Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Tukumbuke huko nyuma walidai hujuma zilikuwa zinafanywa na bundi na nyani, inawezekana walifaulu kuwakamata hao wote na kukomesha hilo tatizo.Sawa sawa
Anatuletea sisi badala ya kuyapeleka kwenye vyombo vya dola, hata hivyo nijuavyo TRC inacho kikosi chake cha Polisi.Madai kutoka kwa Kadogosa kwenda kwa nani?
Ni ngumu.Siku ya jana kuna madai toka kwa mkurugenzi mkuu wa TRC kuwa anayo majina ya watu wanaoihujumu treni ya SGR, madai haya ni mazito na TRC haina uwezo wa kuyashughurikia kwa sababu yanahusu jinai.
Kwenye madai hayo kuna taarifa ya kuwa wapo watu wanakata waya za umeme ambao ndiyo nishati ya hiyo treni hivho kusababisha ishindwe kutembea, uhalifu huu ni mkubwa kwani umeme huo unatoka kwenye gridi ya taifa hivyo kunaweza kusababisha uharibifu kwenye gridi hiyo.
Ninashauri waziri mkuu amtake mkurugenzi Kadogosa ampe ushahidi wa madai hayo ili avitake vyombo vya dola kama polisi na usalama wa taifa walishughurikie haraka kabla madhara makubwa hayajatokea.
Hiyo ni dalili mhimu kuwa kiongozi hatoshi. Unasemaje una majina ya wahulifu, unasubiri mpaka watekeleze uhalifu kisha unasema unawajua. Basi wewe unakuwa mhalifu namba moja.Siku ya jana kuna madai toka kwa mkurugenzi mkuu wa TRC kuwa anayo majina ya watu wanaoihujumu treni ya SGR, madai haya ni mazito na TRC haina uwezo wa kuyashughurikia kwa sababu yanahusu jinai.
Kwenye madai hayo kuna taarifa ya kuwa wapo watu wanakata waya za umeme ambao ndiyo nishati ya hiyo treni hivho kusababisha ishindwe kutembea, uhalifu huu ni mkubwa kwani umeme huo unatoka kwenye gridi ya taifa hivyo kunaweza kusababisha uharibifu kwenye gridi hiyo.
Ninashauri waziri mkuu amtake mkurugenzi Kadogosa ampe ushahidi wa madai hayo ili avitake vyombo vya dola kama polisi na usalama wa taifa walishughurikie haraka kabla madhara makubwa hayajatokea.
Kwa Maslahi ya Taifa angewataja wahalifu hao na little Tamko Zito kuhusu SGR kwamba iwe Marufuku mtu kukaribia SGR bila sababu ya msingi.Siku ya jana kuna madai toka kwa mkurugenzi mkuu wa TRC kuwa anayo majina ya watu wanaoihujumu treni ya SGR, madai haya ni mazito na TRC haina uwezo wa kuyashughurikia kwa sababu yanahusu jinai.
Kwenye madai hayo kuna taarifa ya kuwa wapo watu wanakata waya za umeme ambao ndiyo nishati ya hiyo treni hivho kusababisha ishindwe kutembea, uhalifu huu ni mkubwa kwani umeme huo unatoka kwenye gridi ya taifa hivyo kunaweza kusababisha uharibifu kwenye gridi hiyo.
Ninashauri waziri mkuu amtake mkurugenzi Kadogosa ampe ushahidi wa madai hayo ili avitake vyombo vya dola kama polisi na usalama wa taifa walishughurikie haraka kabla madhara makubwa hayajatokea.
Kama unayo tikiti ya kusafiri ni lazima uikaribie, vinginevyo hakuna sehemu ya wewe unaweza kuikaribia.Kwa Maslahi ya Taifa angewataja wahalifu hao na little Tamko Zito kuhusu SGR kwamba iwe Marufuku mtu kukaribia SGR bila sababu ya msingi.
Utupiaji mawe vyombo vya abiria hutokea na hufanywa na watoto na hili si kwa Tanzania tu. Waya kukatika si lazima mtu ahusike, kuna wakati waya za Tanesco hukatika bila mtu kuhusika, kwa SGR tuliambiwa bundi na nyani wanahusika.Huyu mzee ameamua kuweka siasa pembeni hicho alichokisema kinaukweli sana.
Nastaajabika sana na utendaji wa teeth. Hivi hujuma kwamba hawazioni au.!?
Maana ni kweli juzi kati walikata nyaya na muhimu za umeme na sio hivo tu kuna makundi ya watu wamekuwa wakisubiri treni baadhi ya maeneo na kuipiga mawe hii balaa lake halielezeki.
Nastaajabika mno na huuu utendaji wa teeth. Sema changamoto yote ni kuwa familia ya watanzania tumekosa kiongozi aliena uthubutu wa kuchallenge watu wa chini yake ili waweze kuwajibika.
Wahusika nawaombeni mchukue hatua. Hii ni aibu sana.
Hongera sana Mkurugenzi kwa maamuzi uliyoyatoa.