Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fani ya udaktari ni fani adhimu sana, ni sawa na mambo ya utawala bora na mambo ya haki za binaadamu kwenye siasa za kidemocrasia.
Namna Siasa za kidemocrasia zinavyoendeshwa nchini ndio hivyo hivyo na sayansi ya kidaktari inavyoendeshwa.
vyote mauza mauza
Hapana, hapana, hapana.
Huu ugonjwa limekua ni tatizo kubwa mno, tena mno... Yaani kama ungekua unatolewa takwimu si ajabu asilimia 99% ya wanawake wote wanaugua ugonjwa huu.
Taarifa za madaktari zinasema kisababishi kikuu ni uchafu kwa wakina mama katika sehemu zao za siri ambazo mara nyingi hutokana na kutojisafisha vizuri na kutumia vyoo vichafu.
Jamani hapana sitaki kuamini Tanzania tuna wanawake wachafu kiasi hiki maana tatizo hili limekithiri mno. Alaf WHY NOW? kwamba hapo mwanzo hatukuwahi kuwa wachafu?
Hapana madaktari rudini maabara mtuambie labda kuna chanzo kingine tofauti na hiki maana kama ni suala la uchafu this is too much. Hapana rudini maabara mtuambie labda kuna kingine tofauti na hiki mnachotuambia sasa, huu ugonjwa umezikithiri, hata mwanamke ajitahid vipi kuwa msafi bado ataupata tu.
Hapana rudini maabara mkauangalie tena ugonjwa huu
Mmh Hicho ni kipimo gan cha maralia kinachotumia masaa yote hayo.???Serikali ingepiga marufuku hospitali kufanya kazi za kupima na kutibu.
Inasemekana kipimo kilichopendekezwa kupima maralia na wizara ya afya, na labda kutokana na methodology ya kipimo husika inahitajika zaidi ya masa 24 kiweze kusema kwa usahihi kama mtu na maralia au la.
lakini huwa inachukua wastani wa dak 20-30 kupata majibu, ukiwa na haraka sana hata 5minutes unapewa maralia yako.
Fani ya udaktari ni fani adhimu sana, ni sawa na mambo ya utawala bora na mambo ya haki za binaadamu kwenye siasa za kidemocrasia.
Namna Siasa za kidemocrasia zinavyoendeshwa nchini ndio hivyo hivyo na sayansi ya kidaktari inavyoendeshwa.
vyote mauza mauza
hata mm nashangaa mkuu,au kuna siri tusoijua na hatupaswi kuijua sisi tunaoitwa wananchi wa kawaida kuhusiana na sera ya malaria haikubariki inapelekea kuhamisha magoli,kwamba tuonekane malaria Tanzania ni 0 ili kumfurahisha beberu (WHO)??maana sku hizi ni kawaida sana kukutwa huna malaria ila una UTI,nawaza tuuHapana, hapana, hapana.
Huu ugonjwa limekua ni tatizo kubwa mno, tena mno... Yaani kama ungekua unatolewa takwimu si ajabu asilimia 99% ya wanawake wote wanaugua ugonjwa huu.
Taarifa za madaktari zinasema kisababishi kikuu ni uchafu kwa wakina mama katika sehemu zao za siri ambazo mara nyingi hutokana na kutojisafisha vizuri na kutumia vyoo vichafu.
Jamani hapana sitaki kuamini Tanzania tuna wanawake wachafu kiasi hiki maana tatizo hili limekithiri mno. Alaf WHY NOW? kwamba hapo mwanzo hatukuwahi kuwa wachafu?
Hapana madaktari rudini maabara mtuambie labda kuna chanzo kingine tofauti na hiki maana kama ni suala la uchafu this is too much. Hapana rudini maabara mtuambie labda kuna kingine tofauti na hiki mnachotuambia sasa, huu ugonjwa umezikithiri, hata mwanamke ajitahid vipi kuwa msafi bado ataupata tu.
Hapana rudini maabara mkauangalie tena ugonjwa huu
Huambukizwa na mdudu anaitwa E coli anapatikana katika haja kubwa na huwa tuna jisafisha kutoka nyuma kuja mbele kwahyo kama Kuna vbakteria katika haja kubwa inakuwa rahisi sana kupata maabukiz.Hapana, hapana, hapana.
Huu ugonjwa limekua ni tatizo kubwa mno, tena mno... Yaani kama ungekua unatolewa takwimu si ajabu asilimia 99% ya wanawake wote wanaugua ugonjwa huu.
Taarifa za madaktari zinasema kisababishi kikuu ni uchafu kwa wakina mama katika sehemu zao za siri ambazo mara nyingi hutokana na kutojisafisha vizuri na kutumia vyoo vichafu.
Jamani hapana sitaki kuamini Tanzania tuna wanawake wachafu kiasi hiki maana tatizo hili limekithiri mno. Alaf WHY NOW? kwamba hapo mwanzo hatukuwahi kuwa wachafu?
Hapana madaktari rudini maabara mtuambie labda kuna chanzo kingine tofauti na hiki maana kama ni suala la uchafu this is too much. Hapana rudini maabara mtuambie labda kuna kingine tofauti na hiki mnachotuambia sasa, huu ugonjwa umezikithiri, hata mwanamke ajitahid vipi kuwa msafi bado ataupata tu.
Hapana rudini maabara mkauangalie tena ugonjwa huu
Rudi darasani kajifunze kiswahili, Alaf (aluminium Africa)! Halafu ingependeza zaidi.Hapana, hapana, hapana.
Huu ugonjwa limekua ni tatizo kubwa mno, tena mno... Yaani kama ungekua unatolewa takwimu si ajabu asilimia 99% ya wanawake wote wanaugua ugonjwa huu.
Taarifa za madaktari zinasema kisababishi kikuu ni uchafu kwa wakina mama katika sehemu zao za siri ambazo mara nyingi hutokana na kutojisafisha vizuri na kutumia vyoo vichafu.
Jamani hapana sitaki kuamini Tanzania tuna wanawake wachafu kiasi hiki maana tatizo hili limekithiri mno. Alaf WHY NOW? kwamba hapo mwanzo hatukuwahi kuwa wachafu?
Hapana madaktari rudini maabara mtuambie labda kuna chanzo kingine tofauti na hiki maana kama ni suala la uchafu this is too much. Hapana rudini maabara mtuambie labda kuna kingine tofauti na hiki mnachotuambia sasa, huu ugonjwa umezikithiri, hata mwanamke ajitahid vipi kuwa msafi bado ataupata tu.
Hapana rudini maabara mkauangalie tena ugonjwa huu
Ukiona mwanaume ana UTI jua kuna moja kati ya hayaLabda tafiti zifanyike kwa kina. Sekta ya afya nako kuna sintofahamu nyingi sana. Unakumbuka zamani kila ukipima ni malaria au homa ya mtumbo(Typhoid) tu. Sasa tumehama tupo U.T.I , kwakweli hata vidume siku hizi ni full U.T.I.
Mkuu huwa mnalishwa matango pori,na hili mbona hata naibu waziri wizara ya afya faustine ndugulile ambaye kitaaluma pia ni daktari alitolea ufafanuzi,alisema watu wanadanganywa kuhusu huo ugonjwa wa U.T.I. huo ugonjwa huwezi kuthibitisha km mgonjwa ana U.T.I kwa dikika 30 baada ya kupima. Majibu ya U.T.I yanachukua masaa 48 mpaka masaa 72. Hospital za kibinafsi ndiyo matapeli wakubwa,lengo lao huwa ni kuuza dawa. Ndiyo maana siku hizi wamefanya km mtindo,eti kila mtu ana U.T.I!! tena siyo wanawake tu,hata wanaume na watoto. Na watanzania wengi ni mbumbumbu...
Hapana, hapana, hapana.
Huu ugonjwa limekua ni tatizo kubwa mno, tena mno... Yaani kama ungekua unatolewa takwimu si ajabu asilimia 99% ya wanawake wote wanaugua ugonjwa huu.
Taarifa za madaktari zinasema kisababishi kikuu ni uchafu kwa wakina mama katika sehemu zao za siri ambazo mara nyingi hutokana na kutojisafisha vizuri na kutumia vyoo vichafu.
Jamani hapana sitaki kuamini Tanzania tuna wanawake wachafu kiasi hiki maana tatizo hili limekithiri mno. Alaf WHY NOW? kwamba hapo mwanzo hatukuwahi kuwa wachafu?
Hapana madaktari rudini maabara mtuambie labda kuna chanzo kingine tofauti na hiki maana kama ni suala la uchafu this is too much. Hapana rudini maabara mtuambie labda kuna kingine tofauti na hiki mnachotuambia sasa, huu ugonjwa umezikithiri, hata mwanamke ajitahid vipi kuwa msafi bado ataupata tu.
Hapana rudini maabara mkauangalie tena ugonjwa huu
Baba uti ipo kwenye std's hiyo ni mpyaHuambukizwa na mdudu anaitwa E coli anapatikana katika haja kubwa na huwa tuna jisafisha kutoka nyuma kuja mbele kwahyo kama Kuna vbakteria katika haja kubwa inakuwa rahisi sana kupata maabukiz.
Na pia si kwa wanawake hata watoto wadogo na pampas zenu hzo mtoto anakaaa na kinyes muda mrefu bila kusafishwa
U.T.I ina mlolongo mrefu sana na ndio maana ipo katika kundi la STDs