Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
😹😹😹 Katibu wao muenezi lazima ulipambanie kundi maalum la vidampa..!!Wee niogope Keyboard warriors? Nakuja na uzi kabambe, lazima hili kundi maalumu lifikiwe.
😂😂😂😂
😹😹😹 Katibu wao muenezi lazima ulipambanie kundi maalum la vidampa..!!Wee niogope Keyboard warriors? Nakuja na uzi kabambe, lazima hili kundi maalumu lifikiwe.
😂😂😂😂
Vipi mwanaume unamuita mwanaume mwenzako khanisi....? Alishakufanyaje labda mpaka unamtuhumu hivyoKhanisi sio tusi mkuu! Usiogope kama upo ivyo kaka! Nisamehe kwa hilo.
Uko sahihi, hili nalo Lina mwongozo kabisa wa adhabu ila kuna baadhi hawafuati na humu kwenye jamii mbalimbali kuna watu wanatetea vipigo nje ya mwongozo eti kisa na wao walipigwa .... Bado safari ni ndefu sana ila tutafika ngoja napo tuweke mguu sawaShukrani sana Mheshimiwa waziri kwa kuwa mfuatiliaji mzuri wa mambo mbalimbali yanayoihusu wizara yako pamoja na mambo yanayohusu wizara za kisekta.
Pia kama wazazi tunaiomba serikali ipitie upya suala la adhabu mashuleni kwa watoto wetu maana wamekuwa wahanga wakubwa wa mara kwa mara kwa kukumbana na walimu wasio na maadili ya kazi kuwaadhibu kusikofuata utaratibu matokeo yake watoto wanapata majeraha ya kudumu mwilini.
Tukio la hivi karibuni nafikiri jana usiku mwanafunzi amefariki dunia kwasababu ya kipigo kutoka kwa Mkuu wa shule akishirikiana na walinzi wa shule mkoani Rukwa katika shule ya St. Kagwa kama sijakosea.
Kwanini serikali inakuwa nzito kutafuta mwarobaini wa ukatili huu dhidi ya watoto?
Hadi wafe watoto wangapi ama wapate ulemavu wangapi ndiyo serikali ishtuke?
Inaumiza mno watoto kukatishwa ndoto zao za maisha wakati serikali yao ipo inatazama tu.
Kupokea maoni ya jamii na kukaa pamoja na jamii na kujadili facts na kuboresha.... Unaonaje hapoWajibu wa Serikali katika kutatua changamoto hizi SUGU ni upi ukiachana na suala la kutunga sheria, miongozo, kanuni na taratibu ambazo kiuhalisia zimeshindwa kuzaa matunda kwa miongo kadhaa?
Usijipe point tatu za mezani mkuu,angalia hili suala kwa pande zote sio Tu kuwalaumu makonda na abiria wenzako.Abiria pia tunachangia kwa kukalia kimya huu upuuzi wanaoufanya makondakta. Mi si mpandaji sana wa daladala ila mwezi uliopita nilipanda daladala ya makumbusho - mbezi kupitia goba mida ya jioni, kufika mwenge konda akawaambia wanafunzi wasubiri abiria wengine wapande kwanza... abiria walivyopanda konda akafunga mlango akawagomea kuingia gari ikaondoka, aisee nilimtukana yule konda na dereva wake hadi wakakosa cha kuongea..kilichonishangaza abiria wengine nao kimya hata hawasemi kitu kwa kile kitendo.. nilitamani nitukane bus zima. Daladala ilipofika tangibovu ndio wakajishtukia wakapakia wanafunzi maana kwa jinsi nilivyowamind walihisi sitowaacha salama naweza wachomesha.
Unamvimbia waziri...Hawezi kupandishaa gari zima wanafunzi serikali ingeweka walau idadi ya wanafunzi Kila gari konda awapakie...
Konda anatafuta hesabu ya boss wakati wanafunzi anatakiwa awahi shule au awahi nyumban utaratibu uangalie pande zote mbili...
😄Maoni yake jamani mdau mwenzetu tumsikilize, humu inabidi kuvumiliana na kuchukuliana Ili twende pamoja kwa salama ya maendeleo na ustawi wa jamii yetuUnamvimbia waziri...
Serikali inunue mabasi ya kutoa huduma ya usafiri kwa wanafunzi. Tatizo litakuwa limeisha
Muheshimiwa uko sahihi lakini linapokuja suala la kutafuta rizq kila kiumbe anajopambania kupata zaid ya jana...Taasisi za huduma hizi Zina viongozi wake, hizo changamoto zote waende huko LATRA wawasilishe wajadili. Ndiyo maana ya kutoa huduma kwa mujibu wa sheria iliyokusajili. Kumnyima mtoto mdogo huduma ni kuvunja Sheria uliyoitii ikusajili. Na ukivunja Sheria hatua zake ni kuwajibika kisheria. Hivyo, dawa ya kukwepa yote haya ni kurudi kwa msajili na kuzungumza. Mambo ndiyo huenda hivyo tafadhali na siyo vinginevyo.
Asante sana ndugu. Serekali iache kukandamiza wafanya biashara za daladala. Vinginevyo Dkt. Gwajima D atwambie serekali imetoa unafuu gani kwa wenye daladala Ili wasafirishe wanafunzi kwa nauli pungufu?Kiuhalisia ni vigumu
Msitumie sheria kuwakandamiza Watanzania masikini
Mwanafunzi anatoka Mbagala anasoma Mwenge, nauli analipwa 200 wakati mtu mzima analipa 1300
Konda anatafuta hesabu ya boss 150k
Konda anatafuta hela ya mafuta 250
Konda anatafuta hela ya dereva 50k
Konda anatafuta service za gari
Konda ana familia
Serikali imulazimishe kondakta ajaze wanafunzi atalipaje haya majukumu.
Serikali tafuteni njia ya kuwapeleka hao wanafunzi shule
Au walipe nauli kamili
😃😃 sawa mama. Mara zote nakupongeza na Mungu akubariki, sio kwa kazi nzuri pekee unayofanya, lakini kwa kushiriki nasi mijadala ya moja kwa moja hapa JF with a verified badge.Maana ya kuanzisha mjadala ilikuwa ni jamii ijue kuwa, badala ya kuniTag mimi kwenye hoja za eneo hili, waijue namba ya taasisi yenye dhamana watag moja kwa moja au wapige. Wangeijua hiyo namba hata wasingeniTag. Nikaona nitangaze na namba kabisa. Piga makofi sasa pongeza na namba imejulikana🤗
Dr.magari ya makumbusho kupitia goba kwenda mbezi kwa kweli wanafunzi wananyanyasika sana.Wasaalam,
Kule x kuna hoja kwamba, baadhi ya "makonda" wa ma Bus ya abiria wanazuiwa wanafunzi kupanda ma Bus hayo.
Tangu kuja kwangu iliambatana na ujumbe uliokuwa umetumwa kwenda kwa CarolNdosi na uliosomeka "Carol , naomba usaidie hili, moja ya changamoto kuubwa ni wanafunzi kupanda daladala sijui ni sheria ipi inaruhusu konda kuaamua kupakia au kutopakia, kiufupi wakinamama wanaopeleka watoto wao asubuhi vituoni wanapitia shida sana"
Baada ya kuwasiliana na taasisi ya udhibiti (LATRA) na kwa kuzingatia kuwa, changamoto hii huenda inawakumba wazazi wengi, naomba kutoa mrejesho kwa majukwaa yote kuwa; Hakuna Sheria inayomruhusu "Konda" wa Gari la abiria kuzuia wanafunzi wasipande magari hayo. Hapo ni kuwa, "Konda" huyo anakuwa ameamua tu kukiuka Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) chini ya Wizara ya Uchukuzi na kinachotakiwa ni Wazazi hao watoe taarifa LATRA waambatishe na namba ya gari husika. Namba ya LATRA hiyo hapo.
Ahsanteni kwa ushirikiano, tuwalinde watoto wetu🇹🇿
Shukrani kwa CarolNdosi kwa ushirikiano. Mkurugenzi LATRA ahsante kwa ushirikiano.
😂😂😂😂😂 Ukitaka kuchati na mawaziri jiunge jamiiforum Leo nime reply text ya mheshimiwa waziri asee mwambie mama wa kizimkazi mitano tena sasa nisikie Mbuzi ina reply hii text kimbea mbeaHapo kwenye bango kuna namba za LATRA, hebu katoe maoni tafadhali. Uwe na jioni njema ya Baraka ✍🏻🙏🏽
🤣🤣🤣🤣🤣 Kwanza nicheke, hadi umenifanya waniulize kulikoni, halafu nikukaribishe na dodoma yetu😂😂😂😂😂 Ukitaka kuchati na mawaziri jiunge jamiiforum Leo nime reply text ya mheshimiwa waziri asee mwambie mama wa kizimkazi mitano tena sasa nisikie Mbuzi ina reply hii text kimbea mbea
😥 Tuendelee kuelimisha na kusikilizana Ili twende pamoja kama tulivyokubaliana kwenye miongozo ya usajili wa huduma zetu sambamba na kupokea maoni ya maboresho, hii Jamii ni yetu wote, tukienda kinyume na sheria inakuwa haina tija zaidi ya kukutana na usumbufu usio wa lazimaDr.magari ya makumbusho kupitia goba kwenda mbezi kwa kweli wanafunzi wananyanyasika sana.
Yaani konda yuko radhi gari lisipakie lipite kituo kisa tuu kuna wanafunzi kwa kweli naumia sana ninapoona hiki kitendo.
😃😃 sawa mama. Mara zote nakupongeza na Mungu akubariki, sio kwa kazi nzuri pekee unayofanya, lakini kwa kushiriki nasi mijadala ya moja kwa moja hapa JF with a verified badge.
Tuweni na roho wa Mungu katika hatua zetu zote tutabarikiwa zaidi, vinginevyo tutakinzana na Sheria halafu hata tija haitakuwepo, kama wale watuhumiwa wa mkoa wa Rukwa Sumbawanga Waalimu tunawaeleza msiwape wanafunzi adhabu kinyume na mwongozo wa adhabu, hawasikii, sasa kimewakuta na wao huko, wanatuhumiwa kupiga kipigo cha kifo na wako ndani. Jamani, maoni ni mazuri Sana, tushirikiane ila tuepuke kuvunja Sheria.....Muheshimiwa uko sahihi lakini linapokuja suala la kutafuta rizq kila kiumbe anajopambania kupata zaid ya jana...