wake
 
Hoja nzuri.
Naomba nikuwekee kipande hiki cha maelezo toka chanzo cha habari:
"For context, Sophia is not preprogrammed with answers but instead uses machine learning algorithms and an extensive vocabulary to form her answers. Her brain functions using a WiFi connection and can read human facial expressions, as well as the cadence of human speech, in order to interact in a more humanoid manner. "
....
"Sophia’s creator David Hanson says the 19-month-old robot, which was awarded Saudi citizenship last month, could achieve consciousness within the next few years. "

Umesoma hapo: Sophia is not programmed with answers..?
kwaio na yeye miaka inavyo zidi kusonga anakua kama sisi?
 
Hata yafurukute vp haya madude yatakuwa chini ya binadamu tu... Na sure hayawezi fikia level ya human intelligence... Binadamu hawezi shindana na Mungu... Sisi tumeumbwa na Mungu ila yenyewe yametengenezwa na wanadamu wenzetu.... Camera ipo toka karne ya huko ila you can't compare it with the human eye.... Impossible.
yakizingua tunayasend Kuzimu kama Mungu alivyo Msend Shetani kwan shingap alargh!!!
 
Nimejibu post #68
Mkuu naomba nikuulize swali moja la mwisho
Naomba ulijibu kwa upeo wako wa mwisho wa kufikiri

Unaaini ni kweli Sophia ametumia intelligence kusema anataka nayeye kuishi kama watu wengine kwa kupata ajira na kuwa na familia?

Yaani limechakata na kubaini linaishi maisha lisiyo yataka na sasa linataka kuishi kama sisi kwasababu linatuona tunavyoishi hivyo limejifunza na kubaini hayo ndio maisha linayo yataka?
 
Back
Top Bottom