Madai ya mkurugenzi mkuu wa TRC kuhusu watu kuhujumu treni ya SGR yanahitaji kushughulikiwa haraka

Dr alijaza wezi pale ENISISIEFU kutoka Ukoo wa MUDI wakalifilisi shirika ,kwasasa lipo hoi bin taaban.
NSSF haijawahi kupata faida toka Dokta aonedoke, athari zake zinaonekana mpka leo, daraja la Kigamboni, kalijenga nani lile?
 
NSSF haijawahi kupata faida toka Dokta aonedoke, athari zake zinaonekana mpka leo, daraja la Kigamboni, kalijenga nani lile?

Yeye ndiyo kalifilisi ,fuatilia majumba ya Mbutu yale Maghorofa ya AKBARU ambayo magufuli akaja kuyazuia kwasababu ya ufisadi mkubwa alioufanya Dr Dau yaani AKBARU aliuzia NSSF ekari moja kwa milioni mia 7 just imagine na pale kuna ekari za kutosha.

DR Dau alikuwa anawakopesha pesa wanasiasa hivyo mfuko ukawa hauna pesa kabisa.
 
Porojo tu hizo.
 
Ukute wahusika ni mabosi wake hapo ndio shida itakapoanzia...
 
Kwani huyu huyu ndiyo wamemleta TRC?, Kama ndivyo waliomtea wana akili nzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…