Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Zito aache kuongea habari asizozijua sawasawa! Leo amesimama hapo kupiga siasa sababu ya kazi Vijana wetu walizozifanya. Kwa level yake na ukongwe wake napata tabu kuelewa kwamba alikuwa hujui kilichokuwa kinaendelea hapa nchini.
 
Tulia sasa.
 
Zito aache kuongea habari asizozijua sawasawa! Leo amesimama hapo kupiga siasa sababu ya kazi Vijana wetu walizozifanya. Kwa level yake na ukongwe wake napata tabu kuelewa kwamba alikuwa hujui kilichokuwa kinaendelea hapa nchini.
Hata iweje,kuingia na viatu msikitini watu wakifanya Ibada Kisha kumpiga mtu risasi ibadani ni ufedhuli,kamfuatilia kote huko hakumpiga risasi kaenda mpigia msikitini
 
JPM alikuwa katili sana, hakuheshimu hata nyumba za ibada na maisha ya binadamu.

Sasa sijui anamwambia nini Mungu huko.

Aliwajengea msikiti mkubwa,Jpm alikua na upendo kwa watanzania wote bila kujari itikadi zao.
 
Alipoandika " Vijana wetu wa USALAMA" alimaanisha nn?

Maana act wazalendo Wana vijana wao wa USALAMA pia.
 
Najua tatizo lako huna busara kwenye majibu ndo mana Nyuzi kama hizi hua tuaacha kuchangia mana hata ukisema jambo kabehi lazma zowepo.

Umeshinda mkuu
Nkajua utakuja na hoja kumbe unalako jambo.
Nataka nikuambie tu kuwa ugaidi upo hapa nchini. Nilikuwa na jamaa yangu alikiwa anaingiziwa pesa na magaidi toka nje kwenye akaunti yake na alidakwa .
 
Hayo wewe ndio unayajua.
 
Kama hujui chchte kuhusu hayo mauaiji utakataa moka kufa.

Kuna waislam misikitini wapo kama rada tuuu mule

Misikiti karbu yote iliyopo Dodoma Usalama ni wengi kuliko hata waumini.

Ukiwa muislam kanzu na ubwabwa hutaelewa.

Bali kufanya hivyo hii usalama wa hii nchi utakuwa hatarini,nani asiyejua motives za wavaakobazi siasa kali,dunia imeshuhudia mengi hata tz pia
 

Halafu hata misikitin humo humo wengi huchongeana kwa husuda wivu ama chuki binafsi.
 
Dah!.. hizi tuhuma zinahitaji uchunguzi kamili.... anyway..... Sheikh Ponda alishawahi kulizungumzia hili tukio miaka kadhaa nyuma.

Hamna cha uchunguzi maana ni mambo yanayofahamika hadi waliotekeleza, ila mtoa amri ndio hayuko duniani.
 
Zitto mdini sana ndo maana chama chake kipo kama boti kinazunguka pwani tu
 

Na kuna watu watachukulia hiki ulichokiandika kama ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…