Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,774
- 13,566
Haya bhanaHapana ,ni kwa Changamoto za kupumua na nimonia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya bhanaHapana ,ni kwa Changamoto za kupumua na nimonia.
Ni lini ilikuwa haitangazwi?matangazo ya vifo yamekuwako radioni miaka lukuki,kwenye magazeti obituary zipo,TBC bango lipo,sasa sijui hasira yako ni kuona Tangazo jamiiforum au nini mkuu?Hivi siku hizi ni fahari kutangaza kila anaekufa?? Mnatuboa bwana
Jilockdown mkuu!!Sijui ndio hizo changamoto za upumuaji au kuna kitu kingine ila vifo vinafululiza mno hii Arusha...
Kuanzia Raska zone mpaka Arusha Meat pale ndani ya week 2 tu nimesikia misiba zaidi ya mitano. Na jioni hii mwingine tena yan mpaka mtu unapata woga kwenda kuhudhuria
Huyo mzee hapo kwenye picha ni wa kitambo sana.
Pole kwa wote.
Ukitaka kushuhudia zaidi njoo Moshi tulia maeneo ya Uchira au njia panda ya himoSijui ndio hizo changamoto za upumuaji au kuna kitu kingine ila vifo vinafululiza mno hii Arusha...
Kuanzia Raska zone mpaka Arusha Meat pale ndani ya week 2 tu nimesikia misiba zaidi ya mitano. Na jioni hii mwingine tena yan mpaka mtu unapata woga kwenda kuhudhuria
RIP madaktari.
Pole kwa wafiwa.
Tanzania ni nchi ambayo uwiqno wa madaktari na raia wanaowahudumia ni mbaya sana, kwa maana ya jwamba kilabdqktari mmoja anahudumia raia wengine wengi sana.
Kwa hesabu za WHO, kika Watanzania 1,000 wanahudumiwa na "madaktari" 0.04.
Maana yake, kila daktari mmoja anahudumia raia wengine 25,000.
Kwa hiyo unaposikia daktari mmoja amefariki, kuweza kuweka msiba huo vizuri katika muktadha wake, pia hesabu kwamba kama watu 25,000 wamefiwa na daktari wao, inabidi wajiunge kwa daktari mwingine na kuongeza namba ya raia wanaohudumiwa na daktari huyo mwingine.
Ukisikia madaktari wawili wamefariki, hapo ni kama watu 50,000 wamefiwa na madaktari wao, inabidi wajiunge kwa madaktari mwingine.
Mimi kuna cousin wangu mmoja aliniomba ushauri kama awe daktari au injinia, nikamshauri awe daktari bila shaka.
Nikamsomesha mpaka amekuwa daktari, tumwpunguza namba ya watu wanaomtegemea daktari mmoja Tanzania.