Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
Sawaaa, lakini hapo ulipaswa useme mwanamke ni rahisi kupata maambukizi ya VVU.Viungo vyenu ni laini sana so kupata mchubuko ni rahisi kuliko wanaume unajua mwanaume anavyotahiriwa hua kuna layer inaongezeka ambayo hutengeneza kinga zaidi na kupunguza michubuko mpaka damu itoke
Umeeleweka dada na ndio maana yanguSawaaa, lakini hapo ulipaswa useme mwanamke ni rahisi kupata maambukizi ya VVU.
Wewe endelea kulazimisha uongo uwe ukweli tu....naona unahangaika sana kufananisha uongo na ukweli,kamasi na mshipa wa kichwani unakutoka kutafuta majibu ya magumashi ha haaa.1. Umefanya child molestation
2. ulivyofahamu viral load yake ilikuaje?
3. mpaka upate maambukizi lazima cell receptors zako zipokee virus, kuna watu wachache ambao cell receptors zinakataa.
Kwamba toka anyonyeshwe hakuwai kuwa anakunywa dawa..duhBaada ya kugundua ndio nikamuanzishia dawa na mambo mengine muhimu.mechi kwa kweli ni rafu saana kupita kiasi
Mkuu ulikuwa wapi siku zote hawa watu wanaendelea kujazana ujinga na hofu juu ya maambuzi ya ukimwi/hiv, kwakweli hii dhana ya ukimwi ishakuwa Imani kama vile uislam na ukristo mtu akishaamini ni ngumu sana kujiuliza maswali nje ya box, na mbaya Zaidi unakuta Hadi hao madaktari pamoja na elimu zao wanakubali kugeuzwa kama chapati juu ya hizi nadharia za ukimwiWewe endelea kulazimisha uongo uwe ukweli tu....naona unahangaika sana kufananisha uongo na ukweli,kamasi na mshipa wa kichwani unakutoka kutafuta majibu ya magumashi ha haaa..
Boss ulisema Nini kwani?hata Kama neno lako sio sheria lakini waweza nikumbusha kwa kuniwekea huo Uzi nami niusome?Wewe endelea kulazimisha uongo uwe ukweli tu....naona unahangaika sana kufananisha uongo na ukweli,kamasi na mshipa wa kichwani unakutoka kutafuta majibu ya magumashi ha haaa...
Ndio,tangu ajitambue yaani apate akili hakuwahi kunywa arv,hivyo ndivyo ukweli ulivyoKwamba toka anyonyeshwe hakuwai kuwa anakunywa dawa..duh
Mada imekuwa nzuri Sana sasa,watu Kama nyinyi ndio Mtoa Uzi aliwataka mseme chochote lakini ikataka kuharibika.Mkuu ulikuwa wapi siku zote hawa watu wanaendelea kujazana ujinga na hofu juu ya maambuzi ya ukimwi/hiv, kwakweli hii dhana ya ukimwi ishakuwa Imani kama vile uislam na ukristo mtu akishaamini ni ngumu sana kujiuliza maswali nje ya box, na mbaya Zaidi unakuta Hadi hao madaktari pamoja na elimu zao wanakubali kugeuzwa kama chapati juu ya hizi nadharia za ukimwi...
Aisee ni thread ya siku nyingi Sana, ata heading nishaisahau aliandikaje, ila Kwa ufupi jamaa alikuwa anajaribu kuelezea Kwa uelewa wake kuwa hakuna kirusi cha hiv kama ambavyo tumekuwa tukiaminishwa, ispokuwa ni business tu ilitengenezwa na watu Kwa ajili ya kujipatia kipato kupitia ARV, na watu huwa wanakufa Kwa stress za kuambiwa Wana ukimwi, au wanakufa Kwa magonjwa Mengine kabisa na mwisho kabisa huwa wanakufa kutokana na kutumia ARVMada imekuwa nzuri Sana sasa,watu Kama nyinyi ndio Mtoa Uzi aliwataka mseme chochote lakini ikataka kuharibika.
Ni Thread gani hiyo jamaa aliweka ikakupa mwangaza?
Ni katika kujifunza tu.
😂 😂Mbakaji
Hakuna ugonjwa hapa mkuu tulipigwa tu, wamefanya mamilion ya watu wamepoteza maisha Yao Kwa gonjwa la uongo, watu wanakufa na stress wanaambiwa Wana HIV na ubaya Zaidi hadi watu wa Afya wengi wao bado hawajiongezi tu juu ya contraindications za HIV, inasikitisha sanaKuna mambo ama jambo kuhusu UKIMWI ambalo sisi hatujui ama hatulielewi. Kwanini ugonjwa huu umekuwa na a lot of contradictions?
Ukiongelea Malaria, it is quite simple, yajulikana kila jambo. Ukigusa hata other STD's ni very simple, unaona mechanism na effects zake in a very objective way. Kila kitu kipo clear na kina-make sense.
Njoo sasa kwenye UKIMWI, hakuna jibu moja la kitu. Utaambiwa tumia kinga, inazuia. Tena utakuja ambiwa kinga haizuii. Utaambiwa tena michubuko ukiiepuka basi hupati, hapohapo tena unaambiwa kuna watu wameishi na wenye UKIMWI miaka na miaka ingali wakiwa safe, ina maana hawajawahi kuchubuana kamwe?
Utaambiwa virusi vipo kwenye body fluids, ila hapohapo tena unaambiwa mwenye UKIMWI anaweza toa mbegu na mtoto akapatikana bila ugonjwa! Wengine tena wanasema inategemea na kinga ya mtu wakati anakutana na maradhi, kama iko vizuri anaweza asiupate.
Tena wengine wanasema habari za receptors na makundi ya damu. Yani tafarani!
Ugonjwa ambao hauna kipimo maalumu. Unapima kinga ya mtu kwa wakati husika, vipi kama kinga hizo zikawa zimeshushwa na msongo wa mawazo lakini ikaishia mtu kuambiwa anao? Au tena ikawa imesababishwa na malnutrition?
Huu ugoniwa una ndimi nyingi sana.
Sielewi ni kwamba scientists wameshindwa kuu-tame or what is behind?
Virusi vilivyoshindikana kupatiwa chanjo wala tiba miaka nenda rudi. Wengine wanakuja wanapitwa chanjo na tiba, yeye bado yupo. Hajawahi kueleweka. Ugonjwa unaomhamishia mwingine upungufu wa kinga. Aisee.
Nimeelewa sasa, pale wabakaji wanapojaribu kuteteana, hebu achana na mimi nahisi kinyaa.
Transmission inategemeana na Viral Load ya mgonjwa iwapo ana undetectable Viral Load basi uwezekano wa wewe kupata ni mdogo sana tena sana au tuseme haupo kabisa.Habar zenu madoktor humu ndani.
Mnisamehe Kama kichwa cha habari kitakuwa na ukakasi wowote.
Nilioa miaka 5 iliyopita,baada ya mwezi mmoja nikagundua mke wangu alikuwa ni muathirika wa hiv na aliambukizwa na mama yake kipindi cha unyonyeshaji.
Mwaka wa tano sasa kila kipindi ninachopima huonekana niko fresh na Sina maambukizi
Situmii kinga Wala chochote na nafsi iko tayari hata nikipata sio issue kabisa kwangu,yaani nmekubaliana na lolote lile litakalotokea
(Tufupishe story)
Sasa huwa najiuliza sana mbona sipati hiv miaka yote hiyo?
Kuna nini hapa, ama inakuwaje kuwaje hili linatokea?.
Madaktari mniambie lolote la kitaalam nifahamu.
Nb
Kama si daktari ni vyema usichangie
...Ulikuwa Umehitaji kupata, Mkuu??[emoji853]Habar zenu madoktor humu ndani.
Mnisamehe Kama kichwa cha habari kitakuwa na ukakasi wowote.
Nilioa miaka 5 iliyopita,baada ya mwezi mmoja nikagundua mke wangu alikuwa ni muathirika wa hiv na aliambukizwa na mama yake kipindi cha unyonyeshaji.
Mwaka wa tano sasa kila kipindi ninachopima huonekana niko fresh na Sina maambukizi
Situmii kinga Wala chochote na nafsi iko tayari hata nikipata sio issue kabisa kwangu,yaani nmekubaliana na lolote lile litakalotokea
(Tufupishe story)
Sasa huwa najiuliza sana mbona sipati hiv miaka yote hiyo?
Kuna nini hapa, ama inakuwaje kuwaje hili linatokea?.
Madaktari mniambie lolote la kitaalam nifahamu.
Nb
Kama si daktari ni vyema usichangie
Hapana mkuu,ila inanishangaza Sana hata madaktari ninaoenda kupima huwa nawaambia sifuat njia zozote za kujikinga wanashangaa pia.na kila nikiwauliza kwanini sipati wanakosa jibu la kueleweka ndio maana nimeamua kuweka hapa huenda tukapata faida wengi kutokana na maoni mbalimbali,...Ulikuwa Umehitaji kupata, Mkuu??[emoji853]
Kupumbaza?[emoji41]Kama anatumia dawa za kupumbaza virus vya ukimwi kwa usahihi na inavyotakiwa, ni ngumu sana kukuambukiza virusi.
Kipindi hiko kitambo, Niko home kwa baba na mama, kula kulala na kuchati na kusoma threads zenye maana nliwahi Soma thread ya jamaa deception na hapa unaona uhalisia wake kuhusu ya HIV na NIPO kwenye sekta ya afya Kuna vitu namuamn.Aisee ni thread ya siku nyingi Sana, ata heading nishaisahau aliandikaje, ila Kwa ufupi jamaa alikuwa anajaribu kuelezea Kwa uelewa wake kuwa hakuna kirusi cha hiv kama ambavyo tumekuwa tukiaminishwa, ispokuwa ni business tu ilitengenezwa na watu Kwa ajili ya kujipatia kipato kupitia ARV, na watu huwa wanakufa Kwa stress za kuambiwa Wana ukimwi, au wanakufa Kwa magonjwa Mengine kabisa na mwisho kabisa huwa wanakufa kutokana na kutumia ARV
Jamaa alianzia tangu history ya hiv inaanza na jinsi kanuni za kimajaribio ya kisayansi yalivo pindishwa ili tu kirusi cha hiv kipate sifa ya kutambulika na kuingizwa kwenye kandidata kama vilivo virus wengine, kifupi ili virus kama alivo wa Corona ili ifkie hatua hii aliyonayo sasa hivi ya kutambulika kama threat Kwa dunia kuna test zinafanywa Kwa kujaribu samples then akisababisha madhara Kwa % kubwa na akikidhi mashart Mengine ndio anahalarishwa kama kirusi hatari
leo hii Kwa siku chache Tu kuna kipimo specific cha Corona na chanjo na magonjwa Mengine mengi kama pox,avian influenza Nk, ila HIV miaka nenda Rudi hakuna kipimo specific cha hiv wala chanjo kwanini? Maana kile sio kipimo huwezi kupima cd4 count alafu ndio useme unapima hiv je kama cd4 zimeshuka kutokana na sababu au magonjwa Mengine pia unambie Nina HIV? haiingii akilini mkuu
Watakuja na theory kibao mara ohh virus wa HIV anabadirika badirika ndomana ni ngumu kupata chanjo, come on kubadirika badirika hiyo ndio sifa kuu ya virus ata wa Corona anachange Ila chanjo imepatikana, imekuaje huyu virus wetu special ye hapati chanjo wala kipimo sahihi Kwa ajili ya kumpima
Miongoni mwa hizo test zake ni pamoja na kujua incubation period yake, Ila kitu cha ajabu Hadi leo hii kirusi cha hiv haijulikani incubation period yake, kuna watu wakipata maambukizi huonesha dalili baada ya miaka 7, wengine 5, wengine 3, wengine miezi Tu, wengine hawaoneshi kabisa ila ni hadi apimwe ndio atajulikana anao ila asipopima basi imetoka
Ulikuwa ni Uzi ambao jamaa kusema ukweli alijipanga sana Kwa facts kiasi kwamba madaktari wetu walimkimbia Kwa kukosa facts za kujibu hoja zake, kwahiyo ikabaki ni maneno Tu ya kutishana ohhh subiri ndugu yako aupate, ohhh subiri uupate ndio utajua kama ni kweli au sio kweli ila kiufupi madaktari walishindwa kutetea point zao ya kwamba hiv is real maana jamaa alijiandaa sana na alikuwa deep, yapo mengi ya kuandika Ila Kwa uelewa wangu mdogo siwezi kuelekeza vizuri ni vyema ungeupata ule uzi
Nimefarijika Sana kuskia mtu alie sector ya Afya kuna mambo alimuamini Deception, kama kungetokea wataalamu wengi wa Afya Kwa pamoja wakaanza kuhoji juu ya contraindications za HIV basi mngeokoa maisha ya watu wengi Sana, HIV ina Siri kubwa sana nyuma yake Ila muda ndio daktari mkuu ipo siku Tu dunia itakuja kujua ukweliKipindi hiko kitambo, Niko home kwa baba na mama, kula kulala na kuchati na kusoma threads zenye maana nliwahi Soma thread ya jamaa deception na hapa unaona uhalisia wake kuhusu ya HIV na NIPO kwenye sekta ya afya Kuna vitu namuamn.
TAnzania hapa miaka hiyo weeeeeeengi mbona wanaolewa?Umemuoa akiwa na miaka 13 , aisee kesi ya miaka 30 jela inabidi ikuhusu