jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Ugaidi mbaya ni kumuua mtu anayeshukiwa ugaidi bila kumfikisha katika vyombo vya haki ili apate haki yake kwa mujibu wa sheria,
Mimi binafsi niliwahi kamatwa bila kosa nkafikoshwa tazara from kahama kisa tu tuna nguv kubwa ya imaani.
Ni bahat Leo kuwepo wenzangu mpka Leo hawajulikani walipo na wengine mashehe nlishuhudia wakifa mbele yangu.
Narudia Tena usipokua muislam huez elewa.
Ukisali sana utaitwa gaidi tuuu.
Mbona waislamu wengine hawakamatwi.? Ugaidi haupo au upo?Mimi binafsi niliwahi kamatwa bila kosa nkafikoshwa tazara from kahama kisa tu tuna nguv kubwa ya imaani.
Ni bahat Leo kuwepo wenzangu mpka Leo hawajulikani walipo na wengine mashehe nlishuhudia wakifa mbele yangu.
Narudia Tena usipokua muislam huez elewa.
Ukisali sana utaitwa gaidi tuuu.
Serikali haifanyi negotiations na gaidi. Ukibainika unashiriki shughuli za ugaidi ni mara moja unakuwa executed on the spot.Ugaidi mbaya ni kumuua mtu anayeshukiwa ugaidi bila kumfikisha katika vyombo vya haki ili apate haki yake kwa mujibu wa sheria,
Unajua mkuu haya Mambo hayafnywi kwa kurupuka. Ni lazima Kuna ukweli umekusanywa na hakuna haja ya kupeleka gaidi mahakamaniUgaidi mbaya ni kumuua mtu anayeshukiwa ugaidi bila kumfikisha katika vyombo vya haki ili apate haki yake kwa mujibu wa sheria,
Kwa nini wewe hukuuliwa na wenzako waliuliwa? TafakariMimi binafsi niliwahi kamatwa bila kosa nkafikoshwa tazara from kahama kisa tu tuna nguv kubwa ya imaani.
Ni bahat Leo kuwepo wenzangu mpka Leo hawajulikani walipo na wengine mashehe nlishuhudia wakifa mbele yangu.
Narudia Tena usipokua muislam huez elewa.
Ukisali sana utaitwa gaidi tuuu.
Kama hujui chchte kuhusu hayo mauaiji utakataa moka kufa.Mbona waislamu wengine hawakamatwi.? Ugaidi haupo au upo?
Hiyo ngumu sana kwa kutokuangalia nsni kasema labda iwe kasema ambacho tunataka kukisikia.Zikija habar zichunguzeni kupata ukweli wake na Sio kumshambulia mtoa habar.
Tusiangalie nani kasema Bali tuchunguze alichosema kama ni uongo tumpuuze.
Jibu swali. Hakuna waislamu wenye mahusiano na makundi ya kigaidi hapa nchini?Kama hujui chchte kuhusu hayo mauaiji utakataa moka kufa.
Kuna waislam misikitini wapo kama rada tuuu mule
Misikiti karbu yote iliyopo Dodoma Usalama ni wengi kuliko hata waumini.
Ukiwa muislam kanzu na ubwabwa hutaelewa.
MKUU anza Uchunguzi wakoHizi tuhuma ni nzito sana.
[emoji116]View attachment 2545588
Mungu ndo mwamuzi wa mwsho, zaid ya happy Sina Cha kutafakari mana hata mm ilibaki nusu.
Pumbavu.MKUU anza Uchunguzi wako
Acha zako. Wale magaidi walioua watu kule Lushoto sio waislamu wa bongo?Mungu ndo mwamuzi wa mwsho, zaid ya happy Sina Cha kutafakari mana hata mm ilibaki nusu.
Na sababu siwez zieleza hapa mana hapa pamejaa kejeli ti mkuu.
Hauna akili.Ndiyo uingie na viatu msikitini na kumpiga mtu risasi wakiwa kwenye ibada!?..haikuwezekana kumkamata baada au kabla ya hapo!?..hao maafisa usalama itakua walikua wavaa msalaba,maana wamelelewa kuchukia na kudharau waislam tangu wangali wadogo
Kama ni kweli basi ni hatari SANA Ila apeleke polisi SASAHizi tuhuma ni nzito sana.
[emoji116]View attachment 2545588
Yaweza kua wapo na hii SI uongo.Jibu swali. Hakuna waislamu wenye mahusiano na makundi ya kigaidi hapa nchini?