Madaktari Kenya wasambaza virusi vya Corona kutokana na uzembe na Elimu ndogo waliyonayo

Madaktari Kenya wasambaza virusi vya Corona kutokana na uzembe na Elimu ndogo waliyonayo

Wacha kuvuruga Uzi wangu, tunazungumzia uzembe wa madaktari wenu. Eti mnataka kulinganisha madaktari wa Kenya na Tanzania, sasa hivi hata mlevi hawezi kushindwa kugundua dalili za Corona. Ninyi hamna madaktari ndio sababu wakenya hukimbilia Tanzania kutafuta matibabu bora.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok.
 
Huu ni uzembe wa hali ya juu sana especially ktk kipindi hiki cha Covid-19 carnage. Madaktari na wasaidizi wao wanatakiwa kuobserve established protocols and guidelines on how to isolate Corona patients from the rest.

Only in Kenya, ooh Lord please save this country....
Waziri wa Afya wa Kenya wakati akitangaza kifo cha mgonjwa wa Corona hapo Jana Alhamisi, alisema kwamba mgonjwa huyo alifika Hospitalini hapo akiwa anaumwa maradhi mengine, hivyo alihudumiwa na madaktari na manesi wa kawaida na kulazwa katika wadi za kawaida pamoja na wagonjwa wengine hadi alipofariki na kupelekwa katika chumba cha maiti, muda wote huo alikua hajagundulika kama alikua ameambukizwa virusi vya Corona. Ndugu na jamaa wa mgonjwa waliomba kufanyike " Postmortem " ndio ikagundulika kwamba alikua na COVID-19.

Taarifa zisizorasimi zinadai kwamba, ndugu wamesema kwamba, huenda aliambukizwa virusi akiwa hapo Hospitalini kwasabu ni zaidi ya miezi miwili sasa hajawahi kutoka nje ya nyumba yake kwa sababu alikua na mgonjwa wa asiyeweza kutembea, na hapo nyumbani hakujawahi kutokea mtu yeyote mwenye dalili hadi sasa.

Ikumbukwe kwamba hiyo sio Mara ya kwanza kwa madaktari Kenya kuwachanganya wagonjwa wenye maambukizi ya Corona na wagonjwa wa kawaida. Wiki moja iliyopita huko katika hospitali ya KNH, mtoto wa miaka 13, alilazwa ICU pamoja na wagonjwa wa kawaida bila kujulikana kama alikua na virusi vya Corona, hadi alipofariki, jambo lililosababishwa chumba cha ICU kufungwa na wagonjwa kuhamishiwa kwengine.

Uzembe wa namna hii hadi kufikia kiasi kwamba madaktari hawajui dalili za Corona, huwezi kuukuta kwengine zaidi ya Kenya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi huu unahusu kitendo cha madaktari wenu kuwachanganya wagonjwa wa Corona na wagonjwa wa magonjwa mengine, hili awali la kupima fungua Uzi wake tutakujibu.

Vipi madaktari wanashindwa kugundua wagonjwa wenye Corona?, ninyi mnaomadktari kweli au ndio madhara ya ukabila?

Sent using Jamii Forums mobile app

Vipi madaktari wanashindwa kugundua wagonjwa wenye Corona? ......that's a funny question.
maybe you should know the following .

  • Si wagonjwa wote wa Corona huonyesha dalili ,studies have shown that people without symptoms are causing substantial amounts of infection,some Corona related deaths are only discorved during post mortem...So if you don't conduct a postmortem you will assume death occured due to natural causes.For this case a postmortem was done and thats how it was discovered .

  • according to statistics , healthcare workers make up 9% of COVID-19 cases.this is largely contributed by their frequent contact with patients. For the above reasons all healthcare workers are not going back to their homes after work their are now being housed in government facilities .We are also carrying out mandatory testing for all healthcare workers in the country be it ,Nurses , clinical officers or doctors

  • You simply cannot compare Kenyan doctors and Tanzanian doctors .if we were to compare we would start with simple things such as doctors to patients ratio and you'll realize that Tanzania is 10yrs behind Kenya.

.
 
Huu ni uzembe wa hali ya juu sana especially ktk kipindi hiki cha Covid-19 carnage. Madaktari na wasaidizi wao wanatakiwa kuobserve established protocols and guidelines on how to isolate Corona patients from the rest.

Only in Kenya, ooh Lord please save this country....

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinyi ni wazembe kupindukia ata sijui unaongea nini.
 
Vipi madaktari wanashindwa kugundua wagonjwa wenye Corona? ......that's a funny question.
maybe you should know the following .

  • Si wagonjwa wote wa Corona huonyesha dalili ,studies have shown that people without symptoms are causing substantial amounts of infection,some Corona related deaths are only discorved during post mortem...So if you don't conduct a postmortem you will assume death occured due to natural causes.For this case a postmortem was done and thats how it was discovered .

  • according to statistics , healthcare workers make up 9% of COVID-19 cases.this is largely contributed by their frequent contact with patients. For the above reasons all healthcare workers are not going back to their homes after work their are now being housed in government facilities .We are also carrying out mandatory testing for all healthcare workers in the country be it ,Nurses , clinical officers or doctors

  • You simply cannot compare Kenyan doctors and Tanzanian doctors .if we were to compare we would start with simple things such as doctors to patients ratio and you'll realize that Tanzania is 10yrs behind Kenya.

.
Hahahaha, Failed state ninyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom