Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Japo madaktari wote ni makasuku wanaomeza madesa ya shule na kuyakariri jinsi yalivyo, lakini mnyonge mnyongeni, nchi hii walikuwepo madaktari bwana!
Kuna madaktari ukiwaambia naumwa kichwa anakimbilia kukudunga chanjo ya FANSIDA, sijui ni kukariri ama ndivyo walivyofundishwa huko mashuleni?
Mimi mzee wangu alikuwa daktari, tena daktari nguli aliyeheshimika haswa kutokana na huduma zake. Hawa ni wale madaktari wa zamani ambao akikuhudumia unasema kweli hapa nimehudumiwa na DOKTA HASWA!
Madaktari wa enzi hizo ukiwafuata hadi unahisi raha kuhudumiwa. Utakaguliwa, utabonyezwa bonyezwa vimashavu vyako, unaachama mdomo unamulikwa koromelo na kitochi, yaani hadi raha!!!
Baadaye unawekewa la kupimia moyo, huku daktari anakuhoji kitaalamu na kwa ufanisi.
Lakini siku hizi kumezuka wimbi la MACHEKIBOBU wanaojiita madaktari. Hawawezi kukuhudumia wana mapepe na mawenge muda wote.
Unashtukia daktari amerukia kipima moyo, mara amekitupa mezani, anakurupuka nduki anawahi kuchungulia meseji ya Instagram. Akikuhurumia sana anakudunga chanjo la KOVIDI.
Akikuhoji wala hakuangalii usoni, kaweka EARPHONES anasikiliza singeli ati! Ni mwendo wa Unasemaaaa!!!??? Eeeeh, unasemajeee!!??? Eeeeeeeh?? sijasikia umesemaaa??? Eeeh nasemajeeee!
MY TAKE: Hili nalo mkalitizame.
hahahaaaaWanachonikera mimi ni tabia yao mpya ya kupenda kupima watu ukimwi
Kuna siku nimeumwa kichwa nikaenda kupima Malaria, baada ya kipimo akasema malaria yangu ni ndogo kiasi kwamba sihitaji kutumia dawa bali nitumie muda mwingi kupumzika na kunywa maji
Cha ajabu akashauri eti unaonaje tukupime na ukimwi? Nikamwambia acha ufala, mimi nimekuja kupima malaria siyo ukimwi, nikaondoka
Hasa wagonjwa wa Kisukari wajuaji sana kila kitu wanajua waoShida wagonjwa wa siku hizi mmekuamadaktari
Mtu anakuja na list ya vitu anavyotaka kupimwa
Kwa ufupi ujuaji mwingi
Ficha ujinga wakoJapo madaktari wote ni makasuku wanaomeza madesa ya shule na kuyakariri jinsi yalivyo, lakini mnyonge mnyongeni, nchi hii walikuwepo madaktari bwana!
Kuna madaktari ukiwaambia naumwa kichwa anakimbilia kukudunga chanjo ya FANSIDA, sijui ni kukariri ama ndivyo walivyofundishwa huko mashuleni?
Mimi mzee wangu alikuwa daktari, tena daktari nguli aliyeheshimika haswa kutokana na huduma zake. Hawa ni wale madaktari wa zamani ambao akikuhudumia unasema kweli hapa nimehudumiwa na DOKTA HASWA!
Madaktari wa enzi hizo ukiwafuata hadi unahisi raha kuhudumiwa. Utakaguliwa, utabonyezwa bonyezwa vimashavu vyako, unaachama mdomo unamulikwa koromelo na kitochi, yaani hadi raha!!!
Baadaye unawekewa la kupimia moyo, huku daktari anakuhoji kitaalamu na kwa ufanisi.
Lakini siku hizi kumezuka wimbi la MACHEKIBOBU wanaojiita madaktari. Hawawezi kukuhudumia wana mapepe na mawenge muda wote.
Unashtukia daktari amerukia kipima moyo, mara amekitupa mezani, anakurupuka nduki anawahi kuchungulia meseji ya Instagram. Akikuhurumia sana anakudunga chanjo la KOVIDI.
Akikuhoji wala hakuangalii usoni, kaweka EARPHONES anasikiliza singeli ati! Ni mwendo wa Unasemaaaa!!!??? Eeeeh, unasemajeee!!??? Eeeeeeeh?? sijasikia umesemaaa??? Eeeh nasemajeeee!
MY TAKE: Hili nalo mkalitizame.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasaMimi nimeenda na miguu yangu nikasema nataka kupima malaria Yeye anataka kunipima Ukimwi
Sijuwi nani alimwambia mimi napenda kuishi na mastress
Kwa kweliSiku hizi mimi nawaita waganga wa kienyeji
Yaani kabla hujamaliza sentence yeye ameishaandika na anakuambia kachukue dawa
Hawa makanjanja sijui wanafundishwa nini maana hata nidhamu hawana na manesi wafuata mkumbo wao ndio serial killers waliojificha nyuma ya nguo hizo nyeupe
Wanauwa kama nini
Hata Mimi niliwahi kukutana na kadaktari sijui kalikuwa kanafanya utafiti, naumwa ugonjwa mwingine ananiambia nipime ukimwi nikashangaa hajaniandaa hawajaniandaa kisaikolojia.Wanachonikera mimi ni tabia yao mpya ya kupenda kupima watu ukimwi
Kuna siku nimeumwa kichwa nikaenda kupima Malaria, baada ya kipimo akasema malaria yangu ni ndogo kiasi kwamba sihitaji kutumia dawa bali nitumie muda mwingi kupumzika na kunywa maji
Cha ajabu akashauri eti unaonaje tukupime na ukimwi? Nikamwambia acha ufala, mimi nimekuja kupima malaria siyo ukimwi, nikaondoka
Doctors are taught to claim and not to ask WHY.Ukiwapitia kwa makini na kwa akina madaktari Hawa Peter c.Gotzsche & Ben Goldacre;
;Kisha ukafanya utafiti Mdogo katika hospital zetu hapa Tanzania au "Dunia ya Tatu",Utapata picha kubwa na yakuogofya kuhusu sekta ya Afya,:
Madaktari Wengi wa Tanzania/Tanganyika Uwezo Mdogo Sana na Incompetent!
PETER C. GOTZSCHE- Daktari/Physician, Medical Researcher!
Book : DEADLY MEDICINE'S & ORGANIZED CRIME "How big pharma has corrupted Healthcare".
BEN GOLDACRE- British Physician, Academic na Science Writer.
Book:Bad science.
Book: BAD PHARMA "How Drug Companies Mislead doctors and Harm Patient s"