babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Tofautisha kuambiwa ukweli na kuchekelea maafa,Ila sijaona Mkenya anayefurahia maafa ya Watanzania. Kwa Sasa najua furaha ni bila kifani lakini Kila mbwa na siku yake. Janga Kama hili hutaniona nikimuombea hata adui wangu kamwe.
Ikumbukwe Lamu Port vs Bagamoyo mlikesha humu , Geza Ulole alifungua nyuzi Kila dakika jinsi Lamu itafeli na Bagamoyo kunawiri but Sasa hivi Bagamoyo kwenye kaburi la sahau. Chungeni Sana haya maafa yasiwafikie kwa hiki kiburi chenu.
Nyie mnachoambiwa humu ni ukweli na kuanikwa kwa ujinga na uwembe wenu,
Huwa mnajisifu mna madaktari haya sasa huu uzembe uliofanyika tuiteje!
Tabia ya kujiona nyie ni bora kuliko waafrika wengine ndio kinacho waponza,
Mnapenda kutumia neno kuchekelea pale mkiona mmebanwa kwa kuambiwa ukweli,
Mnakumbuka mkimtukana rais wetu na mkamuita mkaidi tena hamkuishia hapo mkaenda mbali zaidi kwa kusema Tz inaenda kuwa kama Italy.