Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Ugaidi mbaya ni kumuua mtu anayeshukiwa ugaidi bila kumfikisha katika vyombo vya haki ili apate haki yake kwa mujibu wa sheria,

Kuna hukumu zingine hazihitaji mahakama,mana hayo magaidi huwa yanaua watu bila kuwasikiliza kwanini yao yasikilizwe?
 
Haja pewa asali !
Hebu alambishwe kidogo asije kutuletea majanga [emoji35]
Mpuuzi kweli huyu jamaa!
 
Mimi binafsi niliwahi kamatwa bila kosa nkafikoshwa tazara from kahama kisa tu tuna nguv kubwa ya imaani.
Ni bahat Leo kuwepo wenzangu mpka Leo hawajulikani walipo na wengine mashehe nlishuhudia wakifa mbele yangu.

Narudia Tena usipokua muislam huez elewa.

Ukisali sana utaitwa gaidi tuuu.

Pole sana uislam itikadi kali=ugaidi hii ideology ishapandikizwa na ni ngumu kuitoa mana tayari walioifanya iwe hivyo ndio hao hao magaidi.
 
Mimi binafsi niliwahi kamatwa bila kosa nkafikoshwa tazara from kahama kisa tu tuna nguv kubwa ya imaani.
Ni bahat Leo kuwepo wenzangu mpka Leo hawajulikani walipo na wengine mashehe nlishuhudia wakifa mbele yangu.

Narudia Tena usipokua muislam huez elewa.

Ukisali sana utaitwa gaidi tuuu.
Mbona waislamu wengine hawakamatwi.? Ugaidi haupo au upo?
 
Zitto ni malaya wa kisiasa anatapatapa kwa kuongea mambo ambayo akikatwa kwa hoja nzito atakaa kimya.

Hao watu anaowatetea mambo yao yakiwekwa hadharani huyu mpumbavu sijui ataficha wapi hilo sura lake lisilo na aibu hata kidogo.

Namdharau sana huyu fala.
 
Ugaidi mbaya ni kumuua mtu anayeshukiwa ugaidi bila kumfikisha katika vyombo vya haki ili apate haki yake kwa mujibu wa sheria,
Unajua mkuu haya Mambo hayafnywi kwa kurupuka. Ni lazima Kuna ukweli umekusanywa na hakuna haja ya kupeleka gaidi mahakamani
 
Mimi binafsi niliwahi kamatwa bila kosa nkafikoshwa tazara from kahama kisa tu tuna nguv kubwa ya imaani.
Ni bahat Leo kuwepo wenzangu mpka Leo hawajulikani walipo na wengine mashehe nlishuhudia wakifa mbele yangu.

Narudia Tena usipokua muislam huez elewa.

Ukisali sana utaitwa gaidi tuuu.
Kwa nini wewe hukuuliwa na wenzako waliuliwa? Tafakari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zikija habar zichunguzeni kupata ukweli wake na Sio kumshambulia mtoa habar.

Tusiangalie nani kasema Bali tuchunguze alichosema kama ni uongo tumpuuze.
Hiyo ngumu sana kwa kutokuangalia nsni kasema labda iwe kasema ambacho tunataka kukisikia.
 
Kama hujui chchte kuhusu hayo mauaiji utakataa moka kufa.

Kuna waislam misikitini wapo kama rada tuuu mule

Misikiti karbu yote iliyopo Dodoma Usalama ni wengi kuliko hata waumini.

Ukiwa muislam kanzu na ubwabwa hutaelewa.
Jibu swali. Hakuna waislamu wenye mahusiano na makundi ya kigaidi hapa nchini?
 
Mungu ndo mwamuzi wa mwsho, zaid ya happy Sina Cha kutafakari mana hata mm ilibaki nusu.

Na sababu siwez zieleza hapa mana hapa pamejaa kejeli ti mkuu.
Acha zako. Wale magaidi walioua watu kule Lushoto sio waislamu wa bongo?
 
Ndiyo uingie na viatu msikitini na kumpiga mtu risasi wakiwa kwenye ibada!?..haikuwezekana kumkamata baada au kabla ya hapo!?..hao maafisa usalama itakua walikua wavaa msalaba,maana wamelelewa kuchukia na kudharau waislam tangu wangali wadogo
Hauna akili.

Bure kabisa.
 
Jibu swali. Hakuna waislamu wenye mahusiano na makundi ya kigaidi hapa nchini?
Yaweza kua wapo na hii SI uongo.

Lakini Usalama hawana intelligence kubwa hua wanakamata na Watu wasuohusika na kuwaua hapo ndo ubaya unapooonza

Mfano mm hua nasali usiku misikitini hii tabia nilikatazwa Kwa maana itanifanya nitafsitiwe kua no gaidi.
 
Back
Top Bottom