Madai ya mkurugenzi mkuu wa TRC kuhusu watu kuhujumu treni ya SGR yanahitaji kushughulikiwa haraka

Madai ya mkurugenzi mkuu wa TRC kuhusu watu kuhujumu treni ya SGR yanahitaji kushughulikiwa haraka

Kwa undani soma kitabu cha Ujasusi wa kidola na kiuchumi.

Hao wakiwa confirmed wamefanya hujuma inabidi watiwe kitanzi uwanja wa taifa warushe live ili asije MBWEHA mwingine kuja kuhujumu.
Yaliyosemwa na Mkurugenzi sasa shirika limesema hakuna tatizo la kukatika umeme! Sijui sisi tushike tawi lipi.
 
Hakuna kitu tunaweza bali hujumu na wizi tu
Nilishangaa ilipoanza tu siku ya Tatu ikazima
Kama sio uhujumu ni nini
Hao adhabu ya kifo inawahusu labda wabebwe
Lazima wabebwe maana wengi wanaohujumu mashirika ya umma ni wana CCM
 
Watanzania mnadhani kazi ya kuwabadili tabia watu ni nyepesi.

Magufuli did not make it easy for himself kujaza baraza lake la wamaziri na senior servants.

Mbinu za kuibadili ndio alikuwa nazo, ukabila ndio ilikuwa shida yake.

Hapo hakuna kuchomoka bila ya Magufuli 4K kwa sababu kuna kazi lazima zifanywe kwa mtindo wake. Na maamuzi yake sio ya kupendwa hasa na civil servants.

Hawa watu (civil servants) sasa hivi ni matajiri watu usalama kushinda mawaziri ndio nchi wanayoitaka hiyo.

Sasa ukiwa na usalama wanaopenda utajiri kushinda majukumu yao kuilinda na dira yake kuna shughuli hapo,

Yaani mtu anaemtukana Magufuli ni kumuhurumia tu, you don’t know.
 
Unawezaje kukata nyaya za umeme ? How ? Naomba kuelewa
 
Ni ngumu.
Walishaambiwa kuwa huo mzigo ni fake.
Na miaongoni mwa waliosababisha ni yeye.

Hivyo anataka ku escape kwa staili hiyo.
Huna akili wewe!!

Nyaya zinakatwa!! Wewe unajamba mzigo feki!!
 
Siku ya jana kuna madai toka kwa mkurugenzi mkuu wa TRC kuwa anayo majina ya watu wanaoihujumu treni ya SGR, madai haya ni mazito na TRC haina uwezo wa kuyashughurikia kwa sababu yanahusu jinai.

Kwenye madai hayo kuna taarifa ya kuwa wapo watu wanakata waya za umeme ambao ndiyo nishati ya hiyo treni hivho kusababisha ishindwe kutembea, uhalifu huu ni mkubwa kwani umeme huo unatoka kwenye gridi ya taifa hivyo kunaweza kusababisha uharibifu kwenye gridi hiyo.

Ninashauri waziri mkuu amtake mkurugenzi Kadogosa ampe ushahidi wa madai hayo ili avitake vyombo vya dola kama polisi na usalama wa taifa walishughurikie haraka kabla madhara makubwa hayajatokea.
Kadogosa sio mtu wa kumchukulia maanani sana.
 
Kwa undani soma kitabu cha Ujasusi wa kidola na kiuchumi.

Hao wakiwa confirmed wamefanya hujuma inabidi watiwe kitanzi uwanja wa taifa warushe live ili asije MBWEHA mwingine kuja kuhujumu.
Tukienda kwa style hiyo basi uongozi mzima wa ccm unaweza kupata hiyo adhabu.
 
Lazima wabebwe maana wengi wanaohujumu mashirika ya umma ni wana CCM
Watu ambao hawafiki hata laki 5 ndio wanakula vyote tunavyopata
Ila kuna siku watakuja watu wenye uchungu zaidi na kutaka wote tufaidike
 
Huna akili wewe!!

Nyaya zinakatwa!! Wewe unajamba mzigo feki!!
Ungekuwa unaakili ungejiuliza zilikatikqje.
Zaidi ya yote haujuia aina ipi ya nyaya zinazoongelewa.
Usiwe mpumbavu kwa maswala yanayolihusu taifa.

Pia uwe unasoma chanzo cha habari kwanza kabla ya kuingia humu na kuleta wehu wako.
 
Siku ya jana kuna madai toka kwa mkurugenzi mkuu wa TRC kuwa anayo majina ya watu wanaoihujumu treni ya SGR, madai haya ni mazito na TRC haina uwezo wa kuyashughurikia kwa sababu yanahusu jinai.

Kwenye madai hayo kuna taarifa ya kuwa wapo watu wanakata waya za umeme ambao ndiyo nishati ya hiyo treni hivho kusababisha ishindwe kutembea, uhalifu huu ni mkubwa kwani umeme huo unatoka kwenye gridi ya taifa hivyo kunaweza kusababisha uharibifu kwenye gridi hiyo.

Ninashauri waziri mkuu amtake mkurugenzi Kadogosa ampe ushahidi wa madai hayo ili avitake vyombo vya dola kama polisi na usalama wa taifa walishughurikie haraka kabla madhara makubwa hayajatokea.
TAIFA AU SEREKALI NI MKONO NA NGUVU KUBWA ISIYOWEZA KUSHINDWA KUDHIBITI WAHUNI WACHACHE WANAOHUJUMU MRADI HUU MKUBWA WA MABILIONI YA DOLA, ATAKAPOBAINIKA YEYOTE BASI AWEKWE ADHARANI NA AFANYWE AMBALO LITAKUWA MFANO KWA WENGINE NO MATTER WHO IS WHO?, AU ANA WADHIFA GANI?
 
Ungekuwa unaakili ungejiuliza zilikatikqje.
Zaidi ya yote haujuia aina ipi ya nyaya zinazoongelewa.
Usiwe mpumbavu kwa maswala yanayolihusu taifa.

Pia uwe unasoma chanzo cha habari kwanza kabla ya kuingia humu na kuleta wehu wako.
TRC imesema hakuna tatizo la kukatika umeme! Awali walisema watu wanakata nyaya za umeme, sijui tushike lipi!
 
TAIFA AU SEREKALI NI MKONO NA NGUVU KUBWA ISIYOWEZA KUSHINDWA KUDHIBITI WAHUNI WACHACHE WANAOHUJUMU MRADI HUU MKUBWA WA MABILIONI YA DOLA, ATAKAPOBAINIKA YEYOTE BASI AWEKWE ADHARANI NA AFANYWE AMBALO LITAKUWA MFANO KWA WENGINE NO MATTER WHO IS WHO?, AU ANA WADHIFA GANI?
TRC INACHO KIKOSI CHAKE CHA POLISI, CHAKUSHANGAZA HAWAONEKANI KWENYE ULINZI WA RELI NI MARA CHACHE UTAWAONA NDANI YA TRENI KAMA WASAFIRI.
 
TRC INACHO KIKOSI CHAKE CHA POLISI, CHAKUSHANGAZA HAWAONEKANI KWENYE ULINZI WA RELI NI MARA CHACHE UTAWAONA NDANI YA TRENI KAMA WASAFIRI.
Kadogosa alipokuwa akihojiwa na ITV alisema wao wako vizuri sana kwa upande wa ulinzi.
Sasa sijui ulinzi wa ndani tu ya tren au ni pamoja na mali na miundombinu yake?
 
Nazungumza kama ex engineer!, kitaalamu treni hizi zinaendeshwa kwa mfumo wa motor kubwa yenye nguvu kubwa ya kuvuta treni yenyewe, motor mara nyingi zinatabia ya ku heat na kujam iwapo ita overload, je maelekezo yote ya manufacturer yanafuatwa?, hasa kwenye upande wa loads?, je kwasababu ni motor kubwa hutengenezwa na cooling system ya aina yake je service yake hufuatwa kila baada ya safari? Nawashauri wapunguze load kama wanaburuza behewa 10,wafanye 8,au 7.waangalie outcomes!
 
Back
Top Bottom