Ulipoanza tu na neno"wanaotaka kuuchafua uislam"tayari ni kitendo cha kupulizia perfume kukata harufu ya viatu sebuleni.si kwamba haipo.
Kuna sheikh aliwahi kusema kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea ktk ibada kule macca,hakuna utukufu kama kunavyosifiwa,maadam kuna wanadam.
Fikiria watu wakiwa foreni kwenda haja,mtu anaona akojoe ktk chupa alifiche mwilini,sasa hapo kwa kanuni za kiislam si anatembea na uchafu??.
Usichojua,kuna wenyeji wa hapo ambao kuingia na kutoka hapo sio swala tukufu kama unavyowaza.kwao ni kama kwenda supermarket tu,anawezamtia dole mwanamke,au akamshika sehem nyingine kwakuwa ni ngumu kuonekana kwenye msongamano.