Madai ya Amos Makalla kwamba Chadema kutaka kupandikiza Ebola & M Pox ili kuzuia Uchaguzi yasipuuzwe na mamlaka

Madai ya Amos Makalla kwamba Chadema kutaka kupandikiza Ebola & M Pox ili kuzuia Uchaguzi yasipuuzwe na mamlaka

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
Kwa uzoefu wangu ni kwamba Wanasiasa Huwa ni wabinafsi n watu wasiojali.

Wako tayari kutumia mbinu zozote ovu ilimradi kufanikisha ajenda zao.

So nitie wito Kwa mamlaka kuhakikisha wanachukulia serious haya madai ya Katibu Mkuu wa CCM bwana Amos Makala

View: https://www.instagram.com/p/DHjeidWI_4p/?igsh=bGtzZTZ3c2hqb2Vk
Screenshot_20250323-082754.jpg
 
Kwa uzoefu wangu ni kwamba Wanasiasa Huwa ni wabinafsi n watu wasiojali.

Wako tayari kutumia mbinu zozote ovu ilimradi kufanikisha ajenda zao.

So nitie wito Kwa mamlaka kuhakikisha wanachukulia serious haya madai ya Katibu Mkuu wa CCM bwana Amos Makala

View: https://www.instagram.com/reel/DHhGCwmI8Y9/?igsh=MXd1bWVpcHl5eXNjcg==

Sasa umeanza kuwa mwerevu, Amos Makala amekengeuka. CHAWA wote lazima waliseme hili bayana, iwapo tu mnataka kutuaminisha kwamba nyie ni wazalendo
 
Tz? Chadema? 😅😅 Yaani chadema iwe na uwezo wa kufanya biological attacks huku hata makao makuu yalikua changamoto? Hahaha haya wapelekwe mahakamani kwa domestic terrorism
Wanaweza si wanawalipa tuu watu wanaotengeneza na kupenheza ndani.

Unadhani wanakutana na Mabeberu Kwa maslahi gani?
 
Kwa uzoefu wangu ni kwamba Wanasiasa Huwa ni wabinafsi n watu wasiojali.

Wako tayari kutumia mbinu zozote ovu ilimradi kufanikisha ajenda zao.

So nitie wito Kwa mamlaka kuhakikisha wanachukulia serious haya madai ya Katibu Mkuu wa CCM bwana Amos Makala

View: https://www.instagram.com/reel/DHhGCwmI8Y9/?igsh=MXd1bWVpcHl5eXNjcg==



Ama kweli majuha mmekutana!! Hivi ninyi watu mmekosa akili kabisa! Huyo Makala ni mental cripple case.

Safari hii CCM imeoatwa hasa: huku kichaa Makala kule taahira Wasira.
 
Ama kweli majuha mmekutana!! Hivi ninyi watu mmekosa akili kabisa! Huyo .akala ni mental cripple case
Mamlaka zinapaswa kuwafuatilia Chadema hasa huko wanakozunhuka zunguka kwenye ofisi za Mabeberu
 
Hivyo virusi watapishia wapi? Wananunulia wapi? Kama Makala ana taarifa si atoe ushahidi, siasa za maji taka za CCM zimezoeleka, kila siku wao ndio wauwaji wa kwanza nchi hii, waliua watu Zanzibar, Arusha na Dar es Salaam na sasa wanapanga kuuwa watu kwa virusi ili kufanya watu kuwa waoga kuandamana kwa kisingizio cha virusi kusambaa.
 
Akili za viongozi wa ccm ni za ulimwengu wao wenyewe. Kwa kifupi wanaishi kwenye sayari zao
 
Kwa uzoefu wangu ni kwamba Wanasiasa Huwa ni wabinafsi n watu wasiojali.

Wako tayari kutumia mbinu zozote ovu ilimradi kufanikisha ajenda zao.

So nitie wito Kwa mamlaka kuhakikisha wanachukulia serious haya madai ya Katibu Mkuu wa CCM bwana Amos Makala

View: https://www.instagram.com/reel/DHhGCwmI8Y9/?igsh=MXd1bWVpcHl5eXNjcg==

Ninaelekea kukubaliana na wanaosema kuwa UKIWA MWANA CCM NI LAZIMA UONDOE UBONGO WAKO UMPE KIONGOZI WA JUU HALAFU WEWE UBAKI NA FUVU PEKEE.
 
Huo ni upuuzi na propaganda za kisiasa, CHAADEMA haiwezi kufanya kitendn hicho na wala haina wazo hilo. Makalla ni mpuuzi kupakazia CHADEMA akidhani ndiyo mbinu ya kuwakabili CHADEMA. Haingii akilini ebola na m- pox ipandikizwe na CHADEMA ili tu uchaguzi mkuu usifanyike NO REFORMS, NO ELECTION ya CHADEMA ifanikiwe. Hizi ni propaganda za kipuuzi kwa wajinga kuziamini
 
Back
Top Bottom