Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani aliyekuhifadhi tumboni mwake kwa miezi Kenda / Tisa Yeye ndiyo anaweza akawa Punguani mkubwa wa kunizidi. Hivi katika uzi wangu nimetaja mahala popote jina la Tundu Lissu? Kwahiyo GENTAMYCINE sina uhuru wangu na haki yangu ya kuhoji Jambo la Kitaalam na kupata ufafanuzi wake? Kwani ni Wagonjwa wangapi humu Mahospitalini huwa tunaambiwa na Madaktari kuwa wapo Critical but Stable?
Utundu Lissu katika huu uzi wangu umekukaje? Umepimaje kama Mimi siuguzi huyo Mgonjwa wangu? Naona unanitafuta Mkuu hivyo endelea tu utakipata unachokitafuta kutoka Kwangu kwani unaonekana unajifanya Kunijua sana halafu unawashwawashwa na Mimi.
Na nilitaka ufafanuzi wa Kitaalam na Kiueledi kabisa kutoka kwa Madaktari humu JF na sikuhitaji maoni ya Wapumbavu wachache wa mfano wako ambao akili zenu zote na muda wote zimekaa tu Kiitikadi za Kisiasa. Nauguliwa je ni dhambi kuhoji juu ya jambo fulani ambalo linanitatiza?
Uvumilivu wangu Kwako unaanza kufikia Kikomo.
Watu wanakaa ICU miezi mitatu nini hizi siku 14 tu. Critical but stable tuwaulize walioingia madarasani watueleze maana yake.
mtu anayeongea sana huwa anakosa muda wa kufikiri, matokeo yake anaonge pointless.
sasa huyu mleta mada anaongea sana hadi anafilisi akili yake mwenyewe kwasababu hajipi muda wa kujifunza na kutafakari.
Go back to school kama neno jepesi hivyo linakutoa kwenye reli.
NiceCritical ni kuwa mgonjwa clinically yuko very ill but stable ni kuwa vital sign is ok and no sign of deterioration...the death is not knocking the door but its near enough to hear the knocking..
GENTAMYCINE kama unavyojiita. Mungu akupe hekima...................................................... Na uendelee na hiyo shida yako. Lakini letu moja Lissu atapona na utashudhudia ukuu wa Mungu.....
Mfano mzuri ushawahi skia kitu kina itwa COMA..? Chuguza uone mtu anaweza kaa na COMa kwa mda gani..🙁 lakn bado yuko stable.
Majibu ya walioingia madarasani ndiyo haya, wengine tuliishia play groundCritical ni kuwa mgonjwa clinically yuko very ill but stable ni kuwa vital sign is ok and no sign of deterioration...the death is not knocking the door but its near enough to hear the knocking..