124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,813
- 5,514
Bwana usigombane na watu ngoja nokusaidie "critical but stable " no kwamba hali si nzuri lakini imeimarika au hakuna mabadiliko hasi halibyake haiporomoki wala hapati nafuu significant yaani yupo yupo tu na hakuna jinsi ya kusaidia bali kujaribu ku maintain hali hiyo hoping itabadilika for the better!hapo no pale mnapofanya tiba zote halafu mnabakia kusubiri mwili ujitibu wenyewe !Nadhani aliyekuhifadhi tumboni mwake kwa miezi Kenda / Tisa Yeye ndiyo anaweza akawa Punguani mkubwa wa kunizidi. Hivi katika uzi wangu nimetaja mahala popote jina la Tundu Lissu? Kwahiyo GENTAMYCINE sina uhuru wangu na haki yangu ya kuhoji Jambo la Kitaalam na kupata ufafanuzi wake? Kwani ni Wagonjwa wangapi humu Mahospitalini huwa tunaambiwa na Madaktari kuwa wapo Critical but Stable?
Utundu Lissu katika huu uzi wangu umekukaje? Umepimaje kama Mimi siuguzi huyo Mgonjwa wangu? Naona unanitafuta Mkuu hivyo endelea tu utakipata unachokitafuta kutoka Kwangu kwani unaonekana unajifanya Kunijua sana halafu unawashwawashwa na Mimi.
Na nilitaka ufafanuzi wa Kitaalam na Kiueledi kabisa kutoka kwa Madaktari humu JF na sikuhitaji maoni ya Wapumbavu wachache wa mfano wako ambao akili zenu zote na muda wote zimekaa tu Kiitikadi za Kisiasa. Nauguliwa je ni dhambi kuhoji juu ya jambo fulani ambalo linanitatiza?
Uvumilivu wangu Kwako unaanza kufikia Kikomo.
Kwa kumlizia hofu yako ni sahihi upande mmoja hutokea kesi mgonjwa huna la kumfanya bali ni kusubiri tu aje juu au kufunga kitabu chake cha maisha!
Maombi jamani kwa mgonjwa Gentamycine