Madai ya waislam kuhusu sensa 2012

Madai ya waislam kuhusu sensa 2012

Chomsky

Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
31
Reaction score
5
Ni muda mrefu Waislam wa Tz wanalalamika juu ya manyanyaso wanayofanyiwa na serikali yao. Hili limekuwa likijitokeza katika siasa, elimu afya na hata nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini.

Mwaka huu serikari inatarajia kuendesha zoezi la kuhesabu watu na makazi kwa wote watakaolala nchini usiku wa kuamkia tar 26. Zoezi litadumu kwa muda wa siku saba. Dodoso litahusisha jina la mtu, umri wake, jinsi, elimu nk. Nyumba za Ibada pia zitahesabiwa!

Ni uamuzi mzuri wa serikari yetu kwa lengo la ku-provide huduma kwa raia wake.

Sasa Waislam wanahoji kukosekana kwa kipengele cha Dini katika madodoso hayo ya sensa. Eti wana-JF wenzangu, kuna ubaya gani serikari kujua idadi ya watu na imani zao? Kwani hii si inaweza kusaidia katika kutoa huduma stahili kwa watu kulingana na imani zao? E.g Kugawa maeneo ya mazishi kulingana na idadi ya waumini fulani katika eneo fulani? (Kumbuka Waislamu, Wakristo nk huzikana kulingana na imani zao hivyo si rahisi ku-share eneo la makaburi).
 
rais-muislamu
makamu wa rais......muislam
rais wa zanzibar.......muislam
makamu wa 1..........muislam
makamu wa 2..........muislam.
igp.........................muslam.
mkuu tss................muislam.
jai mkuu.................muislam.

waislamu mungu awape nini muache kulalamika?
mimi nashauri uchaguzi wa 2015 nafasi zote za juu ziachwe kwa waislamu ili waridhike kwa sababu wao ndio wa kwanza kuichagua ccm,ccm imekuwa ikiwahadaa miaka na miaka lakini badala ya kuona ni wapi walipokwama wao wanalalamikia ukiristo.
waislamu kwa sasa wako radhi kuisamehe ccm hata ikiwafanyia baya kiaso gani kisa rais na mwenyekiti wa ccm ni muislamu mwenzetu muislam na ili uwajue ni watu wa namna gani mabaya yote ccm inayowafanyia sasa watakuja kuiadhibu siku raisna mwenyekiti wa ccm ataka[po kuwa mkristo.
 
rais-muislamu
makamu wa rais......muislam
rais wa zanzibar.......muislam
makamu wa 1..........muislam
makamu wa 2..........muislam.
Igp.........................muslam.
Mkuu tss................muislam.
Jai mkuu.................muislam.

Waislamu mungu awape nini muache kulalamika?
Mimi nashauri uchaguzi wa 2015 nafasi zote za juu ziachwe kwa waislamu ili waridhike kwa sababu wao ndio wa kwanza kuichagua ccm,ccm imekuwa ikiwahadaa miaka na miaka lakini badala ya kuona ni wapi walipokwama wao wanalalamikia ukiristo.
Waislamu kwa sasa wako radhi kuisamehe ccm hata ikiwafanyia baya kiaso gani kisa rais na mwenyekiti wa ccm ni muislamu mwenzetu muislam na ili uwajue ni watu wa namna gani mabaya yote ccm inayowafanyia sasa watakuja kuiadhibu siku raisna mwenyekiti wa ccm ataka[po kuwa mkristo.

hawa jamaa hivi wanataka nini zaidi?..........mi nadhani wanataka mgawo wa nchi kwamba waislamu wanapewa dar,tanga,na pwani alafu iliyobaki ni ya wakristo na wapagani na dini nyingine kwani naona hawa watu ni wabinafsi sana...
 
E.g Kugawa maeneo ya mazishi kulingana na idadi ya waumini fulani katika eneo fulani? (Kumbuka Waislamu, Wakristo nk huzikana kulingana na imani zao hivyo si rahisi ku-share eneo la makaburi).

Badala ya kuwaza ya kuishi wewe unawaza ya kuzikwa.........kuna mtu amekosa pa kuzikwa tangu uzaliwe hapa Tanzania just kwa sababu ya imani yake?........shame on you and of your kind!
 
Hizi dini zetu ni za maajabu sana kwani zimeanza kuleta madai ya ajabiajabu tu
 
Mtoa mada umeongea ukweli maana hata ukienda mahakamani au polisi Lazima utaulizwa DINI yako nani wakati ukichukuliwa maelezo,Y Dini yako? Na Nyumba za Ibada kwa nini zihesabiwe wakati wajengaji wa hizo nyumba ni waumini wenyewe? Au kwa nini nyumba za kuishi nazo zisihesabiwe? Si Bure Kuna jambo.
 
Basi subirini mtakuwa mnaulizwa huko mahakamani.
 
Yaani hawa jamaa wangekosa hizo nafasi zote sijui ingekuwaje? Sasa hivi Mr. Dhaifu yuko kwenye mkakati kwamba Rais ajaye awe wa kwao. Lakini nasema awamu ijayo Rais, makamu, rais wa zenj na makamu wote, IGP, Jaji mkuu, usalama wa taifa n.k ni zamu ya wakristu. Wao tutawapa waziri mkuu!
 
Mbona wakatoliki wanajihesabu wenyewe na hawalalamiki na wanajipangia wao maendeleo yao hivi waislamu mna matatizo gani ninyi?
 
Ni muda mrefu Waislam wa Tz wanalalamika juu ya manyanyaso wanayofanyiwa na serikali yao. Hili limekuwa likijitokeza katika siasa, elimu afya na hata nafasi mbalimbali za uongozi hapa nchini.

Mwaka huu serikari inatarajia kuendesha zoezi la kuhesabu watu na makazi kwa wote watakaolala nchini usiku wa kuamkia tar 26. Zoezi litadumu kwa muda wa siku saba. Dodoso litahusisha jina la mtu, umri wake, jinsi, elimu nk. Nyumba za Ibada pia zitahesabiwa!

Ni uamuzi mzuri wa serikari yetu kwa lengo la ku-provide huduma kwa raia wake.

Sasa Waislam wanahoji kukosekana kwa kipengele cha Dini katika madodoso hayo ya sensa. Eti wana-JF wenzangu, kuna ubaya gani serikari kujua idadi ya watu na imani zao? Kwani hii si inaweza kusaidia katika kutoa huduma stahili kwa watu kulingana na imani zao? E.g Kugawa maeneo ya mazishi kulingana na idadi ya waumini fulani katika eneo fulani? (Kumbuka Waislamu, Wakristo nk huzikana kulingana na imani zao hivyo si rahisi ku-share eneo la makaburi).

Waislamu wajihesabu wao, katika magroup kama ni Washia, washuni, Ismailia. Sisi dini nyingine hatutaki
 
Ukielewa nini tofauti ya formal na informal education, utasumbuka na maada hii....
 
serikali haina dini, so sioni kwa nini waweke hicho kipengele, waulizwa vizuri mantiki ya kukidai.
 
hawa jamaa hivi wanataka nini zaidi?..........mi nadhani wanataka mgawo wa nchi kwamba waislamu wanapewa dar,tanga,na pwani alafu iliyobaki ni ya wakristo na wapagani na dini nyingine kwani naona hawa watu ni wabinafsi sana...

Sasa utajuaje mgao bila kujua hesabu !? ngoja tuhesabiwe halafu uje na mgao wako huo' huenda Iringa na Mbeya pia yetu T
 
Back
Top Bottom