Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Madai ya Zitto ya vijana wa Usalama wa Taifa kuua viongozi wa dini msikitini ni mazito sana. Ukweli ujulikane isijekuwa anataka sifa za kiha

Zito aache kuongea habari asizozijua sawasawa! Leo amesimama hapo kupiga siasa sababu ya kazi Vijana wetu walizozifanya. Kwa level yake na ukongwe wake napata tabu kuelewa kwamba alikuwa hujui kilichokuwa kinaendelea hapa nchini.
 
Yaweza kua wapo na hii SI uongo.

Lakini Usalama hawana intelligence kubwa hua wanakamata na Watu wasuohusika na kuwaua hapo ndo ubaya unapooonza

Mfano mm hua nasali usiku misikitini hii tabia nilikatazwa Kwa maana itanifanya nitafsitiwe kua no gaidi.
Tulia sasa.
 
Hata iweje,kuingia na viatu msikitini watu wakifanya Ibada Kisha kumpiga mtu risasi ibadani ni ufedhuli,kamfuatilia kote huko hakumpiga risasi kaenda mpigia msikitini
 
JPM alikuwa katili sana, hakuheshimu hata nyumba za ibada na maisha ya binadamu.

Sasa sijui anamwambia nini Mungu huko.

Aliwajengea msikiti mkubwa,Jpm alikua na upendo kwa watanzania wote bila kujari itikadi zao.
 
Alipoandika " Vijana wetu wa USALAMA" alimaanisha nn?

Maana act wazalendo Wana vijana wao wa USALAMA pia.
 
Najua tatizo lako huna busara kwenye majibu ndo mana Nyuzi kama hizi hua tuaacha kuchangia mana hata ukisema jambo kabehi lazma zowepo.

Umeshinda mkuu
Nkajua utakuja na hoja kumbe unalako jambo.
Nataka nikuambie tu kuwa ugaidi upo hapa nchini. Nilikuwa na jamaa yangu alikiwa anaingiziwa pesa na magaidi toka nje kwenye akaunti yake na alidakwa .
 
Kaa ukijua intelligence ya nchi yako pendwa haijui kitu kabisa .
Tunazidiwa hata na ndugu zetu Rwanda Wana Usalama wenye uwezo mkubwa WA kumfatilia mtuhumiwa mbali na kuua msikiti mzima.

Kubali lataa Usalama hawajui mbinu na hawana uwezo WA kukamata gaidi ila huu hovyohovyo Ili kurudhisha nafa zao
Hayo wewe ndio unayajua.
 
Kama hujui chchte kuhusu hayo mauaiji utakataa moka kufa.

Kuna waislam misikitini wapo kama rada tuuu mule

Misikiti karbu yote iliyopo Dodoma Usalama ni wengi kuliko hata waumini.

Ukiwa muislam kanzu na ubwabwa hutaelewa.

Bali kufanya hivyo hii usalama wa hii nchi utakuwa hatarini,nani asiyejua motives za wavaakobazi siasa kali,dunia imeshuhudia mengi hata tz pia
 
Yaweza kua wapo na hii SI uongo.

Lakini Usalama hawana intelligence kubwa hua wanakamata na Watu wasuohusika na kuwaua hapo ndo ubaya unapooonza

Mfano mm hua nasali usiku misikitini hii tabia nilikatazwa Kwa maana itanifanya nitafsitiwe kua no gaidi.

Halafu hata misikitin humo humo wengi huchongeana kwa husuda wivu ama chuki binafsi.
 
Dah!.. hizi tuhuma zinahitaji uchunguzi kamili.... anyway..... Sheikh Ponda alishawahi kulizungumzia hili tukio miaka kadhaa nyuma.

Hamna cha uchunguzi maana ni mambo yanayofahamika hadi waliotekeleza, ila mtoa amri ndio hayuko duniani.
 
Zitto mdini sana ndo maana chama chake kipo kama boti kinazunguka pwani tu
 
Mimi binafsi niliwahi kamatwa bila kosa nkafikoshwa tazara from kahama kisa tu tuna nguv kubwa ya imaani.
Ni bahat Leo kuwepo wenzangu mpka Leo hawajulikani walipo na wengine mashehe nlishuhudia wakifa mbele yangu.

Narudia Tena usipokua muislam huez elewa.

Ukisali sana utaitwa gaidi tuuu.

Na kuna watu watachukulia hiki ulichokiandika kama ukweli.
 
Back
Top Bottom