Madai ya Wanawake Wanaoenda Kutufu au Tawaf Kunyanyaswa Kingono Si ya Kweli

Etugrul Bey Mbona haujajibu zaidi ya kutoa maoni yako tu?
Zile video siyo fake zimepigwa Makkah na mwandishi mwanamke Msaudia aliyelalamika yupo. Siyo mtu wa kufikirika.
Kuna post moja imewekwa humu ya mwanamke anapigwa makofi na askaii wa ulinzi wa hapo hapo Makkah al kaaba. Hiyo nayo unasemaje?

Mwisho kama Mwijaku tu anaweza fanya usanii kwenye alkaaba wanaume watashindwa nini kutomasa wamama wanaokuwa hawajavaa hata chupi?
Verry good, tena wanavuliwa chupi, kwanza akikujibu nitag.
 
Kama hayo unayaona ni maoni kwako ni sawa

Kuhusu askari kumpiga kibao huyo mwanamke inaweza kutokea ingawa sidhani kama ni jambo zuri hasa ukichukulia mtu yupo kwenye ibada,ni swala la kuelekezana tu

Napinga muislamu kufanya matukio ya aibu huko al kaaba,labda huyo anayefanya hayo ameenda kwa ajenda nyingine tofauti
Ajenda nyingine tofauti ndiyo!

Wewe unatetea vitu chanya vinavyostahili kufannywa, ni sawa kabisa kutokana na imani yako, lakini je kama vipo vitu hasi vinavyofanyika, wewe unavikanusha kwa fact za utafiti gani ulioufanya?

Hao wenye ajenda zingine, wewe unawezaje kusimama kuwatetea?

Kwanza utaratibu huo mbovu wa kuvua nguo zote na kujitanda kipande cha shuka nani aliuasisi?

Kama ndiyo wahenga waanzilishi, hamuwezi kuubadili huo utaratibu mkaendana na mazingira ya hali halisi ya mbanano wa watu wanaokuwepo!

Kwa hiyo ukiambiwa kuna 'dungadunga' kwenye mwendo kasi, utasimama na kukanusha kwa sababu wewe haujawahi kushuhudia?

Umejiingiza kwenye utetezi wa kutetea dini kishabiki sana.
 
Ajenda nyingine tofauti ndiyo!

Wewe unatetea vitu chanya vinavyostahili kufannywa, ni sawa kabisa kutokana na imani yako, lakini je kama vipo vitu hasi vinavyofanyika, wewe unavikanusha kwa fact za utafiti gani ulioufanya?

Hao wenye ajenda zingine, wewe unawezaje kusimama kuwatetea?

Kwanza utaratibu huo mbovu wa kuvua nguo zote na kujitanda kipande cha shuka nani aliuasisi?

Kama ndiyo wahenga waanzilishi, hamuwezi kuubadili huo utaratibu mkaendana na mazingira ya hali halisi ya mbanano wa watu wanaokuwepo!

Kwa hiyo ukiambiwa kuna 'lambalamba' kwenye mwendo kasi, utasimama na kukanusha kwa sababu wewe haujawahi kushuhudia?

Umejiingiza kwenye utetezi wa kutetea dini kishabiki sana.
Naomba nijibu nukta moja au mbili kati ya yale ambayo umeyaelezea

Hoja ya kufananisha lamba lamba au dunga dunga wa kwenye mabasi na watu ambao wameenda kufanya ibada hijja ni vitu viwili tofauti ndugu yangu

Je hiyo ibada ndo imeanza hivi karibuni? Mbona hayo mambo hayakuwahi kutipotiwa hapo kabla,tena kipindi hicho hakukuwa na mabadiliko ambayo yako leo

Leo hii wameongeza eneo la kuzunguka pale al kaaba wakati wa kutufu,kuna ghorofa kama mbili hivi au kama sio tatu,mbona haya yanatokea sasa?

Nikija nukta ya pili,lukuvaa zile nguo katika ibada ya hijja zina hrkima kubwa sana

Pale ni kuonyesha watu wote mbele ya Allah ni sawa,pale hakuna mfalme,hakuna raisi,makamu wa raisi,hakuna tajir wala maskini,wote mnakumbushwa kwamba wote ni waja wa Allah

Wote mmeenda kwa kusudio moja la kumwabudu Allah,kwahiyo status zenu mnaziweka pembeni na pale mpo kumkusudia Mwenyezi Mungu tu

Kuna ile ibada huko huko hijja mahujaji wanasimama kwenye viwanja vya arafati siku nzima,ni mfano wa kisimamo cha siku ya kiama pale binadamu wote kuanzia umati wa mwanzo mpaka huu wa mwisho wa Muhammad (s.a.w) tutapo simamishwa na Mola wetu kwa ajili ya usaili wa matendo yetu hapa duniani

Ndio maana haingii akilini kwa muislamu safi na mwenye imani yake thabiti kufanya mambo ya aibu
 
Ninyi waislam dini yenu imejaa utapeli na kudanganya juu ya kupokea mapokea ya kimwili ya waarabu juu ya mavazi na ujinga mwingi lakin ninyi maisha ya kiroho hamuyawezi kabisa

Endeleen kudanganyana huku mkiongea kiarabu lugha ya Allah
Asante
 
Hiyo ibada haijaanza leo,,,kuna wajinga wanataka kuichafua hiyo ibada na hawawezi
Hiyo ibada tayari imeshachafuka. Mwijaku anaongelea no reforms no election hapo kwenye hiyo kaaba kuashiria hakuna utukufu wowote... msipojirekebisha Shirima hatasita kufungua duka la kitimoto maeneo hayo.
 
Kweli mtu akipenda hata chongo ataita kengeza🙌
 
Ni kwanini mnazunguka Al-Kaaba bila kuvaa nguo za Ndani ?
Je mnaandiko lolote lililowaruhusu kufanya hivyo ?
Kama halipo kwanini hamkubali kuwa hiyo ibada ni batili ?
Ni Ibada ya Kishirikina hiyo
Washirikina huwa wanazunguka nyumba wanazo roga watu.
 
View attachment 3283640

Kuna post moja nimeiona kuhusiana na Malalamiko kwamba Wanawake wa Kiislamu wananyanyaswa kingono pale wanapokuwa katika ibada ya Tawaf

Ingawa kuna video inasemekana kuna muandishi au mwanamke wa kiislamu analalamika,binafsi sikuangalia hata video hiyo kwakuwa sikuona umuhimu wa kuitazama kwa kujua ni propaganda za za wasio utakia kheri Uislamu

Haiingii akilini katika ibada hiyo muhimu muumini wa kiislamu kufanya vitendo kama hivyo,kwa kujua ukubwa wa ibada hiyo ambayo ni waislamu wachache sana wana bahatika kuipata kutokana na uwezo wa kifedha,kwani ina gharimu fedha nyingi sana,halafu muislamu huyu aje afanye mambo yasiyo faa

Lakini pili mpaka muumini huyu wa kiislamu kwenda Makka katika ibada tukufu ujue hakika amemua kwenda kujitakasa kwa Mola wake,iweje leo hii akiwa pale afanye yenye kumchukiza Allah? Je haogopi?

Ikiwa tu mtu ambaye ameweka nia ya kwenda hijja kuna miezi inayofuatana kuelekea msimu wa hijja anatakiwa aepukane na machafu akiwa hajafika Makka bado,je iweje kwa kulitambua hilo aende kinyume na mafundisho na makatazo akiwa kule hijja?

Tatu na mwisho kwa walioenda Hijja na kufanya ibada ya tawafu wanasema ukiwa pale hakika unakuwa katika level kubwa ya imani kiasi kwamba kuna utulivu mkubwa wa nafsi unaupata kwa ya Allah,hata mwanamke akiwa mbele yako yani si chochote kwako,je hizo fikra za kishetani zinatoka wapi?

Nilisoma komenti kwa uchache sana,kuna komenti moja inasema huku wanawake na wanaume wanatengwa kwenye ibada lkn huko wanachanganywa,ajue kwamba kule kumeepukana na kuwaza machafua au kuwa na matamanio kutokana ibada yenyewe ilivyo tukufu hivyo kuchangamana kule hakuathiri ibada za waumini

Namalizia kwa kusema hizo ni propaganda makhususi kuuchafua uislamu kama vile ambavyo wahusika wa viwanda vya kutengeneza picha chafu za ngono kuwaonyesha wacheza porn wakiwa wamevaa hijabu ikiwa ni njia ya kutia dosari imani ya kiislamu na uislamu

Muandishi wa uzi huu hatawajibika kusoma au kujibu komenti za wachangiaji kwa kuhofia kuharibu funga yake kwani penye wengi pana mengi wengine kutoa kauli chafu ni starehe kwao

Ni hayo tu!
Kwani ngono siyo ibada? Kama siyo, kwanini wote mnavaa nguo moja tena bila kitu ndani ili iweje? Kwanini muwatenge miskitini huku uswahilini lakini mchanganyikane nao umangani kama hamna ajenda ya siri?
 
Kwani ngono siiyo ibada? Kama siyo, kwanini wote mnavaa nguo moja tena bila kitu ndani ili iweje? Kwanini muwatenge miskitini huku uswahilini lakini mchanganyikane nao umangani kama hamna ajenda ya siri?
Ngono siyo ibada

Ibada ni vitendo vizur na maneno mazuri anayoyapenda Mwenyezi Mungu

Ndugu yangu siku ya kiama tutasimamishwa mbele ya Mola wetu kama tulivyozaliwa siku ya kwanza,ila hakuna atakaye kuwa na muda wa kumuangalia mwenzake

Dhumuni la wote wanao enda kufanya ibada ya hija kuvaa vile kwanza ni kuonyesha uzalili wao na unyonge wao mbele ya Allah,watambue kwamba wao sio chochote mbele ya Mola wao

Pili wote wajisikie ni waja wa Mwenyezi Mungu na asiwe mbora mbele ya wengine,ndio maana mfalme,raisi,makamu wa raisi,tajir na maskini wote wanavaa nguo moja dhalili sana kuonyesha utumwa wao mbele ya Allah

Kwahiyo hawavai tuu kama kuvaa bali inawakumbusha haijalishi wana status gani katika maisha,wajue pale wapo kwa Mola wa viumbe na mfalme wa wafalme

Huu nfio ukweli,hata,hii ibada haifanyiki mara,moja,inafanyika kila saa,kwa,siku na anayemaliza,anaondoka,iweje mwanamke ajiingize katikati ya mkusanyiko wa wanaume.Huku tu,tunachanganyika masokoni,mqshuleni,kwenye daladala,hayatokei hayo ya kudhalilishwa ila mtu atake mwenyewe.
 
Kwani ngono siiyo ibada? Kama siyo, kwanini wote mnavaa nguo moja tena bila kitu ndani ili iweje? Kwanini muwatenge miskitini huku uswahilini lakini mchanganyikane nao umangani kama hamna ajenda ya siri?
Wanaume na wanawake wanavyaa nguo tofauti.
 
Ninyi waislam dini yenu imejaa utapeli na kudanganya juu ya kupokea mapokea ya kimwili ya waarabu juu ya mavazi na ujinga mwingi lakin ninyi maisha ya kiroho hamuyawezi kabisa

Endeleen kudanganyana huku mkiongea kiarabu lugha ya Allah
Acha kudanganyana kwenye vijiwe vya pombe za kienyeji,na kudanganyika.
 
Ngono siyo ibada

Ibada ni vitendo vizur na maneno mazuri anayoyapenda Mwenyezi Mungu

Ndugu yangu siku ya kiama tutasimamishwa mbele ya Mola wetu kama tulivyozaliwa siku ya kwanza,ila hakuna atakaye kuwa na muda wa kumuangalia mwenzake

Dhumuni la wote wanao enda kufanya ibada ya hija kuvaa vile kwanza ni kuonyesha uzalili wao na unyonge wao mbele ya Allah,watambue kwamba wao sio chochote mbele ya Mola wao

Pili wote wajisikie ni waja wa Mwenyezi Mungu na asiwe mbora mbele ya wengine,ndio maana mfalme,raisi,makamu wa raisi,tajir na maskini wote wanavaa nguo moja dhalili sana kuonyesha utumwa wao mbele ya Allah

Kwahiyo hawavai tuu kama kuvaa bali inawakumbusha haijalishi wana status gani katika maisha,wajue pale wapo kwa Mola wa viumbe na mfalme wa wafalme

Asante
Wamekuelewa,ila watajifanya hawajakuelewa.
 
Huo uwezekano hakuna kutokana na mazingira yao hapo hawako vocation,hapo wapo kwenye ibada tukufu

Kwa kila muislamu mwenye akili timamu na imani thabiti hawezi kufanya huo ujinga,nitasimami huo msimamo wangu
Huu ndio

Huu ndio ukweli
 
View attachment 3283640

Kuna post moja nimeiona kuhusiana na Malalamiko kwamba Wanawake wa Kiislamu wananyanyaswa kingono pale wanapokuwa katika ibada ya Tawaf

Ingawa kuna video inasemekana kuna muandishi au mwanamke wa kiislamu analalamika,binafsi sikuangalia hata video hiyo kwakuwa sikuona umuhimu wa kuitazama kwa kujua ni propaganda za za wasio utakia kheri Uislamu

Haiingii akilini katika ibada hiyo muhimu muumini wa kiislamu kufanya vitendo kama hivyo,kwa kujua ukubwa wa ibada hiyo ambayo ni waislamu wachache sana wana bahatika kuipata kutokana na uwezo wa kifedha,kwani ina gharimu fedha nyingi sana,halafu muislamu huyu aje afanye mambo yasiyo faa

Lakini pili mpaka muumini huyu wa kiislamu kwenda Makka katika ibada tukufu ujue hakika amemua kwenda kujitakasa kwa Mola wake,iweje leo hii akiwa pale afanye yenye kumchukiza Allah? Je haogopi?

Ikiwa tu mtu ambaye ameweka nia ya kwenda hijja kuna miezi inayofuatana kuelekea msimu wa hijja anatakiwa aepukane na machafu akiwa hajafika Makka bado,je iweje kwa kulitambua hilo aende kinyume na mafundisho na makatazo akiwa kule hijja?

Tatu na mwisho kwa walioenda Hijja na kufanya ibada ya tawafu wanasema ukiwa pale hakika unakuwa katika level kubwa ya imani kiasi kwamba kuna utulivu mkubwa wa nafsi unaupata kwa ya Allah,hata mwanamke akiwa mbele yako yani si chochote kwako,je hizo fikra za kishetani zinatoka wapi?

Nilisoma komenti kwa uchache sana,kuna komenti moja inasema huku wanawake na wanaume wanatengwa kwenye ibada lkn huko wanachanganywa,ajue kwamba kule kumeepukana na kuwaza machafua au kuwa na matamanio kutokana ibada yenyewe ilivyo tukufu hivyo kuchangamana kule hakuathiri ibada za waumini

Namalizia kwa kusema hizo ni propaganda makhususi kuuchafua uislamu kama vile ambavyo wahusika wa viwanda vya kutengeneza picha chafu za ngono kuwaonyesha wacheza porn wakiwa wamevaa hijabu ikiwa ni njia ya kutia dosari imani ya kiislamu na uislamu

Muandishi wa uzi huu hatawajibika kusoma au kujibu komenti za wachangiaji kwa kuhofia kuharibu funga yake kwani penye wengi pana mengi wengine kutoa kauli chafu ni starehe kwao

Ni hayo tu!
Wewe ndio hao wanawake hadi ubishe?
 
Watu wamebanana waume kwa wake na wote hawajavaa chupi Wala boxer unategemea nini

Hiyo Ibada ya sanamu jiwe mwanzo ilikuwa uchi wa nyama

Fikiria unebanana na wenzere alijavaa chupi ni kimtandio tu na wewe mtandio tu na huna ata boxer ndani
 
Back
Top Bottom