Madai ya Wanawake Wanaoenda Kutufu au Tawaf Kunyanyaswa Kingono Si ya Kweli

Madai ya Wanawake Wanaoenda Kutufu au Tawaf Kunyanyaswa Kingono Si ya Kweli

Huna hoja yoyote upuuzwe vikali

Kama mwijaku nae kaenda na kufanya mambo ya hovyo kama Yale hivyo kupinga kwamba wanawake hawa nyanyaswi kingono ni kujitoa ufahamu tu. Kwa watu kama mwijaku lolote linaweza kutokea muda wowote hata kama ni hadharani ama kwa kificho!
Kwahiyo mwijaku ndio mtu wa kumtolea mfano katika uislamu?

Ebu jiongeze basi
 
Nimeshangaa jamaa anajifanya hajui Kuna watu wa hovyo wengi tu kama Mwijaku wanakwenda huko. Tena mpaka video karekodi halafu huyu jamaa anajifanya hajawaona wahuni wakifanya uhuni huko.
Mtoa mada Kuna tofauti kati ya IDEAL situation na REAL situation.
Pili watu wakisema ubaya usikimbilie kutetea tu.. Mengine ni sehemu ya kujisahihisha.
Mwijaku ni nani kwenu? Mbona kila mtu anamtolea mfano mwijaku

Watu wa hovyo wapo lkn sio hapo alkaaba,na wingi huo wa watu ambao wanafanya ibada hapo huo ujinga mtu ataanza kuufanyia wapi?

Msiwe wepesi wa kupokea vitu na kuviamini kirahisi tu,think big
 
Kwahiyo mwijaku ndio mtu wa kumtolea mfano katika uislamu?

Ebu jiongeze basi
Mwijaku ni mwislamu pure.

Tunamtolea mfano kuwa watu wenye tabia kama hizo wanaenda pia hija..wewe umesema mtu huyo anakuwa na kicho na utii kwa mwenyezi mungu kiasi kwamba mwanamke si kitu kwakwe.

Hapo una sahau kuna watu wenye akili kama mwijaku wapo na huenda.
 
Kumbe inawezekana kuswali bila kutenganishwa ibadani
 
Nafunga mjadala rasmi,kyna

Mwijaku anatabia ya kujionyesha lkn hawezi kufanya mambo ya aibu kama hayo yanayo semwa

Na uislamu unakataza kufanya ibada kwa kujionyesha
 
Kumbe inawezekana kuswali bila kutenganishwa ibadani
Inawezekana kwa Makka tu

Na huko nyuma ilikuwa wanaume wanakaa safu za mbele na wanawake safu za nyuma kabisa

Ila kutokana na ujenzi wa misikiti basi wametenga kabisa sehemu ya wanaume na wanawake
 
Unalosema mtoa mada huenda ni kweli,lakin kwa ule msongamano ubanane na mwanamke hana chupi unazan abdala kichwa wazi atashindwa kusimama?

Atasimama na utamgusa mwanamke wa watu na atasema umemfanyia makusudi kumbe hata sio kweli

Kama watu waliwah kufa hapo kwa kusukumana,unazan kwann isiwezekane watu kubambiana
 
Nafunga mjadala unless kuwe na mambo ya msingi ya kuyatolea ufafanuzi

Vinginevyo tunapotezeana mda kwa kujadili mambo ya mizaha

Nikiona hoja yenye mashiko ntakuja kujibu
 
Umereta na uzi kabisaa kama ulikuwepo wakati wanashikwa shikwa matako yao..........washikwe wao ufafanuzi uutoe wewe kicheko
 
Unalosema mtoa mada huenda ni kweli,lakin kwa ule msongamano ubanane na mwanamke hana chupi unazan abdala kichwa wazi atashindwa kusimama?

Atasimama na utamgusa mwanamke wa watu na atasema umemfanyia makusudi kumbe hata sio kweli

Kama watu waliwah kufa hapo kwa kusukumana,unazan kwann isiwezekane watu kubambiana
Unajua kwa nini walisukumana?
 
Toka nilipoanza kuona watu wanajipiga mapicha hapo,nikajua tayar hapo watu wameshapachafua
 
Ni kutokana na kuwepo kwa idadi kubwa sana ya watu ambayo eneo lilishindwa kuwahandle
Ni sahihi lkn maafa yalitokea kwasababu ile kaaba ndio nyumba ya kwanza kuwekwa kwa ajili ya kumwabudu Mungu

Hata nabii Ibrahim alikuja kuikarabati tena,kwahiyo ilikuwepo hata kabla ya nabii Ibrahim

Na muelekeo wa ibada zetu huwa tunaelekea kule Al kaaba

Kwahiyo kila mtu akifika pale hupenda kwenda kuishika ile nyumba tukufu

Sasa kila mtu kwa hamu kubwa ya kufanya hilo ikaleta hayo maafa,sasa jiulize je watu hao watapatwa na tamaa na ngono saa ngapi?

Watatamani ngono saa ngapi? Wakati hata ukiwa na mkeo tu kule haipaswi kumuingilia mpaka mmalize ibada pale

Ndio maana nasema hakuna ukweli juu ya hizo tuhuma

Alhamdulillah sasa hivi wamejenga ghorofa lina level tatu kwa ajili ya kuwafanya tawafu,kwahiyo mazingira yamekuwa salama zaidi
 
Toka nilipoanza kuona watu wanajipiga mapicha hapo,nikajua tayar hapo watu wameshapachafua
Watu wengi sana wanaharibu ibada zao kwa kujionyesha,kitendo cha kujionyesha kuwa nawe ulienda kuhiji unaharibu ibada yako

Na kwa mujibu wa uislamu,ukifanya ibada ya kujionyesha basi utalipwa thawabu na hao ambao unajionyesha kwao
 
Sheikh Unajichanganya sana. Kwa hiyo tunakubaliana watu wana kosea kwenye ibada wapo au unapinga kabisa hawawezi kuwepo?

Swali la pili, alichofanya Mwijaku kiko Sawa au sio Sawa? Na usije kuuliza Mwijaku ni nani kwenye uislam. Jibu ni muislam. Tunamtaja kwa sababu ni mfano Hai wa watu waliofanya mzaha hapo mahali patakatifu.

Mimi nafikiri kilichowakwaza ni kejeli na kebehi za watu tu lakini concern ya GBV ni genuine. Na sio kosa la Uislam Bali binadamu.
Unachotaka kutuaminisha kuwa kila anaekwenda hijja anabadilika ghafla na kuheshimu dini 100% ni UONGO na UOGA wa kukosolewa.
 
Nilisoma komenti kwa uchache sana,kuna komenti moja inasema huku wanawake na wanaume wanatengwa kwenye ibada lkn huko wanachanganywa,ajue kwamba kule kumeepukana na kuwaza machafua au kuwa na matamanio kutokana ibada yenyewe ilivyo tukufu hivyo kuchangamana kule hakuathiri ibada za waumini
Kwamba kule binadamu anaondolewa hisia za kibinadamu za matamanio?
Kweli dini inawafanya watu wasiwe rational, wasitumie akili yao sawasawa kufikiei kwa uhuru.
Kwa fikra kama hizi ndipo baadhi ya waumini huwaweka hatarini wake na watoto wao mbele ya viongozi wazinzi wabakaji.
Unakuta mtoto analalamika anatendewa sivyo na mchungaji, padri au sheikh, au maalumu wa madrasa mzazi haamini anamuadhibu mtoto kwa kumzushia kiongozi wa dini.
 
Kwamba kule binadamu anaondolewa hisia za kibinadamu za matamanio?
Kweli dini inawafanya watu easier rational, wasitumie akili yao sawasawa kufikiei kwa uhuru.
Kwa fikra kama hizi ndipo baadhi ya waumini huwaweka hatarini wake na watoto wao mbele ya viongozi wazinzi wabakaji.
Unakuta mtoto analalamika anatendewa sivyo na mchungaji, padri au sheikh, au maalumu wa madrasa mzazi haamini anamuadhibu mtoto kwa kumzushia kiongozi wa dini.
Pale tunazungumzia sehemu tukufu sana,na sio namtumbo pale

Asante
 
Pale tunazungumzia sehemu tukufu sana,na sio namtumbo pale

Asante
Shetani alianza uhasi akiwa sehemu tukufu kwa mtukufu mwenyewe Mungu.
Eneo halimuondolei hisia za ngono au ubazazi binadamu.
 
Sheikh Unajichanganya sana. Kwa hiyo tunakubaliana watu wana kosea kwenye ibada wapo au unapinga kabisa hawawezi kuwepo?

Swali la pili, alichofanya Mwijaku kiko Sawa au sio Sawa? Na usije kuuliza Mwijaku ni nani kwenye uislam. Jibu ni muislam. Tunamtaja kwa sababu ni mfano Hai wa watu waliofanya mzaha hapo mahali patakatifu.

Mimi nafikiri kilichowakwaza ni kejeli na kebehi za watu tu lakini concern ya GBV ni genuine. Na sio kosa la Uislam Bali binadamu.
Unachotaka kutuaminisha kuwa kila anaekwenda hijja anabadilika ghafla na kuheshimu dini 100% ni UONGO na UOGA wa kukosolewa.
Watu wanakosea kwenye ibada ndio,lkn je kwa makosa gani?

Mtu atakosea kwenye ibada kwa kushika makalio ya mwanamke?

Naomba nieleweke hapa vizur sana,tangu awali nilisema haiwi kwa muislamu safi mwenye imani yake thabiti kufanya uchafu pale makka al kaaba,pigieni mstari hapo

Katika uislamu tuna daraja tatu za watu,kuna watu,kuna waumini na kuna wacha mungu

Watu wanaweza kuwa na majina ya kiislamu lkn imani yao bado haijajengeka vizuri

Waumini hawa wamemuamini Allah ukweli wa kumwamini na kutekeleza sheria zake na kuacha makatazo yake

Halafu kuna wacha mungu hawa daraja yao ni juu zaidi

Alichofanya mwijaku na wengine wote ambao hujipiga picha na kurusha mitandaoni,hapo maana yake wanataka ulimwengu ujue kwamba wameenda umra au kuhijji Makka,hiyo ni ria/kujionyesha haifai

Sasa hayo makosa huwezi sema eti kwakuwa yapo basi yaka halalisha unyanyasaji wa kingono

Asante
 
Hizo ni propaganda za makafiri Yani shekhe kaacha wake 4 nyumbani alafu abambie mwanamke katika ibada kubwa kama hiyo?

Makafiri Wana shida sana
 
Back
Top Bottom