Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
- #101
Kwa mfano ukiulizwa kwani kuvaa chupi ni lazima?Kwanini hawavai chupi wakati wa kilizunguka Ka-aba?
Kana andiko ?
Je jamii ya kimasai inavaa chupi?
Nilitaka kwanza kurefresh your mind uone kuna haja gani ya kushupalia sana hili jambo
Iko hivi,msimu wa hija ni ibada maalum kwa waumini wa kiislamu na ni miongoni mwa nguzo Tano za kiislamu
Mbona huulizi kwanini watu hawavai nguo za kawaida au kanzu vazi ambalo waislamu wengi wanavaa?
Kwanza mavazi yale ni mahsusi kuwakumbusha waumini hakika wote ni waja wa Allah,pale hakuna mfalme,malikia,raisi wala tajir,wote mnavaa vipande vya nguo ambavyo havija shonwa,wanakumbushwa kwamba wamekuja duniani watupu na watarudi kwa Mola wao watupu
Hiyo ndio falsafa kubwa ya mavazi yale