Madaktari kuchati kazini: Ongezeko la machekibobu

Siku hizi mimi nawaita waganga wa kienyeji
Yaani kabla hujamaliza sentence yeye ameishaandika na anakuambia kachukue dawa
Hawa makanjanja sijui wanafundishwa nini maana hata nidhamu hawana na manesi wafuata mkumbo wao ndio serial killers waliojificha nyuma ya nguo hizo nyeupe
Wanauwa kama nini
 
Anhaaa BICHWA KOMWE - leo umetufikia sasa .

Shida ni hizi division one za mchongo ambazo zinatuletea masharobaro kazini eti daktari .

Ninayo mengi rafiki ila wacha nikae kimya ila jua vijana ndiyo wazinguzi ila ni mwendo wa kuwapiga makofi matatu heshima inachukua mkondo wake .

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Hatari sana
 
Wachawi wale.
 
Kuna midada anavaa nguo fupi inafika mapajani, na unakuta mapaja meupe huku yuko anachat na simu ya macho matatu, kavaa koti jeupe, eti daktari, najiuliza uyu ni daktari au malaya aliyechangamka
Aisee..
Makahaba
 
Kuna midada anavaa nguo fupi inafika mapajani, na unakuta mapaja meupe huku yuko anachat na simu ya macho matatu, kavaa koti jeupe, eti daktari, najiuliza uyu ni daktari au malaya aliyechangamka
Aisee..
Toa code ya hiyo Hospitali Mkuu...
 
Kaa kwa kutulia kwa nn unaogopa kupima ukimwi?
Usipo pima kwa hiyari utapimwa kwa lazima bila kujua
 
We mzee si ulisema upo ulaya na unamiliki viwanda?
Kumbe unatibiwa na makanjanja bongo land
 
Labda wanachukua data za maambukizi kwa ajili ya mashirika lakini Wanasahau good rapport na consent.
 
We mzee si ulisema upo ulaya na unamiliki viwanda?
Kumbe unatibiwa na makanjanja bongo land
Sasa nikija kununua mbaazi badala ya MO halafu nikwame Nzega nani anitibu hapo zaidi ya hao hao
Usinichonganishe nao wakaja kunidunga sindano zisizoeleweka
 

Huwa nasema, hakuna taaluma ambayo watu wake wanapaswa kupikwa na kuiva vizuri kila kona kama udaktari na wote wanaohusiana na utabibu.

Madaktari na wauguzi wengine wanatakiwa waive vizuri kabisa kitaaluma na kinidhamu. Wakufunzi wakiona mwanafunzi wa udaktari anakosa utu au nidhamu ni vizuri kumshauri akasome kitu kingine kwa kumwambia wazi wazi wewe hatuwezi kukuacha ukamalize watu.


 
Shida wagonjwa wa siku hizi mmekuamadaktari
Mtu anakuja na list ya vitu anavyotaka kupimwa
Kwa ufupi ujuaji mwingi
 
Sasa kama daktari ni content creator wa tiktok utafanyaje sasa inakubidi tu uwe makini kuangalia asije akakuchoma sindano ambayo imeshatumika kwa sababu ya kusahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…