mimi nimekuelewa sana mzee. hii kauli niliiskia kwa mara ya kwanza kipindi mandela anaumwa,nikajiuliza sana maana ya hii kauli nini. na baada ya muda si mrefu akafariki. kwa kifupi ukipewa hii kauli na madaktar kajiandae kuzikaHoja yangu ni hiyo Kauli ya Critical but Stable tu na hakuna jingine tafadhali. Kwahiyo unataka kumaanisha kuwa Mimi GENTAMYCINE nina hamu huyu Mgonjwa wangu afariki dunia? Mkuu hebu tengua upesi kauli yako na nitake radhi sasa hivi.
Doctor hatakiwi kukukatisha tamaa.
Watu wanakaa ICU miezi mitatu nini hizi siku 14 tu. Critical but stable tuwaulize walioingia madarasani watueleze maana yake.
Acha kutisha watu wewe mama
Asante kwa kunielewa Mkuu na hicho ulichokisema ndicho hasa nilichokuwa nakitaka na ndiyo maana unaona hata uzi wenyewe nimekuja kuuanzisha huku katika Forum ya Madaktari ila nashangaa Watu wamekuja huku na kutaka kulazimisha yao na kuulazimisha huu uzi uwe ni kama wa Kisiasa zaidi.
Hilo suala la Critical but Stable ni suala langu binafsi kwakuwa hata Mimi pia ninauguza hivyo nimewauliza Madaktari ili waweze kunielimisha na kunipa ufafanuzi wao wa Kitaaluma na Kiuweledi kabisa ili basi na Mimi niweze kuongeza maarifa fulani.
Kuugua kwa Mheshimiwa Tundu Lissu kusiwe ni Kifungo au Kikwazo kwa sisi wengine kuhoji na kupata ufafanuzi wa masuala ya tiba.
Nimecheka sana yaani tatizo la watu Wa Jf hawasomi maelezo ya mwanzo kwa umakini wanakimbilia kutoa shiit yaani ndio Hawa mtihani anajibu bila kusoma maelekezo mngemuelewa huyu kaka msinge lopoka shiit
Acha kujishaua nani huko Tarime alivamiwa kiasi kama Lissu? nani kapigwa risasi za tumbo kama yeye? tunajua hata mnaingia kwenye maombi kwa ajili ya kumwombea mabaya... hamtasikia hilo Mungu yupo na hata Ayub aliharibiwa mwili wote lakini roho yake ilikuwa salama
Usijali mkuu kikubwa maelezo ya kipumbavu yapotezee jali maelezo yamsingi yafanyie kaziAsante kwa kunielewa Mkuu. Hiki ndicho Kizazi cha sasa cha Kipumbavu kilichopo na nadhani sasa hata Wewe umeshagundua ni kwanini Wanafunzi wengi nchini Tanzania huwa wanafeli vibaya sana Mitihani yao kwani tatizo lao kubwa ni Kukurupuka na kuwa na Kiherehere cha kukimbilia kujibu maswali pasipo / bila hata kusoma instructions vizuri na kuyaelwa maswali yanataka nini au yanasemaje.
Huwa nawapenda sana Members wenye akili kubwa na nzuri kama zako Mkuu humu Jamvini JF. Safi sana na hongera mno.
GENTAMYCINE, mimi si daktari wala tibabu, ila mada yako imenisukuma kutafuta maana ya hiyo kauli yz Madaktari ya mgonjwa kuwa katika hali ya kutibiwa wanayoiita critical but stable.
A Critical but Stable condition, in hospitals, indicates that the patient is in bad state but not likely to get worse in the short-term. A patient in critical condition implies that vital signs are not stable and not within normal limits e.g. a patient may be unconscious or indicators are unfavourable[/COLOR].
Maneno yafuatayo hutumika pia, mara kwa mara:
Critical, Comfortable, Progressing well
Kwa hivyo basi, madaktari wanaomtibu mgonjwa hutumia maneno hayo kuelezea hali ya mgonjwa na si vinginevyo. Ni lugha inayotumika kuwaambia wahusika na mgonjwa, hali yake, na wala hayana tafsiri/maana yoyote kisayansi.
Tit for tatSijui ni kwanini Madaktari wanapenda sana kusema kuwa Mgonjwa fulani yupo Critical but Stable lakini baadae ukija kuchunguza zaidi utakuta tayari huyo Mgonjwa ameshaonyesha dalili zote za Kukata roho / Kufa na mara nyingi wale Wagonjwa wengi ambao huwa tunaambiwa na Madaktari wetu kuwa wapo Critical but Stable huwa wanafariki dunia ndani ya ama muda mchache au siku chache tu zijazo.
Na kuna Daktari mmoja alinipa Siri kubwa ya wao kupenda kuitumia hii Kauli ya Critical but Stable kwamba huwa wanaitumia sana ili kuwaandaa Kisaikolojia wenye Mgonjwa wao ili hata baadae wakiwaambia ameshafariki basi wasiwe na mshtuko mkubwa lakini ukweli ni kwamba Kitabibu duniani kote hakuna kitu cha fulani ni Critical but Stable ila ukweli ni kwamba tayari huyo Mgonjwa anakuwa ameshafikia hatua ya mwisho kabisa ya kukata roho.
Sasa kama kumbe Mgonjwa kuwa Critical but Stable ni sawasawa tu na tayari ameshakata roho / amekufa nyie Madaktari huwa mnaogopa nini kutuambia Sisi tunaouguza kuwa Mpendwa Mgonjwa wetu ameshafariki dunia? Je hamuoni kwamba kuendelea kutuambia hii Kauli yenu ya Mgonjwa yupo Critical but Stable wakati kumbe ameshafariki dunia tayari mnatupa mzigo mwingine tu wa gharama na huenda mngesema tu ukweli mapema basi tungeokoa Pesa?
Kwa mfano Mimi binafsi nina Mgonjwa wangu Hospitali moja hapa Jijini ambaye alishambuliwa vibaya mno na Majambazi huku akiwa ameumizwa vibaya sana mkononi, mguuni, tumboni, kichwani na hadi wakaathiri na ini lake huku akiwa anapumulia mashine, lakini tokea tumkimbize hapo Hospitali leo ni siku kama si ya 15 basi ya 16 yupo ICU na hata haturuhusiwi kuingia kumuona ila ni Madaktari tu pekee ndiyo hutoka nje na kutupa taarifa zake za neno lao kubwa Kwetu sisi Wauguliwaji ni kwamba Mgonjwa wetu yupo Critical but Stable.
Madaktari acheni kutuchanganya tafadhalini huyu Critical but Stable anatutesa sana Sisi tunaouguza Wagonjwa wetu. Nawaomba pia Madaktari mliotukuka na mliopo humu JamiiForums mnipe ufafanuzi wa hii Kauli kwani inatuchanganya sana na hadi kuwafanya Ndugu, Jamaa na Marafiki zetu wengi wasijue la kufanya na huku wengine wasite pia hata kutaka kutoa msaada wao wa michango na huduma zingine kwa huyu Mgonjwa wetu Mpendwa ambaye ni Ndugu yangu aliyejeruhiwa vibaya sana na Majambazi huko Tarime Mkoani Mara ( Musoma ) akiwa anatoka Kazini na anaingia Nyumbani Kwake.
Nawasilisha.
mimi nimekuelewa sana mzee. hii kauli niliiskia kwa mara ya kwanza kipindi mandela anaumwa,nikajiuliza sana maana ya hii kauli nini. na baada ya muda si mrefu akafariki. kwa kifupi ukipewa hii kauli na madaktar kajiandae kuzika
Tatizo ni kwamba hadi sasa CDM kila jambo likija jukwaani wanadhania wanasemwa wao au mtu anamzungumzia lisu, kitu ambacho siyo sahihi kufanya kila mtu awaze juu ya lisu wakati wapo watu wengine pia wana matatizo kama ya lisu au hata zaidi.
Mfano, msiba wa Familia ya Teu ni simanzi kubwa sana kwa Taifa, ndugu na jamaa.
Ila ukiandika tu Uzi kuhusu msiba huo wa familia ya Teu wao wanaaza kusema nataka kuhamisha mada ya lisu, sasa hivi lisu ndiyo habari ya mjinj na watachafua Uzi wote.
Ndiyo kama kwako unahitaji kujua matumizi ya usemi huu "Critical but stable" na maana yake na hali halisi ya mgonjwa.
Ila naona, wengi wanaandika mara "hafi ng'o, oooh oooh tunamlipia" , tunamuombea" sasa nashindwa kuelewa mbona wewe kwenye huu uzi mbona hujataja jina la mgonjwa au lisu!?
Any way, watoto wa kambo na yatima ni ngumu sana kuelewa kuwa wanathaminiwa na familia ambazo siyo zao.
Mkuu GENTAMYCINE mimi sio mtaalamu wala docta ila pitiapitia zangu nimeokota huko haya maelezo...
Wataalamu watafafanua zaidi kiundani hata kwa kiswahili
Critical means severely ill, not out of the danger zone, stable means no further deterioration e.g. no new problems with circulation, ventilation/oxygenation (breathing or mechanical ventilation), kidney function, liver function, bowel function, blood clotting and brain function as far as can be gauged in these very sick patients often heavily sedated.
Critical but stable can also apply to younger patients.
In layman's terms, critical but stable means someone who is severely ill but their condition is not deteriorating at the present time. In other words, the doctors cannot predict what will happen, but the patient is very ill.
Source:
Forumsuk.culture.language.english
Critical = "life-threatening"
stable = "getting neither worse nor better"
Someone whose life is threatened can have their condition worsening or improving, while at the same time still remaining life-threatening. Consider someone whose heart is beating irregularly... it can either stop completely (getting worse) or beat more regularly but still be dangerous (getting better). Stable implies there's no change in the condition, even though that condition remains serious.