Madai ya Wanawake Wanaoenda Kutufu au Tawaf Kunyanyaswa Kingono Si ya Kweli

Shetani alianza uhasi akiwa sehemu tukufu kwa mtukufu mwenyewe Mungu.
Eneo halimuondolei hisia za ngono au ubazazi binadamu.
Je chanzo cha uovu wa shetani kwa Mungu ni unyanyasaji wa kingono?
 
Hizo ni propaganda za makafiri Yani shekhe kaacha wake 4 nyumbani alafu abambie mwanamke katika ibada kubwa kama hiyo?

Makafiri Wana shida sana
Hawa huwa wanapenda sana ligi pale linapokuja swala la uislamu

Ni wa kuwapuuza tu baadhi yao
 
Hizo ni propaganda za makafiri Yani shekhe kaacha wake 4 nyumbani alafu abambie mwanamke katika ibada kubwa kama hiyo?

Makafiri Wana shida sana
Hapa unatuonea tu makafiri. Hizi mada wamezianzisha ndugu zenu katika Imani tena huko Saudia.. Sisi ni mashabiki tu. Shida yenu mkikosolewa mnaona uislam unashambuliwa.
 
Mkuu hao nao hawaelewi makafiri ni nini?
Kwa mujibu wa kitabu ni yeyote asiyeyafanya mapenzi ya allah,
kwani hakuna waislamu jina? Wasiyotenda walioamrishwa, je na wao ni kina nani?
 
Mwijaku ni nani kwenu? Mbona kila mtu anamtolea mfano mwijaku

Watu wa hovyo wapo lkn sio hapo alkaaba,na wingi huo wa watu ambao wanafanya ibada hapo huo ujinga mtu ataanza kuufanyia wapi?

Msiwe wepesi wa kupokea vitu na kuviamini kirahisi tu,think big
Nikuulize mbele Yako kuna mwanamke hajavaa chupi wewe upo nyuma yake hujavaa chupi Wala boxer mna vi mtandio tu umelibana Tako la mwanamke Hana chupi , dudu lazima iamke yenyewe bila wewe kupenda
 
Hizo ni propaganda za makafiri Yani shekhe kaacha wake 4 nyumbani alafu abambie mwanamke katika ibada kubwa kama hiyo?

Makafiri Wana shida sana
King Mswati ana wake 15 na bado akaenda kuoa mtoto wa Jacob Zhuma.
Mfalme Suleiman alikuwa na wake wangapi na bado akamtamani Malkia wa Sheeba?
Mfalme Dawud alikuwa na mke na bado alimtamani mke wa mlinzi wake.
Linapofika suala la binadamu usimuwekee dhamana na viapo kuwa hawezi kuanguka kwenye dhambi ya matamanio.
 
Mambo ya msingi na hoja makhususi zimeelezwa hapa

Asanteni sana

Uzi umefungwa
 
View attachment 3283640

Kuna post moja nimeiona kuhusiana na Malalamiko kwamba Wanawake wa Kiislamu wananyanyaswa kingono pale wanapokuwa katika ibada ya Tawaf

Ingawa kuna video inasemekana kuna muandishi au mwanamke wa kiislamu analalamika,binafsi sikuangalia hata video hiyo kwakuwa sikuona umuhimu wa kuitazama kwa kujua ni propaganda za za wasio utakia kheri Uislamu

Haiingii akilini katika ibada hiyo muhimu muumini wa kiislamu kufanya vitendo kama hivyo,kwa kujua ukubwa wa ibada hiyo ambayo ni waislamu wachache sana wana bahatika kuipata kutokana na uwezo wa kifedha,kwani ina gharimu fedha nyingi sana,halafu muislamu huyu aje afanye mambo yasiyo faa

Lakini pili mpaka muumini huyu wa kiislamu kwenda Makka katika ibada tukufu ujue hakika amemua kwenda kujitakasa kwa Mola wake,iweje leo hii akiwa pale afanye yenye kumchukiza Allah? Je haogopi?

Ikiwa tu mtu ambaye ameweka nia ya kwenda hijja kuna miezi inayofuatana kuelekea msimu wa hijja anatakiwa aepukane na machafu akiwa hajafika Makka bado,je iweje kwa kulitambua hilo aende kinyume na mafundisho na makatazo akiwa kule hijja?

Tatu na mwisho kwa walioenda Hijja na kufanya ibada ya tawafu wanasema ukiwa pale hakika unakuwa katika level kubwa ya imani kiasi kwamba kuna utulivu mkubwa wa nafsi unaupata kwa ya Allah,hata mwanamke akiwa mbele yako yani si chochote kwako,je hizo fikra za kishetani zinatoka wapi?

Nilisoma komenti kwa uchache sana,kuna komenti moja inasema huku wanawake na wanaume wanatengwa kwenye ibada lkn huko wanachanganywa,ajue kwamba kule kumeepukana na kuwaza machafua au kuwa na matamanio kutokana ibada yenyewe ilivyo tukufu hivyo kuchangamana kule hakuathiri ibada za waumini

Namalizia kwa kusema hizo ni propaganda makhususi kuuchafua uislamu kama vile ambavyo wahusika wa viwanda vya kutengeneza picha chafu za ngono kuwaonyesha wacheza porn wakiwa wamevaa hijabu ikiwa ni njia ya kutia dosari imani ya kiislamu na uislamu

Muandishi wa uzi huu hatawajibika kusoma au kujibu komenti za wachangiaji kwa kuhofia kuharibu funga yake kwani penye wengi pana mengi wengine kutoa kauli chafu ni starehe kwao

Ni hayo tu!
Huna akili mleta mada, unawajua binadamu au unawasikia? Shehe aliyezoea kufira watoto wa miaka 5 madrasa atashindwa nini kushika kalio la mwanamke Makka?
 
Yaani kuna watu kwenye daladala Akio a paja au kitako cha mwanamke atakomaa nacho hadi atamwaga, hapo ni watu amevaa nguo zimetimia sio nusu kama makha
 
Kwani waislamu wote wapo mbali na Makka hadi uhitimishe inagharimu pesa nyingi kufika hapo!

Ile video kama ni halisi basi yale malalamiko yana mashiko.
 
View attachment 3283640

Kuna post moja nimeiona kuhusiana na Malalamiko kwamba Wanawake wa Kiislamu wananyanyaswa kingono pale wanapokuwa katika ibada ya Tawaf

Ingawa kuna video inasemekana kuna muandishi au mwanamke wa kiislamu analalamika,binafsi sikuangalia hata video hiyo kwakuwa sikuona umuhimu wa kuitazama kwa kujua ni propaganda za za wasio utakia kheri Uislamu

Haiingii akilini katika ibada hiyo muhimu muumini wa kiislamu kufanya vitendo kama hivyo,kwa kujua ukubwa wa ibada hiyo ambayo ni waislamu wachache sana wana bahatika kuipata kutokana na uwezo wa kifedha,kwani ina gharimu fedha nyingi sana,halafu muislamu huyu aje afanye mambo yasiyo faa

Lakini pili mpaka muumini huyu wa kiislamu kwenda Makka katika ibada tukufu ujue hakika amemua kwenda kujitakasa kwa Mola wake,iweje leo hii akiwa pale afanye yenye kumchukiza Allah? Je haogopi?

Ikiwa tu mtu ambaye ameweka nia ya kwenda hijja kuna miezi inayofuatana kuelekea msimu wa hijja anatakiwa aepukane na machafu akiwa hajafika Makka bado,je iweje kwa kulitambua hilo aende kinyume na mafundisho na makatazo akiwa kule hijja?

Tatu na mwisho kwa walioenda Hijja na kufanya ibada ya tawafu wanasema ukiwa pale hakika unakuwa katika level kubwa ya imani kiasi kwamba kuna utulivu mkubwa wa nafsi unaupata kwa ya Allah,hata mwanamke akiwa mbele yako yani si chochote kwako,je hizo fikra za kishetani zinatoka wapi?

Nilisoma komenti kwa uchache sana,kuna komenti moja inasema huku wanawake na wanaume wanatengwa kwenye ibada lkn huko wanachanganywa,ajue kwamba kule kumeepukana na kuwaza machafua au kuwa na matamanio kutokana ibada yenyewe ilivyo tukufu hivyo kuchangamana kule hakuathiri ibada za waumini

Namalizia kwa kusema hizo ni propaganda makhususi kuuchafua uislamu kama vile ambavyo wahusika wa viwanda vya kutengeneza picha chafu za ngono kuwaonyesha wacheza porn wakiwa wamevaa hijabu ikiwa ni njia ya kutia dosari imani ya kiislamu na uislamu

Muandishi wa uzi huu hatawajibika kusoma au kujibu komenti za wachangiaji kwa kuhofia kuharibu funga yake kwani penye wengi pana mengi wengine kutoa kauli chafu ni starehe kwao

Ni hayo tu!
Thibitisha kwamba si kweli!!
 
Back
Top Bottom