adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 4,727
- 8,093
Wamekumbushwa,tumesoma na kukulia hayo Mazingira,tunatafuta pa kujificha.
Mbadiliko huanza na sisi watu wazima.
Si lazima kupakia wote ila kwa idadi flani yatosha kupunguza hizo hali na msongamano.
Tumefanya sana hiyo michezo mpaka kujichanga na kudeal na baadhi ya makonda miaka hiyo chap chap mnapelekwa shule.
Lakini pia kama jamii au wazazi kujitazama huku mitaani kuungana na kusaidia watoto..ubinafsi umezidi sana.
Unanikuta na likitambi langu,nipo alone kwenye Gari. 😀😀😀😀sema ukitoa lift nako kasheshe...
Wazazi tuwajibike na pia serikali iendele kuangalia namna njema ya kusadia katima sehemu hizo zenye Wanafunzi wengi asubuhi na jioni.Inawezekana kabisa.