Madai ya mkurugenzi mkuu wa TRC kuhusu watu kuhujumu treni ya SGR yanahitaji kushughulikiwa haraka

Madai ya mkurugenzi mkuu wa TRC kuhusu watu kuhujumu treni ya SGR yanahitaji kushughulikiwa haraka

Hao ni wezi wa mtaani wa coper wanauza kg. Tsh 17,000, hamaanishi wala hajahusisha wafanyabiashara au viongozi kama hujuma.
 
Kwa Maslahi ya Taifa angewataja wahalifu hao na little Tamko Zito kuhusu SGR kwamba iwe Marufuku mtu kukaribia SGR bila sababu ya msingi.
Wahalifu na wezi wa coper wanapatikana Nyerere road Banda la ngozi kuna reli imekatiza kutoka viwandani kuelekea Buguruni na wanaichoma katikati ya reli usiku wa manene hata Polisi wanajua na sasa wanaiba tena kwa kuchimba ardhini maeneo ya Keko Viwandani barabara ya Mbozi road VETA.
 
Wafanye mpango wa kulinda hiyo SGR Watanzania hawana utaratibu wa kulinda mali zao hakuna hujuma wahuni wanaiba hivyo vyuma wakauze kila kitu hujuma hujuma ili iweje wekeni mazingira ya kulinda sio mnaweka nauli kubwa mnataka Reli ijilinde yenyewe bila hata kuweka post kadhaa kwa umbali fulani mpaka Dodoma...
Miradi ikifa hawa jamaa hata hawajali

Ova
 
Miradi ikifa hawa jamaa hata hawajali

Ova
Wapo busy na media badala ya kufanya kazi wao wanadhani sisi hatuwajui hawa ITV wanatafuta attention za bure tu na hao waandishi wa habari wanashindwa kuwauliza maswali magumu maana kila kukicha wanakuja na story za hovyo hovyo kuhusu SGR sijui sasa hivi wanajipanga wasemaje..
 
Kazi kuwapandisha wasanii machawa kupigapigaa kelele
Mule mama mama mama mama

Ova
 
Hakuna Cha hujuma Wala Nini Bali ni visingizio tu ili kuhalalisha uwezo wao mdogo wa kuendeshwa mradi.Mnatununulia treni la mtumba lililotumika miaka thelathini huko ulaya unategemea lisizime?
 
Wahalifu na wezi wa coper wanapatikana Nyerere road Banda la ngozi kuna reli imekatiza kutoka viwandani kuelekea Buguruni na wanaichoma katikati ya reli usiku wa manene hata Polisi wanajua na sasa wanaiba tena kwa kuchimba ardhini maeneo ya Keko Viwandani barabara ya Mbozi road VETA.
TRC mdomo wao umepiga kona, wanasema hakuna tatizo la kukosekana umeme, sasa nyie hayo ya wezi wa kopa mmeyapata wapi? Siku zote usithubutu kumtetea muongo atakuacha njia panda uonekane wewe ndiye muongo.
 
Ni ngumu.
Walishaambiwa kuwa huo mzigo ni fake.
Na miaongoni mwa waliosababisha ni yeye.

Hivyo anataka ku escape kwa staili hiyo.
Sasa ndiyo uchunguzi ufanyike ili tujuwe mbivu na mbichi,baada ya hapo hatua stahiki kuchukuliwa!!
 
Hao ni wezi wa mtaani wa coper wanauza kg. Tsh 17,000, hamaanishi wala hajahusisha wafanyabiashara au viongozi kama hujuma.
Kama ni wao wakikamatwa walishwe hizo waya za coper kama wale wezi wa mafuta ya transformer wanavyonyeshwa hayo mafuta hadi wizi sasa umekoma!!
 
Siku ya jana kuna madai toka kwa mkurugenzi mkuu wa TRC kuwa anayo majina ya watu wanaoihujumu treni ya SGR, madai haya ni mazito na TRC haina uwezo wa kuyashughurikia kwa sababu yanahusu jinai.

Kwenye madai hayo kuna taarifa ya kuwa wapo watu wanakata waya za umeme ambao ndiyo nishati ya hiyo treni hivho kusababisha ishindwe kutembea, uhalifu huu ni mkubwa kwani umeme huo unatoka kwenye gridi ya taifa hivyo kunaweza kusababisha uharibifu kwenye gridi hiyo.

Ninashauri waziri mkuu amtake mkurugenzi Kadogosa ampe ushahidi wa madai hayo ili avitake vyombo vya dola kama polisi na usalama wa taifa walishughurikie haraka kabla madhara makubwa hayajatokea.
Simwamini Kadogosa.

Railway ina kitengo kizima cha usalama.

Wameshindwaje kuchukuwa hatuwa na judhibiti hiyo hali, mpaka aanze kupayuka kwenye vyombo vya habari?

Huko ni kujikosha kijinga.
 
Simwamini Kadogosa.

Railway ina kitengo kizima cha usalama.

Wameshindwaje kuchukuwa hatuwa na judhibiti hiyo hali, mpaka aanze kupayuka kwenye vyombo vya habari?

Huko ni kujikosha kijinga.
Walianza na bundi na nyani, nyani waliponzwa na tabia yao ya ucheshi wa kupenda kujionesha wao ni mabingwa wa sarakasi, hata hivyo walisingiziwa kwani hawapo eneo husika, nao bundi ukimya wao wa kujifanya maprofesa ndio uliwaponza japo akina Kadogosa hawajui bundi haruki mchana muda ambao treni inapita. Hebu tuone mwisho wa kisa hiki kipya utaishia wapi mradi asiunganishwe Mbowe na Chadema yake kama walivyotaka kutandaza miti barabarani toka Dar es Salaam mpaka Iringa!
 
Simwamini Kadogosa.

Railway ina kitengo kizima cha usalama.

Wameshindwaje kuchukuwa hatuwa na judhibiti hiyo hali, mpaka aanze kupayuka kwenye vyombo vya habari?

Huko ni kujikosha kijinga.
Sasa hizi taarifa anazotupa si zimetoka kwenye hicho kitengo cha security ambacho bado kiko chini yake yeye kama Mkuu wa TRC!? Au unazani anatoa kichwani mwake hayo anayosema!?
 
PW
Wafanye mpango wa kulinda hiyo SGR Watanzania hawana utaratibu wa kulinda mali zao hakuna hujuma wahuni wanaiba hivyo vyuma wakauze kila kitu hujuma hujuma ili iweje wekeni mazingira ya kulinda sio mnaweka nauli kubwa mnataka Reli ijilinde yenyewe bila hata kuweka post kadhaa kwa umbali fulani mpaka Dodoma...
PWD=Public Works Department za miaka 1970 ziwekwe kila umbali fulani , ( a.k.a. Punda Wengi Duniani - aah ni utani tu !)
 
Sasa hizi taarifa anazotupa si zimetoka kwenye hicho kitengo cha security ambacho bado kiko chini yake yeye kama Mkuu wa TRC!? Au unazani anatoa kichwani mwake hayo anayosema!?
Taarifa zioneshe hatuwa ipi imechukuliwa, siyo kuja kulalamika baada ya kila siku kuona mazagazaga ya treni kukwama njiani.

Mpaka iuwe watu ndiyo atachukuwa hatuwa? maneno hata kwenye khanga yapo.

Yeye jukumu lake no moja tiu. Treni zifanye kazi kwa wakati, vipi zinafanya na changamoto anakumbana nazo aeleze alivyozitatuwa, siyuo kutuletea sisi ugonjwa wa moyo wakati mshahara tunamlipa yeye.
 
Walianza na bundi na nyani, nyani waliponzwa na tabia yao ya ucheshi wa kupenda kujionesha wao ni mabingwa wa sarakasi, hata hivyo walisingiziwa kwani hawapo eneo husika, nao bundi ukimya wao wa kujifanya maprofesa ndio uliwaponza japo akina Kadogosa hawajui bundi haruki mchana muda ambao treni inapita. Hebu tuone mwisho wa kisa hiki kipya utaishia wapi mradi asiunganishwe Mbowe na Chadema yake kama walivyotaka kutandaza miti barabarani toka Dar es Salaam mpaka Iringa!
Hayo mengi ya mbowe na chadsomo baki nayo kwako. Sisi tu nataka kadogosa achape kazi na twende na kurudi salama Dodoma.
 
ni uongo tu hayo matreni ni mabovu wanatafuta njia ya kujustfy uhuni waliofanya kwa kununua matreni mabovu
Sio rahisi mtu kwenda kukata hizo nyaya waache uongo
 
PW
PWD=Public Works Department za miaka 1970 ziwekwe kila umbali fulani , ( a.k.a. Punda Wengi Duniani - aah ni utani tu !)
Hawa reli haikuwahusu, wao walihusika kufanyia matengenezo barabara tu. TRC ilikuwa na magenge(railway gang) ambayo yalikuwa na makazi kando ya reli kila baada ya kilomita kadhaa.
 
Back
Top Bottom