Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
Kwani ujui kuwa kunawatu wanaishi hapo hapo ..wenye nchi yao ....kwanini wanawake na wanaume huku kwetu wanatengwa huko wana bambiniana tu tena unajua hiyo ibada inafanyika watu wakiwa nusu uchi hivyo ni hatari sama mudi boy ni muhuni alitoa fafanuzi ya viungo vya mwanaume ambavo ni sehemu ya kuwa nusu uchi ila hapo wanaume hadi matumbo na vifua vinaonekana juzi tumemwona mwijaku ...mashekh mandazi mmekaa kimywa ...mbona sa100 kuingia na mabasha upande wa wanawake milisema ni kosa sasa hapo tunaona wanawake na wanaume wamechangamana tena kwa kubambiana kabisaView attachment 3283640
Kuna post moja nimeiona kuhusiana na Malalamiko kwamba Wanawake wa Kiislamu wananyanyaswa kingono pale wanapokuwa katika ibada ya Tawaf
Ingawa kuna video inasemekana kuna muandishi au mwanamke wa kiislamu analalamika,binafsi sikuangalia hata video hiyo kwakuwa sikuona umuhimu wa kuitazama kwa kujua ni propaganda za za wasio utakia kheri Uislamu
Haiingii akilini katika ibada hiyo muhimu muumini wa kiislamu kufanya vitendo kama hivyo,kwa kujua ukubwa wa ibada hiyo ambayo ni waislamu wachache sana wana bahatika kuipata kutokana na uwezo wa kifedha,kwani ina gharimu fedha nyingi sana,halafu muislamu huyu aje afanye mambo yasiyo faa
Lakini pili mpaka muumini huyu wa kiislamu kwenda Makka katika ibada tukufu ujue hakika amemua kwenda kujitakasa kwa Mola wake,iweje leo hii akiwa pale afanye yenye kumchukiza Allah? Je haogopi?
Ikiwa tu mtu ambaye ameweka nia ya kwenda hijja kuna miezi inayofuatana kuelekea msimu wa hijja anatakiwa aepukane na machafu akiwa hajafika Makka bado,je iweje kwa kulitambua hilo aende kinyume na mafundisho na makatazo akiwa kule hijja?
Tatu na mwisho kwa walioenda Hijja na kufanya ibada ya tawafu wanasema ukiwa pale hakika unakuwa katika level kubwa ya imani kiasi kwamba kuna utulivu mkubwa wa nafsi unaupata kwa ya Allah,hata mwanamke akiwa mbele yako yani si chochote kwako,je hizo fikra za kishetani zinatoka wapi?
Nilisoma komenti kwa uchache sana,kuna komenti moja inasema huku wanawake na wanaume wanatengwa kwenye ibada lkn huko wanachanganywa,ajue kwamba kule kumeepukana na kuwaza machafua au kuwa na matamanio kutokana ibada yenyewe ilivyo tukufu hivyo kuchangamana kule hakuathiri ibada za waumini
Namalizia kwa kusema hizo ni propaganda makhususi kuuchafua uislamu kama vile ambavyo wahusika wa viwanda vya kutengeneza picha chafu za ngono kuwaonyesha wacheza porn wakiwa wamevaa hijabu ikiwa ni njia ya kutia dosari imani ya kiislamu na uislamu
Muandishi wa uzi huu hatawajibika kusoma au kujibu komenti za wachangiaji kwa kuhofia kuharibu funga yake kwani penye wengi pana mengi wengine kutoa kauli chafu ni starehe kwao
Ni hayo tu!
Kuna watu akili zao wazijua wenyewe chance ndogo tu akiipata anachofanya huwezi kuamini hata ukiadithiwa..View attachment 3283640

Muda mwingine muwe na hofu ya munguView attachment 3283640

Kila mtu atalipwa kutokana na nia yake,kama ameenda kwa mizaha basi malipo yake atalipwa na hao anao waonyesha mizaha yakeHiyo ibada hadi Mwijaku anaenda kule kufanya mizaha ni kama imeshakosa utukufu wake. Waislamu mjitafakari.
Kama hayo unayaona ni maoni kwako ni sawaEtugrul Bey Mbona haujajibu zaidi ya kutoa maoni yako tu?
Zile video siyo fake zimepigwa Makkah na mwandishi mwanamke Msaudia aliyelalamika yupo. Siyo mtu wa kufikirika.
Kuna post moja imewekwa humu ya mwanamke anapigwa makofi na askati wa ulinzi wa hapo hapo Makkah al kaaba. Hiyo nayo unasemaje?
Mwisho kama Mwijaku tu anaweza fanya usanii kwenye alkaaba wanaume watashindwa nini kutomasa wamama wanaokuwa hawajavaa hata chupi?
Jomba kama wanaume na wanawake wanajichanganya sehemu moja huoni kuna uwezekano wa wahuni kufanya yao?Kila mtu atalipwa kutokana na nia yake,kama ameenda kwa mizaha basi malipo yake atalipwa na hao anao waonyesha mizaha yake
Kama ameenda kujionyesha kwa watu basi ibada hiyo italipwa na hao watu anaotaka kujionyesha kwao
Kwahiyo ibada kama ibada yenyewe haina kasoro wala shida yoyoye ile
Kwaio unadhani kila scandal mbaya zinazotokea makkah ni propaganda za kuuchafua uislamu??View attachment 3283640
Kuna post moja nimeiona kuhusiana na Malalamiko kwamba Wanawake wa Kiislamu wananyanyaswa kingono pale wanapokuwa katika ibada ya Tawaf
Ingawa kuna video inasemekana kuna muandishi au mwanamke wa kiislamu analalamika,binafsi sikuangalia hata video hiyo kwakuwa sikuona umuhimu wa kuitazama kwa kujua ni propaganda za za wasio utakia kheri Uislamu
Haiingii akilini katika ibada hiyo muhimu muumini wa kiislamu kufanya vitendo kama hivyo,kwa kujua ukubwa wa ibada hiyo ambayo ni waislamu wachache sana wana bahatika kuipata kutokana na uwezo wa kifedha,kwani ina gharimu fedha nyingi sana,halafu muislamu huyu aje afanye mambo yasiyo faa
Lakini pili mpaka muumini huyu wa kiislamu kwenda Makka katika ibada tukufu ujue hakika amemua kwenda kujitakasa kwa Mola wake,iweje leo hii akiwa pale afanye yenye kumchukiza Allah? Je haogopi?
Ikiwa tu mtu ambaye ameweka nia ya kwenda hijja kuna miezi inayofuatana kuelekea msimu wa hijja anatakiwa aepukane na machafu akiwa hajafika Makka bado,je iweje kwa kulitambua hilo aende kinyume na mafundisho na makatazo akiwa kule hijja?
Tatu na mwisho kwa walioenda Hijja na kufanya ibada ya tawafu wanasema ukiwa pale hakika unakuwa katika level kubwa ya imani kiasi kwamba kuna utulivu mkubwa wa nafsi unaupata kwa ya Allah,hata mwanamke akiwa mbele yako yani si chochote kwako,je hizo fikra za kishetani zinatoka wapi?
Nilisoma komenti kwa uchache sana,kuna komenti moja inasema huku wanawake na wanaume wanatengwa kwenye ibada lkn huko wanachanganywa,ajue kwamba kule kumeepukana na kuwaza machafua au kuwa na matamanio kutokana ibada yenyewe ilivyo tukufu hivyo kuchangamana kule hakuathiri ibada za waumini
Namalizia kwa kusema hizo ni propaganda makhususi kuuchafua uislamu kama vile ambavyo wahusika wa viwanda vya kutengeneza picha chafu za ngono kuwaonyesha wacheza porn wakiwa wamevaa hijabu ikiwa ni njia ya kutia dosari imani ya kiislamu na uislamu
Muandishi wa uzi huu hatawajibika kusoma au kujibu komenti za wachangiaji kwa kuhofia kuharibu funga yake kwani penye wengi pana mengi wengine kutoa kauli chafu ni starehe kwao
Ni hayo tu!
Kwenye maelezo yako mengi,ningependa kugusia nukta moja tuKwaio unadhani kila scandal mbaya zinazotokea makkah ni propaganda za kuuchafua uislamu??
Kwamba hakuna waislamu wenye nia mbaya wanaotumia opportunity ya kubanana na jinsia tofauti to take advantage of those innocent women walioenda kwaajili ya ibada.
Sio kila muislamu anayeenda kuhiji makkah ni mstaarabu, wengine ni kwasababu tu they can afford it na wengine ni show-off tu.
Hata hizo video chafu unazozungumzia kwamba wanawake wanavaa hijab ili kuuchafua uislamu unaongea kwa hisia tu.
Hijab ni vazi la kiislamu au ni tamaduni za waarabu??
Before Islam, waarabu walikuwa hawavai hijab??
Before hijab kuwa vazi la kiislamu lilikuwa ni vazi la waarabu, ni tamaduni zao.
Kila mwanamke/mwanamke wa kiarabu anayevaa hijab ni lazima awe muislamu?
Hizo video wanatengeneza ni kwa ajili ya Arab consumers, na hata hivo hizo video za wanawake wanaovaa hijab zinaangaliwa sana na watu wa middle East(arab consumers) because the aesthetics zinaendana nao.
Wao wanatengeneza kwaajili ya mashabiki wao huko middle East we unasema wanachafua uislamu.
Je na zile video wanawake wamevaa kama masister na msalaba ya Yesu shingoni tuseme nazo wanachafua ukristo??
Hata kama jibu ni ndio, inanihusu mimi nn? Hainipunguzii chochote wala hainiongezei chochote, waache wafanye upumbavu wao.
Sio kila muislamu anautakia mema uislamu na sio muislamu anayeenda kuhiji makkah ni mtu mwema.
Unaposema ni propaganda tu na sio kweli, what if ni kweli imetokea?
Huoni kwamba utakuwa unawaumiza na kuwanyima haki wanawake waliofanyiwa hivo vitendo??
Huo uwezekano hakuna kutokana na mazingira yao hapo hawako vocation,hapo wapo kwenye ibada tukufuJomba kama wanaume na wanawake wanajichanganya sehemu moja huoni kuna uwezekano wa wahuni kufanya yao?
AsanteNdugu yangu mleta maada nikushauli kitu?
Acha kumkingia kifua mwanadamu, mwanadamu ni mjinga sana wewe fikiria mtume wako Muhammad akiwa na miaka 50 alienda kuoa kitoto kina miaka 6 na akaanza kukiingizia dude lake, hivi hiyo ni haki kweli mkuu?
Nakushangaa sana hata kujiita muislam
Sasa sikiliza njia ya kwenda mbingun ni moja tu nayo ni YESU KRISTO
Uislam hautakuokoa chanzo cha uislam ni ushirikana na mwisho wake ni kuzimu pole sana
Lakin mda bado upo unaweza fanya kitu
YOHANA 14:6
Huna facts unaongea hisia zaidi. Badilisheni utaratibu wa kutenganisha wanaume na wanawake huko ibadani.Huo uwezekano hakuna kutokana na mazingira yao hapo hawako vocation,hapo wapo kwenye ibada tukufu
Kwa kila muislamu mwenye akili timamu na imani thabiti hawezi kufanya huo ujinga,nitasimami huo msimamo wangu