Mayor Slum
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 776
- 1,177
Huyu Paschal anazani wote MafaraMkuu Mystery, kwanza naunga mkono hoja kuhusu kulaaniwa wale wote wanaosababisha mateso kwa wenzao.
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, hivyo kwa mujibu wa karma, watakao laaniwa sio polisi wala waendesha mashitaka, bali aliyewatuma. Hao polisi huwa hawaamki tuu na kumbambikia mtu kesi, bali hutumwa!. Polisi na waendesha mashitaka wao wanatumwa tuu, hivyo wanatekeleza majukumu yao kwa mujibu wa ajira zao za kutii mamlaka, ni sawa tuu na wale waliomshambulia Tundu Lissu, kama ni utekelezaji wa amri halali, kwa mujibu wa sheria ya karma, hawana kosa lolote, na hawatapata laana yoyote, bali aliyewatuma.
Kwenye hili la Kabendera, kwa vile na mimi nimetajwa kuwa eti ndiye niliyemchomea kupitia makala zangu humu, jf, kama kweli lengo la makala zile lilikuwa kumchongea mtu au kumchomea, kwenye karma ya Kabendera, nitakuwa na sehemu yangu, lakini kama niliziandika genuinely for informative porpoises only na sio kuchomea mtu, hata kama ni kweli makala hizo ndizo zilizochochea kumkuta yaliyomkuta, I'll be totally innocent and no karma reprisals will befalls me.
Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola
Niombe wasomaji wangu muelewe kuwa sina nia mbaya ninapojaribu kuja na uchambuzi wa namna hii. Lengo langu ni kuoneshana kuwa nchi yetu iko hatarini hasa pale taaluma moja ambayo Taifa linawategemea wanaposigana katika jamii nani anayeumia zaidi! Nakumbuka siku za hivi karibuni gazeti la the...www.jamiiforums.com
Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake
Wanabodi Tangu kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za kiuchunguzi Eric Kabendera, na kukamatwa kule kukahushishwa na makala zake, na kwa vile ni mimi niliyekuwa natafsiri makala za majarida ya nje na kuzileta humu jf, hivyo nikatuhumiwa kuwa ni makala za jf ndio zimemchongea Eric Kabendera...www.jamiiforums.com
P
Hatutatoa nafasi ya kuchekea ujinga humu jf , na tutawabana kila kona hadi mkimbie , wanafiki wakubwa nyie !!Hivi sasa tunanyima uhuru kuwa na mawazo tofauti kwenye jambo lolote???? Au ndiyo mila mnayoijenga kuwa tuwe 'asante mzee kimawazo???
Karma inakuhusu!Mkuu Mystery, kwanza naunga mkono hoja kuhusu kulaaniwa wale wote wanaosababisha mateso kwa wenzao.
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, hivyo kwa mujibu wa karma, watakao laaniwa sio polisi wala waendesha mashitaka, bali aliyewatuma. Hao polisi huwa hawaamki tuu na kumbambikia mtu kesi, bali hutumwa!. Polisi na waendesha mashitaka wao wanatumwa tuu, hivyo wanatekeleza majukumu yao kwa mujibu wa ajira zao za kutii mamlaka, ni sawa tuu na wale waliomshambulia Tundu Lissu, kama ni utekelezaji wa amri halali, kwa mujibu wa sheria ya karma, hawana kosa lolote, na hawatapata laana yoyote, bali aliyewatuma.
Kwenye hili la Kabendera, kwa vile na mimi nimetajwa kuwa eti ndiye niliyemchomea kupitia makala zangu humu, jf, kama kweli lengo la makala zile lilikuwa kumchongea mtu au kumchomea, kwenye karma ya Kabendera, nitakuwa na sehemu yangu, lakini kama niliziandika genuinely for informative porpoises only na sio kuchomea mtu, hata kama ni kweli makala hizo ndizo zilizochochea kumkuta yaliyomkuta, I'll be totally innocent and no karma reprisals will befalls me.
Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola
Niombe wasomaji wangu muelewe kuwa sina nia mbaya ninapojaribu kuja na uchambuzi wa namna hii. Lengo langu ni kuoneshana kuwa nchi yetu iko hatarini hasa pale taaluma moja ambayo Taifa linawategemea wanaposigana katika jamii nani anayeumia zaidi! Nakumbuka siku za hivi karibuni gazeti la the...www.jamiiforums.com
Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake
Wanabodi Tangu kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za kiuchunguzi Eric Kabendera, na kukamatwa kule kukahushishwa na makala zake, na kwa vile ni mimi niliyekuwa natafsiri makala za majarida ya nje na kuzileta humu jf, hivyo nikatuhumiwa kuwa ni makala za jf ndio zimemchongea Eric Kabendera...www.jamiiforums.com
P
Kafanya nn tena Pascal? tujuuze basiPascal Mayalla, Kujipendekeza sana ili upate fupa hatimae umemtia matatizoni mwenzako,laana itakuandama popote ulipo na kizazi chako.
Sent using tecno tochi
Hakuna. Hata Rais wa TLS aliongelea hili majuzi katiJe, kuna fidia yoyote watapata wote waliobambikiwa kesi? Je wahusika watawajibishwa!?
Jr[emoji769]
Mkuu Mystery, kwanza naunga mkono hoja kuhusu kulaaniwa wale wote wanaosababisha mateso kwa wenzao.
Mimi ni muumini wa kitu kinachoitwa karma, hivyo kwa mujibu wa karma, watakao laaniwa sio polisi wala waendesha mashitaka, bali aliyewatuma. Hao polisi huwa hawaamki tuu na kumbambikia mtu kesi, bali hutumwa!. Polisi na waendesha mashitaka wao wanatumwa tuu, hivyo wanatekeleza majukumu yao kwa mujibu wa ajira zao za kutii mamlaka, ni sawa tuu na wale waliomshambulia Tundu Lissu, kama ni utekelezaji wa amri halali, kwa mujibu wa sheria ya karma, hawana kosa lolote, na hawatapata laana yoyote, bali aliyewatuma.
Kwenye hili la Kabendera, kwa vile na mimi nimetajwa kuwa eti ndiye niliyemchomea kupitia makala zangu humu, jf, kama kweli lengo la makala zile lilikuwa kumchongea mtu au kumchomea, kwenye karma ya Kabendera, nitakuwa na sehemu yangu, lakini kama niliziandika genuinely for informative porpoises only na sio kuchomea mtu, hata kama ni kweli makala hizo ndizo zilizochochea kumkuta yaliyomkuta, I'll be totally innocent and no karma reprisals will befalls me.
Pascal Mayalla ndiye aliyemchongea Erick Kabendera kwa dola
Niombe wasomaji wangu muelewe kuwa sina nia mbaya ninapojaribu kuja na uchambuzi wa namna hii. Lengo langu ni kuoneshana kuwa nchi yetu iko hatarini hasa pale taaluma moja ambayo Taifa linawategemea wanaposigana katika jamii nani anayeumia zaidi! Nakumbuka siku za hivi karibuni gazeti la the...www.jamiiforums.com
Personal Plea Kwa Rais Magufuli: Kama ameweza kuwasamehe wabakaji, wauaji, mafisadi, wahujumu, anaweza pia kumsamehe Eric Kabendera, amzike mama yake
Wanabodi Tangu kukamatwa kwa Mwandishi wa habari za kiuchunguzi Eric Kabendera, na kukamatwa kule kukahushishwa na makala zake, na kwa vile ni mimi niliyekuwa natafsiri makala za majarida ya nje na kuzileta humu jf, hivyo nikatuhumiwa kuwa ni makala za jf ndio zimemchongea Eric Kabendera...www.jamiiforums.com
P
Hahahahaa,Rais alitoa msamahama kwa watakaokiri na kulipa na akatoa deadline kuwa watakaochelewa hawatakubaliwa!Kabendera naye aliandika barua ndani ya muda lakini cha ajabu hakujibiwa wala kuambiwa chochote mpaka akalalamika mahakamani lakini napo haikufua dafu!Waendesha Mashtaka hawajaomba kutoendelea kesi kwakuwa hawana Maslahi nayo, bali, ni kwa kuzingatia sheria inayoruhusu washtakiwa wa makosa ya uhujumu uchumi kufanya mazunguzo ya kukubaliana kulipa.
Kabendera ameomba kulipa na waendesha mashtaka wameomba kwakuwa mazungumzo Kati ya Kabendera na DPP yanaenda vizuri. Muwe mnaelewa, muache kupotosha!
Inatakiwa wamulipe fidia 'for defamation or charcter assassination'Nilistushwa na mabadiliko ya msimamo wa waendesha mashitaka, ambao ni Polisi katika kesi ya Kabendera hapo jana.
Nimewasikia waendesha mashitaka hao wakieleza kuwa upande wa mashitaka hauna nia ya kuendelea na kesi hiyo na hivyo wamekubali kuwa mazungumzo ya upande wa mashitaka na mtuhumiwa yafanyike ili mtuhumiwa aachiwe huru!
Nimejiuliza hivi hatua hii imefikiwa baada ya Rais Magufuli kutoa kauli kali siku chache zilizopita akiwatuhumu Polisi hao kuwa wanaowabambikia kesi za uhujumi uchumi na utakatishaji pesa ili watuhumiwa hao waendelee kusota magerezani kwa lengo la kuwakomoa watuhumiwa hao?
Rais aliendelea kufunguka kwa kusema kuwa walaaniwe waendesha mashitaka hao ambao wanawabambikia kesi watuhumiwa hao kwa lengo tu la kuwakomoa ili wakae magerezani kwa kipindi kirefu sana.
Nimejiuliza hivi hii kesi ya Kabendera si imefikishwa mahakamani hapo zaidi ya miezi 6 iliyopita, na wakati wote huo waendesha mashitaka hao wamekuwa wakiendelea "kukomaa" kuwa ushahidi hawajaukamilisha?
Sasa iweje hivi sasa, baada ya kumsotesha Kabendera zaidi ya miezi 6 jela, ndiyo hao waendesha mashitaka waone hakuna haja ya kuendelea na kesi hiyo?
Hao waendesha mashitaka, ambao ni Polisi si wamekuwa wakidai, katika kipindi chote hiko cha miezi 6 kila kesi inapoenda kutajwa mahakamani, wanaomba kesi iahirishwe kwa madai kuwa ushahidi haujakamilika?
Kama ni hayo majadiliano kati ya mtuhumiwa na upande wa mashitaka, si huyo Kabendera alishayafanya zaidi ya miezi 4 iliyopita na akaeleza kuwa yeye hana hatia kwa makosa hayo wanayomtuhumu nayo hapo mahakamani?
Kama alivyosema Mheshimiwa Rais na Mimi niunge mkono kuwa walaaniwe waendesha mashitaka wote ambao ni Polisi, kwa kuwabambikia kesi za uhujumu na utakatishaji pesa kwa watuhumiwa na hivyo kuleta usumbufu mkubwa kwa mtuhumiwa kukaa gerezani kwa kipindi kirefu sana.
Ningependekeza kwa hao Polisi wenye tabia hiyo, ili na wao waweze kuona hayo matendo wanayoowafanyia Watanzania wenzao kuwa siyo mazuri, mahakama iweze "kuwageuzia kibao" na wao waweze kukaa magerezani kwa kipindi kirefu sana.
Kama hayo ni "maigizo" anayotufanyia Jiwe na yeye ndiye anayewaagiza hao Polisi wafanye unyama huo na yeye anawaruka hivi sasa, basi laana hiyo imgeukie yeye mwenyewe
Kwenye hili la Kabendera, kwa vile na mimi nimetajwa kuwa eti ndiye niliyemchomea kupitia makala zangu humu, jf, kama kweli lengo la makala zile lilikuwa kumchongea mtu au kumchomea, kwenye karma ya Kabendera, nitakuwa na sehemu yangu, lakini kama niliziandika genuinely for informative porpoises only na sio kuchomea mtu, hata kama ni kweli makala hizo ndizo zilizochochea kumkuta yaliyomkuta, I'll be totally innocent and no karma reprisals will befalls me.
'Most people live in a myth and grow violently angry if anyone dares to tell them the truth about themselves'.Hatutatoa nafasi ya kuchekea ujinga humu jf , na tutawabana kila kona hadi mkimbie , wanafiki wakubwa nyie !!
Hivi mbona linapokuja suala la watu kubambikiwa kesi mbona mfano unaotolewa ni Erick tu. Hivi kuna watanzania wangapi ambao wanabambikiwa kesi? Mbona wao hamuwazungumzii? DPP amezunguka katika magereza mbali mbali amechomoa mahabusu zaidi ya elfu moja ambao wengi wao walikuwa wamebambikiwa kesi.Nilistushwa na mabadiliko ya msimamo wa waendesha mashitaka, ambao ni Polisi katika kesi ya Kabendera hapo jana.
Nimewasikia waendesha mashitaka hao wakieleza kuwa upande wa mashitaka hauna nia ya kuendelea na kesi hiyo na hivyo wamekubali kuwa mazungumzo ya upande wa mashitaka na mtuhumiwa yafanyike ili mtuhumiwa aachiwe huru!
Nimejiuliza hivi hatua hii imefikiwa baada ya Rais Magufuli kutoa kauli kali siku chache zilizopita akiwatuhumu Polisi hao kuwa wanaowabambikia kesi za uhujumi uchumi na utakatishaji pesa ili watuhumiwa hao waendelee kusota magerezani kwa lengo la kuwakomoa watuhumiwa hao?
Rais aliendelea kufunguka kwa kusema kuwa walaaniwe waendesha mashitaka hao ambao wanawabambikia kesi watuhumiwa hao kwa lengo tu la kuwakomoa ili wakae magerezani kwa kipindi kirefu sana.
Nimejiuliza hivi hii kesi ya Kabendera si imefikishwa mahakamani hapo zaidi ya miezi 6 iliyopita, na wakati wote huo waendesha mashitaka hao wamekuwa wakiendelea "kukomaa" kuwa ushahidi hawajaukamilisha?
Sasa iweje hivi sasa, baada ya kumsotesha Kabendera zaidi ya miezi 6 jela, ndiyo hao waendesha mashitaka waone hakuna haja ya kuendelea na kesi hiyo?
Hao waendesha mashitaka, ambao ni Polisi si wamekuwa wakidai, katika kipindi chote hiko cha miezi 6 kila kesi inapoenda kutajwa mahakamani, wanaomba kesi iahirishwe kwa madai kuwa ushahidi haujakamilika?
Kama ni hayo majadiliano kati ya mtuhumiwa na upande wa mashitaka, si huyo Kabendera alishayafanya zaidi ya miezi 4 iliyopita na akaeleza kuwa yeye hana hatia kwa makosa hayo wanayomtuhumu nayo hapo mahakamani?
Kama alivyosema Mheshimiwa Rais na Mimi niunge mkono kuwa walaaniwe waendesha mashitaka wote ambao ni Polisi, kwa kuwabambikia kesi za uhujumu na utakatishaji pesa kwa watuhumiwa na hivyo kuleta usumbufu mkubwa kwa mtuhumiwa kukaa gerezani kwa kipindi kirefu sana.
Ningependekeza kwa hao Polisi wenye tabia hiyo, ili na wao waweze kuona hayo matendo wanayoowafanyia Watanzania wenzao kuwa siyo mazuri, mahakama iweze "kuwageuzia kibao" na wao waweze kukaa magerezani kwa kipindi kirefu sana.
Kama hayo ni "maigizo" anayotufanyia Jiwe na yeye ndiye anayewaagiza hao Polisi wafanye unyama huo na yeye anawaruka hivi sasa, basi laana hiyo imgeukie yeye mwenyewe
Hao waendesha mashitaka utawaonea tu, aliyoko nyuma ya madhira hayo anajulikana!! Ndio maana kuna watu wanakamatwa leo kesho DPP, anawaachia hataki kuendelea na kesi, ujue hapo mtu amekamatwa ki makosa!!! Bila meko kutaarifiwa!! Hayo maneno ni ya kujikosha tu, ila MUNGU, anaona.Nilistushwa na mabadiliko ya msimamo wa waendesha mashitaka, ambao ni Polisi katika kesi ya Kabendera hapo jana.

Tutakuweka ndani hata kama hauna kosa, utakapotoka utakuwa tayari umekiona chamoto. Leo wanawaruka waliowaagiza!Nilistushwa na mabadiliko ya msimamo wa waendesha mashitaka, ambao ni Polisi katika kesi ya Kabendera hapo jana.
Nimewasikia waendesha mashitaka hao wakieleza kuwa upande wa mashitaka hauna nia ya kuendelea na kesi hiyo na hivyo wamekubali kuwa mazungumzo ya upande wa mashitaka na mtuhumiwa yafanyike ili mtuhumiwa aachiwe huru!
Nimejiuliza hivi hatua hii imefikiwa baada ya Rais Magufuli kutoa kauli kali siku chache zilizopita akiwatuhumu Polisi hao kuwa wanaowabambikia kesi za uhujumi uchumi na utakatishaji pesa ili watuhumiwa hao waendelee kusota magerezani kwa lengo la kuwakomoa watuhumiwa hao?
Rais aliendelea kufunguka kwa kusema kuwa walaaniwe waendesha mashitaka hao ambao wanawabambikia kesi watuhumiwa hao kwa lengo tu la kuwakomoa ili wakae magerezani kwa kipindi kirefu sana.
Nimejiuliza hivi hii kesi ya Kabendera si imefikishwa mahakamani hapo zaidi ya miezi 6 iliyopita, na wakati wote huo waendesha mashitaka hao wamekuwa wakiendelea "kukomaa" kuwa ushahidi hawajaukamilisha?
Sasa iweje hivi sasa, baada ya kumsotesha Kabendera zaidi ya miezi 6 jela, ndiyo hao waendesha mashitaka waone hakuna haja ya kuendelea na kesi hiyo?
Hao waendesha mashitaka, ambao ni Polisi si wamekuwa wakidai, katika kipindi chote hiko cha miezi 6 kila kesi inapoenda kutajwa mahakamani, wanaomba kesi iahirishwe kwa madai kuwa ushahidi haujakamilika?
Kama ni hayo majadiliano kati ya mtuhumiwa na upande wa mashitaka, si huyo Kabendera alishayafanya zaidi ya miezi 4 iliyopita na akaeleza kuwa yeye hana hatia kwa makosa hayo wanayomtuhumu nayo hapo mahakamani?
Kama alivyosema Mheshimiwa Rais na Mimi niunge mkono kuwa walaaniwe waendesha mashitaka wote ambao ni Polisi, kwa kuwabambikia kesi za uhujumu na utakatishaji pesa kwa watuhumiwa na hivyo kuleta usumbufu mkubwa kwa mtuhumiwa kukaa gerezani kwa kipindi kirefu sana.
Ningependekeza kwa hao Polisi wenye tabia hiyo, ili na wao waweze kuona hayo matendo wanayoowafanyia Watanzania wenzao kuwa siyo mazuri, mahakama iweze "kuwageuzia kibao" na wao waweze kukaa magerezani kwa kipindi kirefu sana.
Kama hayo ni "maigizo" anayotufanyia Jiwe na yeye ndiye anayewaagiza hao Polisi wafanye unyama huo na yeye anawaruka hivi sasa, basi laana hiyo imgeukie yeye mwenyewe
Kuna mwana siasa mmoja tena professor kila kwelikweli alinifundisha udsm law eti tz nimiongoni mwanchi zenye mahaka huru daaa alizingua kwelikweliMkuu Mystery, kwanza naunga mkono hoja kuhusu kulaaniwa wale wote wanaosababisha mateso kwa wenzao.