Mzee naona bado hujanielewa, hayo ni maswala ya marketing tu, it's simply marketing.Kwenye maelezo yako mengi,ningependa kugusia nukta moja tu
Ni sahihi kabisa hayo mavazi unayosema yalitumiwa na watu wa zama za huko nyuma
Lkn kwanini wahusika waseme "mimi ni mwanamke wa kiislamu?"
Kwanini hizo clip ziandikwe " a muslim woman JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala a white guy au a black guy"
Kwanini neno islam litumike hapo?
Kwenye mMzee naona bado hujanielewa, hayo ni maswala ya marketing tu, it's simply marketing.
Na ndio maana nika point out kwamba majority of consumers wa hizo porn ni watu wa middle East ambao majority are muslims, unadhani kwann??
Tofautiana, binadamu tuna kinks(desire) tofauti, wewe maybe unapenda wanawake wa kizaramo, mm napenda wanawake wa kihaya, mwingine ni muislamu ila anapenda wanawake wa kikristo, mwingine ni mkristo lakini anapenda wanawake wa kiislamu.
Unadhani kwa watu wenye kink na wanawake wa kiislamu "aesthetically" hawatotamani kuangalia hizo aina za porn zinazosema "muslim woman f*cks" ??
Simply ni maswala ya marketing na kuongeza diversity.
Ukiachana na huo mfano wako, kuna category za racial porn, utakuta wameandika....
"Hindu woman gets f*cked by white guy" unadhani wanajaribu kuwachafua Indians/Hindus??
"Japanese woman f*cked by black guy" unadhani wanajaribu kuwachafua Japanese women??
Don't take it personal, wanataka tu kuongea watazamaji.
Okay let's say ndio wanataka kuuchafua uislamu hio haipaswi kukupa wewe presha.
Mwamini Mungu wako.
Muabudu Mungu wako.
Mpende Mungu wako.
Muweke Mungu wako moyoni mwako, usiangalie pembeni, usiangalie watu wanafanya nn, mara yule kasema hivi kuhusu uislamu, mara yule kaandika hivi kuhusu uislamu, utaumiza kichwa na kukukosesha raha bure.
Dini ya kweli ni mahusiano kati yako wewe na Mungu wako, wakiigiza video zao ngono wakaandika "muslim woman f*cked" inakupunguzia nn kweny mahusiano yako wewe na Mungu wako?
Tengeneza mahusiano mazuri na Mungu wako achana na wanadamu, kama Mungu unayemwamini ni wa kweli na ana uwezo, atashughulika nao yeye mwenyew.
Kwenye maelezo yako kama unaingia na kutoka hiviMzee naona bado hujanielewa, hayo ni maswala ya marketing tu, it's simply marketing.

Uzalili ni nini?Ngono siyo ibada
Ibada ni vitendo vizur na maneno mazuri anayoyapenda Mwenyezi Mungu
Ndugu yangu siku ya kiama tutasimamishwa mbele ya Mola wetu kama tulivyozaliwa siku ya kwanza,ila hakuna atakaye kuwa na muda wa kumuangalia mwenzake
Dhumuni la wote wanao enda kufanya ibada ya hija kuvaa vile kwanza ni kuonyesha uzalili wao na unyonge wao mbele ya Allah,watambue kwamba wao sio chochote mbele ya Mola wao
Pili wote wajisikie ni waja wa Mwenyezi Mungu na asiwe mbora mbele ya wengine,ndio maana mfalme,raisi,makamu wa raisi,tajir na maskini wote wanavaa nguo moja dhalili sana kuonyesha utumwa wao mbele ya Allah
Kwahiyo hawavai tuu kama kuvaa bali inawakumbusha haijalishi wana status gani katika maisha,wajue pale wapo kwa Mola wa viumbe na mfalme wa wafalme
Asante
Kwaiyo ww unadhan pale saudia hamna wahuni...au unadhan watu wote wanasafiri.View attachment 3283640
Kuna post moja nimeiona kuhusiana na Malalamiko kwamba Wanawake wa Kiislamu wananyanyaswa kingono pale wanapokuwa katika ibada ya Tawaf
Ingawa kuna video inasemekana kuna muandishi au mwanamke wa kiislamu analalamika,binafsi sikuangalia hata video hiyo kwakuwa sikuona umuhimu wa kuitazama kwa kujua ni propaganda za za wasio utakia kheri Uislamu
Haiingii akilini katika ibada hiyo muhimu muumini wa kiislamu kufanya vitendo kama hivyo,kwa kujua ukubwa wa ibada hiyo ambayo ni waislamu wachache sana wana bahatika kuipata kutokana na uwezo wa kifedha,kwani ina gharimu fedha nyingi sana,halafu muislamu huyu aje afanye mambo yasiyo faa
Lakini pili mpaka muumini huyu wa kiislamu kwenda Makka katika ibada tukufu ujue hakika amemua kwenda kujitakasa kwa Mola wake,iweje leo hii akiwa pale afanye yenye kumchukiza Allah? Je haogopi?
Ikiwa tu mtu ambaye ameweka nia ya kwenda hijja kuna miezi inayofuatana kuelekea msimu wa hijja anatakiwa aepukane na machafu akiwa hajafika Makka bado,je iweje kwa kulitambua hilo aende kinyume na mafundisho na makatazo akiwa kule hijja?
Tatu na mwisho kwa walioenda Hijja na kufanya ibada ya tawafu wanasema ukiwa pale hakika unakuwa katika level kubwa ya imani kiasi kwamba kuna utulivu mkubwa wa nafsi unaupata kwa ya Allah,hata mwanamke akiwa mbele yako yani si chochote kwako,je hizo fikra za kishetani zinatoka wapi?
Nilisoma komenti kwa uchache sana,kuna komenti moja inasema huku wanawake na wanaume wanatengwa kwenye ibada lkn huko wanachanganywa,ajue kwamba kule kumeepukana na kuwaza machafua au kuwa na matamanio kutokana ibada yenyewe ilivyo tukufu hivyo kuchangamana kule hakuathiri ibada za waumini
Namalizia kwa kusema hizo ni propaganda makhususi kuuchafua uislamu kama vile ambavyo wahusika wa viwanda vya kutengeneza picha chafu za ngono kuwaonyesha wacheza porn wakiwa wamevaa hijabu ikiwa ni njia ya kutia dosari imani ya kiislamu na uislamu
Muandishi wa uzi huu hatawajibika kusoma au kujibu komenti za wachangiaji kwa kuhofia kuharibu funga yake kwani penye wengi pana mengi wengine kutoa kauli chafu ni starehe kwao
Ni hayo tu!
Kama waenda hija ni hawahawa kina mwijaku, point number 2 na namba 3 hazina mashiko.View attachment 3283640

Let's wrap this up.Kwenye m
Kwenye maelezo yako kama unaingia na kutoka hivi
Satirical iko hivi dini ni kitu sensitive sana,tofauti na utaifa au makabila
Iko hivi uislamu ni dini ambayo imenyoka na imejipambanua kupinga aina zote za maovu na machafu,tofauti na dini nyingine ambazo zinalegeza misimamo yao juu ya mambo fulani fulani
Kwahiyo unatajwa uislamu makusudi kuonyesha kwamba hata mabinti wa kiislamu wanacheza porn,trust me hii huwaathiri mabinti wengine wa kiislamu kuona kwamba kumbe haya mambo yanawezekana
Hawafanyi hivyo kwa bahati mbaya ila wanaingiza fikra kwa vijana wa kike wa kiislamu ili baadae washawishike kufanya hayo machafu
Nadhani katika hili tulimalize ibakie kukubaliana kwa kutokukubaliana
Katika uislamu mafundisho yetu yana tutaka kuamrisha mema na kukataza mabaya,ndio maana tumeitwa sisi ni umma bora
Kwahiyo kuamrisha mema na kukataza mabaya ni ibada na maagizo kwetu
Halafu tambua kitu kimoja,jamii ikiachwa iharibike jua kwamba hata kizazi chako kitaharibika,mathalani tusipo upiga vita ushoga ujue kijana wako na wangu hawatakuwa salama baada ya mda fulani
Kwahiyo acha hizo vifra za kusema nimwabudu Mungu mwenyewe,nimuamini mwenyewe na kadhalika wakati ametupa maelekezo ya kuwa mabalozi wa kuamrisha mema na kukataza mabaya
Sisi tunafanya kazi walizo fanya mitume ingawa wao hawapo lkn tunaendelea kuyafanya yale ambayo walifanya kutengeneza umma bora
Asante
Nimeshangaa jamaa anajifanya hajui Kuna watu wa hovyo wengi tu kama Mwijaku wanakwenda huko. Tena mpaka video karekodi halafu huyu jamaa anajifanya hajawaona wahuni wakifanya uhuni huko.Kuna watu akili zao wazijua wenyewe chance ndogo tu akiipata anachofanya huwezi kuamini hata ukiadithiwa..
Huna hoja yoyote upuuzwe vikaliView attachment 3283640
Kuna post moja nimeiona kuhusiana na Malalamiko kwamba Wanawake wa Kiislamu wananyanyaswa kingono pale wanapokuwa katika ibada ya Tawaf
Ingawa kuna video inasemekana kuna muandishi au mwanamke wa kiislamu analalamika,binafsi sikuangalia hata video hiyo kwakuwa sikuona umuhimu wa kuitazama kwa kujua ni propaganda za za wasio utakia kheri Uislamu
Haiingii akilini katika ibada hiyo muhimu muumini wa kiislamu kufanya vitendo kama hivyo,kwa kujua ukubwa wa ibada hiyo ambayo ni waislamu wachache sana wana bahatika kuipata kutokana na uwezo wa kifedha,kwani ina gharimu fedha nyingi sana,halafu muislamu huyu aje afanye mambo yasiyo faa
Lakini pili mpaka muumini huyu wa kiislamu kwenda Makka katika ibada tukufu ujue hakika amemua kwenda kujitakasa kwa Mola wake,iweje leo hii akiwa pale afanye yenye kumchukiza Allah? Je haogopi?
Ikiwa tu mtu ambaye ameweka nia ya kwenda hijja kuna miezi inayofuatana kuelekea msimu wa hijja anatakiwa aepukane na machafu akiwa hajafika Makka bado,je iweje kwa kulitambua hilo aende kinyume na mafundisho na makatazo akiwa kule hijja?
Tatu na mwisho kwa walioenda Hijja na kufanya ibada ya tawafu wanasema ukiwa pale hakika unakuwa katika level kubwa ya imani kiasi kwamba kuna utulivu mkubwa wa nafsi unaupata kwa ya Allah,hata mwanamke akiwa mbele yako yani si chochote kwako,je hizo fikra za kishetani zinatoka wapi?
Nilisoma komenti kwa uchache sana,kuna komenti moja inasema huku wanawake na wanaume wanatengwa kwenye ibada lkn huko wanachanganywa,ajue kwamba kule kumeepukana na kuwaza machafua au kuwa na matamanio kutokana ibada yenyewe ilivyo tukufu hivyo kuchangamana kule hakuathiri ibada za waumini
Namalizia kwa kusema hizo ni propaganda makhususi kuuchafua uislamu kama vile ambavyo wahusika wa viwanda vya kutengeneza picha chafu za ngono kuwaonyesha wacheza porn wakiwa wamevaa hijabu ikiwa ni njia ya kutia dosari imani ya kiislamu na uislamu
Muandishi wa uzi huu hatawajibika kusoma au kujibu komenti za wachangiaji kwa kuhofia kuharibu funga yake kwani penye wengi pana mengi wengine kutoa kauli chafu ni starehe kwao
Ni hayo tu!
Halafu wote hawavai chupi ndani dudu kusimama likigusa kalio la mwanamke kwenye msongamanon nyuma kawaida hiyoKwa mbanano ule kumnawa mtu inawezekana.
PointlessTatu na mwisho kwa walioenda Hijja na kufanya ibada ya tawafu wanasema ukiwa pale hakika unakuwa katika level kubwa ya imani kiasi kwamba kuna utulivu mkubwa wa nafsi unaupata kwa ya Allah,hata mwanamke akiwa mbele yako yani si chochote kwako,je hizo fikra za kishetani zinatoka wapi?
Kuna nguzo 3Hivi ndani ya lile jiwe Kuna nini Hadi kina Mwijaku waliomba.
Mkuu una uhakika?Iko hivi uislamu ni dini ambayo imenyoka na imejipambanua kupinga aina zote za maovu na machafu,tofauti na dini nyingine ambazo zinalegeza misimamo yao juu ya mambo fulani fulani
NdioMkuu una uhakika?
Lile sio jiwe ni nyumba yenye chumba kimoja kikubwa,na nyumba hiyo imefunikwa na kitambaa cheusiHivi ndani ya lile jiwe Kuna nini Hadi kina Mwijaku waliomba.
AsantePointless