Madaktari acheni kutuchanganya na hii kauli yenu tata ya Critical but Stable


Nawapenda sana Watu kama Wewe Mkuu na unaonyesha hata uwezo wako wa akili nao ni mkubwa sana na ndiyo huwa tunaelewana na tunaenda sawa humu Jamvini. Ufafanuzi wako ni mzuri na nimeupenda Mkuu. Sasa taratibu naanza kuelewa maana halisi ya Kauli tata ya Critical but Stable.

Nyie ndiyo Watu ambao nataka mchangie sana huu uzi na siyo wale Wapumbavu wachache wanaodhani kila muda ni muda wa Siasa tu au wanadhani dunia nzima basi ni Wao tu pekee ndiyo wanauguza Mgonjwa wao wakati ukweli ni kwamba hata Sisi wengine tuliopo huku Nyumbani nasi tuna Wagonjwa wetu hivyo kukimbilia humu JF ili kupata ufafanuzi wa Kidaktari siyo dhambi au uhalifu.
 
Acha kutisha watu wewe mama
 
Kila doctor anatoa majibu based on the available evidence....sasa kama unataka kupangia madaktar cha kufanya sawa.
 
Hoja yangu ni hiyo Kauli ya Critical but Stable tu na hakuna jingine tafadhali. Kwahiyo unataka kumaanisha kuwa Mimi GENTAMYCINE nina hamu huyu Mgonjwa wangu afariki dunia? Mkuu hebu tengua upesi kauli yako na nitake radhi sasa hivi.
Doctor hatakiwi kukukatisha tamaa.
 
Mbona naona mnamjaji jamaa tofaut,, tusiwaze negative ila kama kuna daktar aeleze tu mana ya hiyo kaul ya critical but stable.

Asante kwa kunielewa Mkuu na hicho ulichokisema ndicho hasa nilichokuwa nakitaka na ndiyo maana unaona hata uzi wenyewe nimekuja kuuanzisha huku katika Forum ya Madaktari ila nashangaa Watu wamekuja huku na kutaka kulazimisha yao na kuulazimisha huu uzi uwe ni kama wa Kisiasa zaidi.

Hilo suala la Critical but Stable ni suala langu binafsi kwakuwa hata Mimi pia ninauguza hivyo nimewauliza Madaktari ili waweze kunielimisha na kunipa ufafanuzi wao wa Kitaaluma na Kiuweledi kabisa ili basi na Mimi niweze kuongeza maarifa fulani.

Kuugua kwa Mheshimiwa Tundu Lissu kusiwe ni Kifungo au Kikwazo kwa sisi wengine kuhoji na kupata ufafanuzi wa masuala ya tiba.
 
Nimecheka sana yaani tatizo la watu Wa Jf hawasomi maelezo ya mwanzo kwa umakini wanakimbilia kutoa shiit yaani ndio Hawa mtihani anajibu bila kusoma maelekezo mngemuelewa huyu kaka msinge lopoka shiit
 
Critical ni kuwa mgonjwa clinically yuko very ill but stable ni kuwa vital sign is ok and no sign of deterioration...the death is not knocking the door but its near enough to hear the knocking..

Asante sana Mkuu kwa huu ufafanuzi wako wa Kidaktari kabisa na nazidi sasa Kuelimika. Nafurahi sasa kuona Watu wenye akili zao wanaanza kunielewa na wananipa ushirikiano wa Kimaelezo na wale Mapopoma / Wapumbavu sasa wameshaanza kujitenga na huu uzi na wamerudi katika ile Forum yao ya Siasa hasa zile zao za Majitaka walizozoea.
 
Acha kujishaua nani huko Tarime alivamiwa kiasi kama Lissu? nani kapigwa risasi za tumbo kama yeye? tunajua hata mnaingia kwenye maombi kwa ajili ya kumwombea mabaya... hamtasikia hilo Mungu yupo na hata Ayub aliharibiwa mwili wote lakini roho yake ilikuwa salama
 
GENTAMYCINE, mimi si daktari wala tibabu, ila mada yako imenisukuma kutafuta maana ya hiyo kauli yz Madaktari ya mgonjwa kuwa katika hali ya kutibiwa wanayoiita critical but stable.

A Critical but Stable condition, in hospitals, indicates that the patient is in bad state but not likely to get worse in the short-term. A patient in critical condition implies that vital signs are not stable and not within normal limits e.g. a patient may be unconscious or indicators are unfavourable[/COLOR].

Maneno yafuatayo hutumika pia, mara kwa mara:
Critical, Comfortable, Progressing well

Kwa hivyo basi, madaktari wanaomtibu mgonjwa hutumia maneno hayo kuelezea hali ya mgonjwa na si vinginevyo. Ni lugha inayotumika kuwaambia wahusika na mgonjwa, hali yake, na wala hayana tafsiri/maana yoyote kisayansi.
 
Swali nitakalokuja kujiuliza ni kwa vipi aliingia kwenye critical au commatose state ??
Habari mkuu. Sija kuona siku nyingi kwenye ili jukwaa. Napenda ku kwambia ww ni mmoja kati ya watu walio nipaga chachu yaku jiunga Jf haswa haswa na kutoa michango yangu Jf dr..
Heshima yako broh.
 

Samahani Mkuu haya maelezo yako unadhani yanashabihiana kabisa 100% na kile ambacho nimetaka kukijua au kupata ufafanuzi wa Kitaaluma na Kiuweledi kabisa kutoka kwa Madaktari wabobezi wa JamiiForums? Siku nyingine si vibaya sana kama ukificha Upopoma / Upumbavu japo kwa muda.

Kuugua kwa Tundu Lissu kusiwe Kikwazo kwa sisi wengine katika Kuhoji mambo ya Kitabibu na bahati mbaya sana unaweza kukuta hao hao ambao wanajifanya kumlilia au kuhuzunika na Kuuguliwa Kwake hawajatoa hata Senti moja ya mchango wao Kwake ila juhudi zao ni Kujitutumua tu humu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…