FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kama ni wezi na wazembe awawache tu?Dr Dau atafukuza "wagalatia" wote atazaja "watoto wa mudi" na shirika litakufa ndani ya mwaka tu kama alivyoifilisi ENISISIEFU.
'mudi" ndiyo nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni wezi na wazembe awawache tu?Dr Dau atafukuza "wagalatia" wote atazaja "watoto wa mudi" na shirika litakufa ndani ya mwaka tu kama alivyoifilisi ENISISIEFU.
Kama ni wezi na wazembe awawache tu?
'mudi" ndiyo nani?
NSSF haijawahi kupata faida toka Dokta aonedoke, athari zake zinaonekana mpka leo, daraja la Kigamboni, kalijenga nani lile?Dr alijaza wezi pale ENISISIEFU kutoka Ukoo wa MUDI wakalifilisi shirika ,kwasasa lipo hoi bin taaban.
NSSF haijawahi kupata faida toka Dokta aonedoke, athari zake zinaonekana mpka leo, daraja la Kigamboni, kalijenga nani lile?
Porojo tu hizo.Yeye ndiyo kalifilisi ,fuatilia majumba ya Mbutu yale Maghorofa ya AKBARU ambayo magufuli akaja kuyazuia kwasababu ya ufisadi mkubwa alioufanya Dr Dau yaani AKBARU aliuzia NSSF ekari moja kwa milioni mia 7 just imagine na pale kuna ekari za kutosha.
DR Dau alikuwa anawakopesha pesa wanasiasa hivyo mfuko ukawa hauna pesa kabisa.
Ukute wahusika ni mabosi wake hapo ndio shida itakapoanzia...Siku ya jana kuna madai toka kwa mkurugenzi mkuu wa TRC kuwa anayo majina ya watu wanaoihujumu treni ya SGR, madai haya ni mazito na TRC haina uwezo wa kuyashughurikia kwa sababu yanahusu jinai.
Kwenye madai hayo kuna taarifa ya kuwa wapo watu wanakata waya za umeme ambao ndiyo nishati ya hiyo treni hivho kusababisha ishindwe kutembea, uhalifu huu ni mkubwa kwani umeme huo unatoka kwenye gridi ya taifa hivyo kunaweza kusababisha uharibifu kwenye gridi hiyo.
Ninashauri waziri mkuu amtake mkurugenzi Kadogosa ampe ushahidi wa madai hayo ili avitake vyombo vya dola kama polisi na usalama wa taifa walishughurikie haraka kabla madhara makubwa hayajatokea.
Kwani huyu huyu ndiyo wamemleta TRC?, Kama ndivyo waliomtea wana akili nzuri sana.Yeye ndiyo kalifilisi ,fuatilia majumba ya Mbutu yale Maghorofa ya AKBARU ambayo magufuli akaja kuyazuia kwasababu ya ufisadi mkubwa alioufanya Dr Dau yaani AKBARU aliuzia NSSF ekari moja kwa milioni mia 7 just imagine na pale kuna ekari za kutosha.
DR Dau alikuwa anawakopesha pesa wanasiasa hivyo mfuko ukawa hauna pesa kabisa.