Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Wabongo sio watu wa kusoma alama za nyakati. Mama ni mjanja sana.Wewe umeona mbali unajua hata suaka la bandari ya Bagamoyo kwanza alilipenyeza kwa Spika Ndugai Ndio mkaona Ndugai anamshambulia Hayati Magufuli kuwa alipotoshwa wakati Magufuli mwenyewe huwa ni mfuatiliaje wa kusoma kila kitu...
Kama ni SIRI siungekausha tu Brother.Jicho la tatu linaniambia kuwa huenda Mama ana agenda ya Katiba Mpya ila anajua wenzake hawaitaki, hivyo kaamua kuwatumia CHADEMA kwa siri kubwa kuamsha madai ya Katiba Mpya...
Jicho la tatu linaniambia kuwa huenda Mama ana agenda ya Katiba Mpya ila anajua wenzake hawaitaki, hivyo kaamua kuwatumia CHADEMA kwa siri kubwa kuamsha madai ya Katiba Mpya...
Hana miaka kumi mbele huyo!!Katiba mpya siyo mwarobaini wa matatizo ya watanzania, asema Prof. Issa Shivji
Wenzake kwenye chama hawataki kusikia kabisa hii habari hivyo ni lazima atumie makundi yaliyo nje ya chama chake.Poa ikiwa hivyo lakini huyo mama na kauli zake sina imani naye kabisa. Kama analiunga mkono hilo la katiba mpya ya rasimu ya Warioba sioni kwanini afanye kificho.
Kwani yeye ndio nani nchi hii?!Katiba mpya siyo mwarobaini wa matatizo ya watanzania, asema Prof. Issa Shivji
Wenzake kwenye chama hawataki kusikia kabisa hii habari hivyo ni lazima atumie makundi yaliyo nje ya chama chake.
Narudia, huu ni mtazamo wangu kwa jinsi navyomsoma Mama.