Madaktari kuchati kazini: Ongezeko la machekibobu

Kuna Mmoja kaniambia niende x ray nikarudi na CD ya picha sijui kitaalam wanaitaje akaweka ila kaganda hasemi lolote mara akatoa cm kabonyeza bonyeza Kisha akapiga picha Yale majibu ya x ray akatoka nje akarudi akatoka Tena nasimu akarudi mwisho akaniandikia citrizen 😂😂😂
Nikaondka tu zile movement ningemuuliza swali angetoka asingerudi😂😂
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahaaaa
 
Siwakubali wahindi kwakukujazia midawa mingi ila wale watu wapo makini sana na taaluma ya afya!
 
Shida wagonjwa wa siku hizi mmekuamadaktari
Mtu anakuja na list ya vitu anavyotaka kupimwa
Kwa ufupi ujuaji mwingi
Hasa wagonjwa wa Kisukari wajuaji sana kila kitu wanajua wao

Madaktari pia wasifikiri bado tupo miaka 1947, sasa wagonjwa wengi huwezi kuwapeleka peleka kama unavyotaka wewe
 
Ficha ujinga wako
 
Kwa kweli
 
Ukiwapitia kwa makini na kwa akina madaktari Hawa Peter c.Gotzsche & Ben Goldacre;

;Kisha ukafanya utafiti Mdogo katika hospital zetu hapa Tanzania au "Dunia ya Tatu",Utapata picha kubwa na yakuogofya kuhusu sekta ya Afya,:

Madaktari Wengi wa Tanzania/Tanganyika Uwezo Mdogo Sana na Incompetent!

PETER C. GOTZSCHE- Daktari/Physician, Medical Researcher!

Book : DEADLY MEDICINE'S & ORGANIZED CRIME "How big pharma has corrupted Healthcare".

BEN GOLDACRE- British Physician, Academic na Science Writer.

Book:Bad science.

Book: BAD PHARMA "How Drug Companies Mislead doctors and Harm Patient s"
 
Hata Mimi niliwahi kukutana na kadaktari sijui kalikuwa kanafanya utafiti, naumwa ugonjwa mwingine ananiambia nipime ukimwi nikashangaa hajaniandaa hawajaniandaa kisaikolojia.
 
Cover's
 

Attachments

  • 9780007498086.jpg (JPEG Image, 317 × 500 pixels)_1706716943064_073207.jpeg
    17 KB · Views: 4
  • 71nZLU7wksL._AC_UF1000,1000_QL80_.jpg (JPEG Image, 667 × 1000 pixels)_1706717042481_073206.jpeg
    72.5 KB · Views: 3
  • Bad_Pharma.jpg (JPEG Image, 222 × 355 pixels)_1706716876480_073204.jpeg
    10.7 KB · Views: 4
Doctors are taught to claim and not to ask WHY.

Sema hii kada (hii sekta) ni nyeti sana huwezi kuishambulia hadharani na ukabaki salama, wapo tayari hata kukuua Ila siyo wakuangalie tu ukiwakosoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…