Madai ya Amos Makalla kwamba Chadema kutaka kupandikiza Ebola & M Pox ili kuzuia Uchaguzi yasipuuzwe na mamlaka

Madai ya Amos Makalla kwamba Chadema kutaka kupandikiza Ebola & M Pox ili kuzuia Uchaguzi yasipuuzwe na mamlaka

Kwa uzoefu wangu ni kwamba Wanasiasa Huwa ni wabinafsi n watu wasiojali.

Wako tayari kutumia mbinu zozote ovu ilimradi kufanikisha ajenda zao.

So nitie wito Kwa mamlaka kuhakikisha wanachukulia serious haya madai ya Katibu Mkuu wa CCM bwana Amos Makala

View: https://www.instagram.com/reel/DHhGCwmI8Y9/?igsh=MXd1bWVpcHl5eXNjcg==

Leo umeongea ukweli, alichokifanya makala pia, ni kutufukuzia wageni nchini kana kwamba nchi yetu si salama ,watalii na wawekezaji anawafukuza kwa uroho wake wa kuonekana anafanya kazi ,hafai kabisa huyo katanguliza tumbo lake mbele
 
Kwa uzoefu wangu ni kwamba Wanasiasa Huwa ni wabinafsi n watu wasiojali.

Wako tayari kutumia mbinu zozote ovu ilimradi kufanikisha ajenda zao.

So nitie wito Kwa mamlaka kuhakikisha wanachukulia serious haya madai ya Katibu Mkuu wa CCM bwana Amos Makala

View: https://www.instagram.com/reel/DHhGCwmI8Y9/?igsh=MXd1bWVpcHl5eXNjcg==

Madai ya kipuuzi kuwahi kutokea.. Hivi mnayajua vizuri hayo magonjwa?
Hi yo virus vinatunzwa na kuuzwa katika nchi gani?
CHADEMA watavinunuaje na watavisambazaje?
Mnazidi kuwa na akili finyu kuliko makalio ya bata
 
..naogopa sana huenda Mama Abduli anaamini na kukubaliana na propaganda za Amos Makalla.

..Na Mkuu akiamini jambo lake, hata kama ni la kipumbavu, vyombo vya dola lazima vilifanyie kazi.
 
Madai ya kipuuzi kuwahi kutokea.. Hivi mnayajua vizuri hayo magonjwa?
Hi yo virus vinatunzwa na kuuzwa katika nchi gani?
CHADEMA watavinunuaje na watavisambazaje?
Mnazidi kuwa na akili finyu kuliko makalio ya bata

..Mama Abduli anaamini madai ya Amos Makalla?
 
Kwa hiyo tukio la Mzee Kibao kuuawa limetokea Samia akiwa Rais na la Lisu kushambuliwa limetolea JPM akiwa Rais nani anahusika na nani hahusiki? Maana unataka kutuonesha kuwa Mama ni mtu mwema!
Kibao amefanya nini Sasa?
 
Mtoa mada jitafakari kweli ni wewe ndio umeandika hii post au ni harkers ?
 
Bora amewaumbua hadharani, maana viongozi wa Chadema hawana tofauti na Kikundi cha kigaidi. Waangaliwe na wafuatiliwe kwa makini sana.
 
Back
Top Bottom