Madaktari Kenya wasambaza virusi vya Corona kutokana na uzembe na Elimu ndogo waliyonayo

Madaktari Kenya wasambaza virusi vya Corona kutokana na uzembe na Elimu ndogo waliyonayo

Wengi wamepatikana na kuwekwa karantin.
Yule wa Mwanza na huyu aliingia Kenya waliotangamana nao wako wapi huko Tz? Serikali yenu imewapata hata wale walikuwa daladala moja?
Hizo figures unaweka hapo zitaongezeka Serikali yenu ikianza kuwa Serious.
Wengi wamepatikana na kuwekwa chini ya karantini, ndio maana " Score board reads

Kenya 185, 7deaths
Tanzania 27, 1 death

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri wa Afya wa Kenya wakati akitangaza kifo cha mgonjwa wa Corona hapo Jana Alhamisi, alisema kwamba mgonjwa huyo alifika Hospitalini hapo akiwa anaumwa maradhi mengine, hivyo alihudumiwa na madaktari na manesi wa kawaida na kulazwa katika wadi za kawaida pamoja na wagonjwa wengine hadi alipofariki na kupelekwa katika chumba cha maiti, muda wote huo alikua hajagundulika kama alikua ameambukizwa virusi vya Corona. Ndugu na jamaa wa mgonjwa waliomba kufanyike " Postmortem " ndio ikagundulika kwamba alikua na COVID-19.

Taarifa zisizorasimi zinadai kwamba, ndugu wamesema kwamba, huenda aliambukizwa virusi akiwa hapo Hospitalini kwasabu ni zaidi ya miezi miwili sasa hajawahi kutoka nje ya nyumba yake kwa sababu alikua na mgonjwa wa asiyeweza kutembea, na hapo nyumbani hakujawahi kutokea mtu yeyote mwenye dalili hadi sasa.

Ikumbukwe kwamba hiyo sio Mara ya kwanza kwa madaktari Kenya kuwachanganya wagonjwa wenye maambukizi ya Corona na wagonjwa wa kawaida. Wiki moja iliyopita huko katika hospitali ya KNH, mtoto wa miaka 13, alilazwa ICU pamoja na wagonjwa wa kawaida bila kujulikana kama alikua na virusi vya Corona, hadi alipofariki, jambo lililosababishwa chumba cha ICU kufungwa na wagonjwa kuhamishiwa kwengine.

Uzembe wa namna hii hadi kufikia kiasi kwamba madaktari hawajui dalili za Corona, huwezi kuukuta kwengine zaidi ya Kenya.

Sambaza upendo sio chuki.

Kwa hiyo furaha yako nini? Ukiona jirani yako anaathirika jua nawe lazima uathirike kwa namna moja au ingine.

Kufurahia mabaya kwa jirani yako au rafiki yako ni zaidi ya uchawi. Kwa ufupi mawazo yako ni ya kilozi, full mauchawi.

Tanzania tumebarikiwa ardhi kubwa ya kulima, chukua jembe ukalime.

Tushindane kwa mema sio mabaya, mwenzako akibarikiwa usimchukie kisa kapata maendeleo. Ukweli ni kwamba sisi kama watanzania tuna mengi ya kujifunza toka kwa wakenya ukianzia na mfumo wa afya na uwazi ktk uwajibikaji wa serikali na mihimili yake.

Jirani zangu puuzieni story za huyu jamaa, he is just riding in the air!
 
Chizi wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hutaki kuzungumzia hili la uzembe wa madaktari wenu kushindwa kugundua dalili za Corona?. Huu Uzi unazungumzia uzembe wa madaktari wenu, wacha kuleta mambo mengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Madaktari wetu ni wazembe Sana Hadi wakaweza kupima zaidi ya watu 5000 hapo sikatai.
Swali langu ni wangapi waliotangamana na yule wa Mwanza wamepatikana na kuwekwa karantin?
 
SO if Tz ain't doing well Kenya will do the opposite?
Use your brain.
Ndio hii kitu nimesema Elimu duni ya wafanyakazi wa afya Kenya ndio maana wanaambukiza wagonjwa Covid 19
Ya kwako imekushinda ya Kenya ndio utaweza?
Screenshot_20200410-111247.png

Next time you'll be careful before posting BS now that you know some of us are frequenters on the jukwaa la Siasa. Tunaona mengi na tunanyamaza. Jambo lolote la kukemra Kenya tutalipata pia Tz Tena mqra mbili zaidi.
 
Madaktari wetu ni wazembe Sana Hadi wakaweza kupima zaidi ya watu 5000 hapo sikatai.
Swali langu ni wangapi waliotangamana na yule wa Mwanza wamepatikana na kuwekwa karantin?
Uzi huu unahusu kitendo cha madaktari wenu kuwachanganya wagonjwa wa Corona na wagonjwa wa magonjwa mengine, hili awali la kupima fungua Uzi wake tutakujibu.

Vipi madaktari wanashindwa kugundua wagonjwa wenye Corona?, ninyi mnaomadktari kweli au ndio madhara ya ukabila?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kuvuruga Uzi wangu, tunazungumzia uzembe wa madaktari wenu. Eti mnataka kulinganisha madaktari wa Kenya na Tanzania, sasa hivi hata mlevi hawezi kushindwa kugundua dalili za Corona. Ninyi hamna madaktari ndio sababu wakenya hukimbilia Tanzania kutafuta matibabu bora.
Ya kwako imekushinda ya Kenya ndio utaweza?View attachment 1415079
Next time you'll be careful before posting BS now that you know some of us are frequenters on the jukwaa la Siasa. Tunaona mengi na tunanyamaza. Jambo lolote la kukemra Kenya tutalipata pia Tz Tena mqra mbili zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii hataishia kenya tu , takrban africanzima sidhani kaa wana uelewa mzuri huu huyu mdudu
 
Haya mambo ya kufurahia Tanzania au kenya kupatwa na matatizo ni kawaida .
Kwa wakenya na,sisi watanzania.
kwa hyo tulieni.
Mpambane na corona.
The bile and vitriol i see from Tanzanians here is detrimental to their well being...
i have never seen Kenyans celebrating calamities in TZ... but wait until something happens in Kenya... ghasia zinarukia kama nzi kwenye mavi

You guys will always play catch-up.. a civil war could happen in Kenya and burn everything...but we will rise above you all the time.

-ve energy destroys any man

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Uzi huu unahusu kitendo cha madaktari wenu kuwachanganya wagonjwa wa Corona na wagonjwa wa magonjwa mengine, hili awali la kupima fungua Uzi wake tutakujibu.

Vipi madaktari wanashindwa kugundua wagonjwa wenye Corona?, ninyi mnaomadktari kweli au ndio madhara ya ukabila?

Sent using Jamii Forums mobile app
Masaa yanatimia ya kufungua Uzi mwingine wa Corona Kenya...unachelewa.
 
Back
Top Bottom