Madai ya Polisi kuwabambikia kesi watuhumiwa yamejithibitisha katika kesi ya Kabendera

Wewe ndiye uliyemfitini. Sasa unatafuta kujiosha unajuwa anatoka.
 
Cause ni wewe. Bisha.
 
Nani kasema kuwa ubambikaji kesi unamhusu kabendera tu?
 
Hi
Tutakuweka ndani hata kama hauna kosa, utakapotoka utakuwa tayari umekiona chamoto. Leo wanawaruka waliowaagiza!
Hiyo ndiyo tunayoiita kujimwambafai - By Kikwwte's voice
 
Kibinyo cha mabeberu hicho, sio mchezo lazima ulegee tu, kila mbabe ana mbabe wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hu ndio ukweli; u turn ya police haina uhusiano wowowte na maneno ya mhe rais, kesi ya Kabendera tusidanganyane, police wasingweza kutengeneza mashtaka yale in their own, walipewa maelekezo but hicho ulicho kisema ndio hiyo u turn imetokea, kwa ufupi watengeneza mashtaka wamepewa maelekezo mengine na yule yule aliyewapa mwanzoni, Pascal Mayalla acha kujifanya hujui hilo; hata mjinga anajua hili.
 
Naamini injinia mkuu ni Bashite
 
Unaona shida sana kumsema Jiwe eti eh!
Hivi na ile vodacom kumfungia mawasiliano ili asiwasiliane na wanasheria ilielekezwa na Mengi au Jiwe. Spare me sir you don't have go around everything touching this god Jiwe.
Walaaniwe wanafiki wanaosafisha wauaji na wabikiaji wa kesi!
 
Mtumaji namuuaji wote niwauwaji ,iweje anaeua asipate lana apate alietuma??tena ulieua ndo laana laana inakupata Sababu umesitisha uhai wa mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ji
Jiwe ndiyo "mastermind" wa uovu wote mkubwa unaotokea hivi sasa ndani ya nchi hii
 
Anamweka katika mazingira magumu sana ya
Usimtuhumu mwenzako hivyo! ni vibaya sana maana utamjengea kuchukiwa na marafiki wa Kabendera.
Anamweka katika mazingira magumu sana ya kuishi
 

Mnaanza kutuaminisha kuwa jiwe ni mwema katika hili na hausiki nyie wana propaganda mnachekesha, hapa alaaniwe alienza kutoa kauli za kukamata watu hovyo kwanza, serikali nzima inayoonea raia wake na polisi wanaotekeleza maagizo kutoka juu na mahakama zinazoshindwa kujua wajibu wao katika kutenda haki.
 
Kuna usemi usemao, Ndio aneyekuchoma. Uhoni kama Pascal Mayalla wewe Ndio uliemchoma kabendera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…