Madai ya Amos Makalla kwamba Chadema kutaka kupandikiza Ebola & M Pox ili kuzuia Uchaguzi yasipuuzwe na mamlaka

Kwa uzoefu wangu ni kwamba Wanasiasa Huwa ni wabinafsi n watu wasiojali.

Wako tayari kutumia mbinu zozote ovu ilimradi kufanikisha ajenda zao.

So nitie wito Kwa mamlaka kuhakikisha wanachukulia serious haya madai ya Katibu Mkuu wa CCM bwana Amos Makala

View: https://www.instagram.com/reel/DHhGCwmI8Y9/?igsh=MXd1bWVpcHl5eXNjcg==

Kweli wanasiasa wako tayari kufanya lolote ili wawe madarakani, ndio alichokifanya huyo makala kuongea pumba ili abaki madarakani
 
Tz? Chadema? 😅😅 Yaani chadema iwe na uwezo wa kufanya biological attacks huku hata makao makuu yalikua changamoto? Hahaha haya wapelekwe mahakamani kwa domestic terrorism
Yani huyu Makala ata watoto wa darasa la saba wana mcheka na kumtukana
 
Mamlaka zinapaswa kuwafuatilia Chadema hasa huko wanakozunhuka zunguka kwenye ofisi za Mabeberu
Hizo propaganda za kimalayamalaya. Kwani omar mahita laana ya Mungu iwe juu yake alikamata makontena mangapi aliposema cuf wameingiza majambia ili uchaguzi usifanyike?

Saivi a tembelea magongo na huyo makala atatembelea tumbo.
 
Kwa uzoefu wangu ni kwamba Wanasiasa Huwa ni wabinafsi n watu wasiojali.

Wako tayari kutumia mbinu zozote ovu ilimradi kufanikisha ajenda zao.

So nitie wito Kwa mamlaka kuhakikisha wanachukulia serious haya madai ya Katibu Mkuu wa CCM bwana Amos Makala

View: https://www.instagram.com/reel/DHhGCwmI8Y9/?igsh=MXd1bWVpcHl5eXNjcg==

Makala ni Mjinga. Hata aliokuwa anawahutubia wameonekana kumshangaa. Hivi ni wapi huko ambako wamehifafhi virus wa Ebira kwa ajili ya kuuza?

By the way, Usalama wa Taifa wako wapi. Kama wanaweza kuzuia Maandamano kwa via viashiria vya uvunjaji wa amani kwa nini hilo hawajaliona mpaka waambiwe na Makala?

Naanza kukubali kuwa No Reform No Election imewatisha maCCM. Chadema ishikilie hapo hapo mpaka kieleweke.
 
Kwa uzoefu wangu ni kwamba Wanasiasa Huwa ni wabinafsi n watu wasiojali.

Wako tayari kutumia mbinu zozote ovu ilimradi kufanikisha ajenda zao.

So nitie wito Kwa mamlaka kuhakikisha wanachukulia serious haya madai ya Katibu Mkuu wa CCM bwana Amos Makala

View: https://www.instagram.com/reel/DHhGCwmI8Y9/?igsh=MXd1bWVpcHl5eXNjcg==

Duh!

Sasa wananchi wameikosea nini Chadema mpaka Chadema wawapandikizie magonjwa makubwa makubwa namna hii!!!

Hili sio jambo jema.

Chadema kama wanabifu na samia bora wapandikize haya magonjwa magogoni na chamwino lakini sio mitaani kwetu.
 
Swala sio Wananchi swala ni kuzuia uchaguzi
 
NBAA walimpaje CPA Kilaza kama huyu??anaidhalilisha CPA kabisa huyu ngedere akachunge ngombe siasa hawezi.kuna siku huwa naona aibuu eti mtu ni CPA Holder lakini kichwani kumejaa kamasi.
 
Back
Top Bottom