Dkt. Gwajima D
Minister
- Nov 28, 2015
- 1,710
- 8,690
Acha zako wewe kwani wanafunzi wanasafiri muda wote? Yaani asubuhi au jioni tu washindwe kupakia wanafunzi hata watatu kisa hesabu ya boss ? Nyie ndio mnakaliaga kimya huu upuuziKiuhalisia ni vigumu
Msitumie sheria kuwakandamiza Watanzania masikini
Mwanafunzi anatoka Mbagala anasoma Mwenge, nauli analipwa 200 wakati mtu mzima analipa 1300
Konda anatafuta hesabu ya boss 150k
Konda anatafuta hela ya mafuta 250
Konda anatafuta hela ya dereva 50k
Konda anatafuta service za gari
Konda ana familia
Serikali imulazimishe kondakta ajaze wanafunzi atalipaje haya majukumu.
Serikali tafuteni njia ya kuwapeleka hao wanafunzi shule
Au walipe nauli kamili
Mbona serikali haiamuru wanafunzi kula mgahawani Bure? Kwani watoto hawapati njaa shuleniAcha zako wewe kwani wanafunzi wanasafiri muda wote? Yaani asubuhi au jioni tu washindwe kupakia wanafunzi hata watatu kisa hesabu ya boss ? Nyie ndio mnakaliaga kimya huu upuuzi
Taasisi za huduma hizi Zina viongozi wake, hizo changamoto zote waende huko LATRA wawasilishe wajadili. Ndiyo maana ya kutoa huduma kwa mujibu wa sheria iliyokusajili. Kumnyima mtoto mdogo huduma ni kuvunja Sheria uliyoitii ikusajili. Na ukivunja Sheria hatua zake ni kuwajibika kisheria. Hivyo, dawa ya kukwepa yote haya ni kurudi kwa msajili na kuzungumza. Mambo ndiyo huenda hivyo tafadhali na siyo vinginevyo.Kiuhalisia ni vigumu
Msitumie sheria kuwakandamiza Watanzania masikini
Mwanafunzi anatoka Mbagala anasoma Mwenge, nauli analipwa 200 wakati mtu mzima analipa 1300
Konda anatafuta hesabu ya boss 150k
Konda anatafuta hela ya mafuta 250
Konda anatafuta hela ya dereva 50k
Konda anatafuta service za gari
Konda ana familia
Serikali imulazimishe kondakta ajaze wanafunzi atalipaje haya majukumu.
Serikali tafuteni njia ya kuwapeleka hao wanafunzi shule
Au walipe nauli kamili
Hii reasoning yako kiboko. Anyway ni uhuru wa mawazo tunauheshimuMbona serikali haiamuru wanafunzi kula mgahawani Bure? Kwani watoto hawapati njaa shuleni
Kwanini serikali iwaonee daladala, serikali haijui hii ni biashara
Msimamo wangu: ili kuepuka usumbu wanafunzi walipe nauli kamili
Hajielewi huyu mkuu naona hapo anafikiri ameongea point sana kumbe amebwabwaja ugoro.Acha zako wewe kwani wanafunzi wanasafiri muda wote? Yaani asubuhi au jioni tu washindwe kupakia wanafunzi hata watatu kisa hesabu ya boss ? Nyie ndio mnakaliaga kimya huu upuuzi
Na ushauri wangu ni kuwa, nyie watoa huduma naamini mliisoma Sheria kuhusu usajili wa huduma zenu hivyo, mnao wajibu wa kwenda kwa msajili na kusema, tuna hoja na ushauri na mapendekezo. Mimi kwa nafasi yangu kama Waziri wa Maendeleo ya Jamii na Makundi maalumu, huwa natumia muda kuelimisha jamii yote kadri hoja zinavyonifikia. Ahsante Sana kwa ushirikiano wako/wenuMbona serikali haiamuru wanafunzi kula mgahawani Bure? Kwani watoto hawapati njaa shuleni
Kwanini serikali iwaonee daladala, serikali haijui hii ni biashara
Msimamo wangu: ili kuepuka usumbu wanafunzi walipe nauli kamili
Serikali ni 1 kimsingi serikali iheshimu biashara ya daladalaTaasisi za huduma hizi Zina viongozi wake, hizo changamoto zote waende huko LATRA wawasilishe wajadili. Ndiyo maana ya kutoa huduma kwa mujibu wa sheria iliyokusajili. Kumnyima mtoto mdogo huduma ni kuvunja Sheria uliyoitii ikusajili. Na ukivunja Sheria hatua zake ni kuwajibika kisheria. Hivyo, dawa ya kukwepa yote haya ni kurudi kwa msajili na kuzungumza. Mambo ndiyo huenda hivyo tafadhali na siyo vinginevyo.
Sasa maoni haya mnatakiwa kuchukua hizo simu hapo mpigie mtoe. Huwezi kusajili huduma kwa mujibu wa sheria halafu uende uanze kutekeleza kinyume na sheria halafu ufikiri umetatua tatizo, utakuwa umejiongeza mwenyewe.Hawezi kupandishaa gari zima wanafunzi serikali ingeweka walau idadi ya wanafunzi Kila gari konda awapakie...
Konda anatafuta hesabu ya boss wakati wanafunzi anatakiwa awahi shule au awahi nyumban utaratibu uangalie pande zote mbili...
Ubarikiwe mh Waziri,Wasaalam,
Kule x kuna hoja kwamba, baadhi ya "makonda" wa ma Bus ya abiria wanazuiwa wanafunzi kupanda ma Bus hayo.
Tagu kuja kwangu iliambatana na ujumbe uliokuwa umetumwa kwenda kwa CarolNdosi na uliosomeka "Carol , naomba usaidie hili, moja ya changamoto kuubwa ni wanafunzi kupanda daladala sijui ni sheria ipi inaruhusu konda kuaamua kupakia au kutopakia, kiufupi wakinamama wanaopeleka watoto wao asubuhi vituoni wanapitia shida sana"
Baada ya kuwasiliana na taasisi ya udhibiti (LATRA) na kwa kuzingatia kuwa, changamoto hii huenda inawakumba wazazi wengi, naomba kutoa mrejesho kwa majukwaa yote kuwa; Hakuna Sheria inayomruhusu "Konda" wa Gari la abiria kuzuia wanafunzi wasipande magari hayo. Hapo ni kuwa, "Konda" huyo anakuwa ameamua tu kukiuka Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) chini ya Wizara ya Uchukuzi na kinachotakiwa ni Wazazi hao watoe taarifa LATRA waambatishe na namba ya gari husika. Namba ya LATRA hiyo hapo.
Ahsanteni kwa ushirikiano, tuwalinde watoto wetu🇹🇿
Shukrani kwa CarolNdosi kwa ushirikiano. Mkurugenzi @latra_tz ahsante kwa ushirikiano.
We hauna mtoto bibie lazima uwatetee hao wahuni.Kiuhalisia ni vigumu
Msitumie sheria kuwakandamiza Watanzania masikini
Mwanafunzi anatoka Mbagala anasoma Mwenge, nauli analipwa 200 wakati mtu mzima analipa 1300
Konda anatafuta hesabu ya boss 150k
Konda anatafuta hela ya mafuta 250
Konda anatafuta hela ya dereva 50k
Konda anatafuta service za gari
Konda ana familia
Serikali imulazimishe kondakta ajaze wanafunzi atalipaje haya majukumu.
Serikali tafuteni njia ya kuwapeleka hao wanafunzi shule
Au walipe nauli kamili
Wasaalam,

Nadhani umeziona namba za LATRA hapo, ingekuwa vema ukapiga ukatoa maoni. Mimi naelimisha tu utaratibu kwa nafasi yangu kama Waziri wa jamii na jamii mmekuwa mkinitag mambo mbalimbali. Kuhusu dhamana ya kupokea na kufanyia kazi maoni haya, ni mwenye Sheria husika. Ili kwa pamoja muongee muone kifuatacho kama ni maboresho hayaSerikali ni 1 kimsingi serikali iheshimu biashara ya daladala
Wanafunzi wapewe nauli kamili na wazazi wao au wasomee shule za karibu na nyumbani
Wazazi tujifunze kuwajibika Kwa watoto wetu
Mtoto ni wako unataka asafiri Bure,
Hapo kwenye bango kuna namba za LATRA, hebu katoe maoni tafadhali. Uwe na jioni njema ya Baraka ✍🏻🙏🏽Kwanini magari ya serikali , STM, STN, STL, DFPA, DFP, SU, PT, nk hayawachukui wanafunzi?
Nakazia.Kiuhalisia ni vigumu