Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
- Thread starter
-
- #41
Yaliyosemwa na Mkurugenzi sasa shirika limesema hakuna tatizo la kukatika umeme! Sijui sisi tushike tawi lipi.Kwa undani soma kitabu cha Ujasusi wa kidola na kiuchumi.
Hao wakiwa confirmed wamefanya hujuma inabidi watiwe kitanzi uwanja wa taifa warushe live ili asije MBWEHA mwingine kuja kuhujumu.
Mtakwendaje na kurudi salama wakati treni inazima ghafla njiani!Hayo mengi ya mbowe na chadsomo baki nayo kwako. Sisi tu nataka kadogosa achape kazi na twende na kurudi salama Dodoma.
lzzadogosa yameshinda, hilo shirika apewe Dr. Dau aliweke sawa.Mtakwendaje na kurudi salama wakati treni inazima ghafla njiani!
Lazima wabebwe maana wengi wanaohujumu mashirika ya umma ni wana CCMHakuna kitu tunaweza bali hujumu na wizi tu
Nilishangaa ilipoanza tu siku ya Tatu ikazima
Kama sio uhujumu ni nini
Hao adhabu ya kifo inawahusu labda wabebwe
Huna akili wewe!!Ni ngumu.
Walishaambiwa kuwa huo mzigo ni fake.
Na miaongoni mwa waliosababisha ni yeye.
Hivyo anataka ku escape kwa staili hiyo.
Kadogosa sio mtu wa kumchukulia maanani sana.Siku ya jana kuna madai toka kwa mkurugenzi mkuu wa TRC kuwa anayo majina ya watu wanaoihujumu treni ya SGR, madai haya ni mazito na TRC haina uwezo wa kuyashughurikia kwa sababu yanahusu jinai.
Kwenye madai hayo kuna taarifa ya kuwa wapo watu wanakata waya za umeme ambao ndiyo nishati ya hiyo treni hivho kusababisha ishindwe kutembea, uhalifu huu ni mkubwa kwani umeme huo unatoka kwenye gridi ya taifa hivyo kunaweza kusababisha uharibifu kwenye gridi hiyo.
Ninashauri waziri mkuu amtake mkurugenzi Kadogosa ampe ushahidi wa madai hayo ili avitake vyombo vya dola kama polisi na usalama wa taifa walishughurikie haraka kabla madhara makubwa hayajatokea.
Tukienda kwa style hiyo basi uongozi mzima wa ccm unaweza kupata hiyo adhabu.Kwa undani soma kitabu cha Ujasusi wa kidola na kiuchumi.
Hao wakiwa confirmed wamefanya hujuma inabidi watiwe kitanzi uwanja wa taifa warushe live ili asije MBWEHA mwingine kuja kuhujumu.
Ila wewe mbibi kwa udini tu unatishalzzadogosa yameshinda, hilo shirika apewe Dr. Dau aliweke sawa.
Kuna ajenda nzito nyuma ya madai yake, kuna harufu ya kutaka kuubinafsisha mradi.Kadogosa sio mtu wa kumchukulia maanani sana.
Watu ambao hawafiki hata laki 5 ndio wanakula vyote tunavyopataLazima wabebwe maana wengi wanaohujumu mashirika ya umma ni wana CCM
Ungekuwa unaakili ungejiuliza zilikatikqje.Huna akili wewe!!
Nyaya zinakatwa!! Wewe unajamba mzigo feki!!
TAIFA AU SEREKALI NI MKONO NA NGUVU KUBWA ISIYOWEZA KUSHINDWA KUDHIBITI WAHUNI WACHACHE WANAOHUJUMU MRADI HUU MKUBWA WA MABILIONI YA DOLA, ATAKAPOBAINIKA YEYOTE BASI AWEKWE ADHARANI NA AFANYWE AMBALO LITAKUWA MFANO KWA WENGINE NO MATTER WHO IS WHO?, AU ANA WADHIFA GANI?Siku ya jana kuna madai toka kwa mkurugenzi mkuu wa TRC kuwa anayo majina ya watu wanaoihujumu treni ya SGR, madai haya ni mazito na TRC haina uwezo wa kuyashughurikia kwa sababu yanahusu jinai.
Kwenye madai hayo kuna taarifa ya kuwa wapo watu wanakata waya za umeme ambao ndiyo nishati ya hiyo treni hivho kusababisha ishindwe kutembea, uhalifu huu ni mkubwa kwani umeme huo unatoka kwenye gridi ya taifa hivyo kunaweza kusababisha uharibifu kwenye gridi hiyo.
Ninashauri waziri mkuu amtake mkurugenzi Kadogosa ampe ushahidi wa madai hayo ili avitake vyombo vya dola kama polisi na usalama wa taifa walishughurikie haraka kabla madhara makubwa hayajatokea.
TRC imesema hakuna tatizo la kukatika umeme! Awali walisema watu wanakata nyaya za umeme, sijui tushike lipi!Ungekuwa unaakili ungejiuliza zilikatikqje.
Zaidi ya yote haujuia aina ipi ya nyaya zinazoongelewa.
Usiwe mpumbavu kwa maswala yanayolihusu taifa.
Pia uwe unasoma chanzo cha habari kwanza kabla ya kuingia humu na kuleta wehu wako.
Dr Dau atafukuza "wagalatia" wote atazaja "watoto wa mudi" na shirika litakufa ndani ya mwaka tu kama alivyoifilisi ENISISIEFU.lzzadogosa yameshinda, hilo shirika apewe Dr. Dau aliweke sawa.
TRC INACHO KIKOSI CHAKE CHA POLISI, CHAKUSHANGAZA HAWAONEKANI KWENYE ULINZI WA RELI NI MARA CHACHE UTAWAONA NDANI YA TRENI KAMA WASAFIRI.TAIFA AU SEREKALI NI MKONO NA NGUVU KUBWA ISIYOWEZA KUSHINDWA KUDHIBITI WAHUNI WACHACHE WANAOHUJUMU MRADI HUU MKUBWA WA MABILIONI YA DOLA, ATAKAPOBAINIKA YEYOTE BASI AWEKWE ADHARANI NA AFANYWE AMBALO LITAKUWA MFANO KWA WENGINE NO MATTER WHO IS WHO?, AU ANA WADHIFA GANI?
Visingizio vingi mkuu!TRC imesema hakuna tatizo la kukatika umeme! Awali walisema watu wanakata nyaya za umeme, sijui tushike lipi!
Kadogosa alipokuwa akihojiwa na ITV alisema wao wako vizuri sana kwa upande wa ulinzi.TRC INACHO KIKOSI CHAKE CHA POLISI, CHAKUSHANGAZA HAWAONEKANI KWENYE ULINZI WA RELI NI MARA CHACHE UTAWAONA NDANI YA TRENI KAMA WASAFIRI.