Aisee ni thread ya siku nyingi Sana, ata heading nishaisahau aliandikaje, ila Kwa ufupi jamaa alikuwa anajaribu kuelezea Kwa uelewa wake kuwa hakuna kirusi cha hiv kama ambavyo tumekuwa tukiaminishwa, ispokuwa ni business tu ilitengenezwa na watu Kwa ajili ya kujipatia kipato kupitia ARV, na watu huwa wanakufa Kwa stress za kuambiwa Wana ukimwi, au wanakufa Kwa magonjwa Mengine kabisa na mwisho kabisa huwa wanakufa kutokana na kutumia ARV
Jamaa alianzia tangu history ya hiv inaanza na jinsi kanuni za kimajaribio ya kisayansi yalivo pindishwa ili tu kirusi cha hiv kipate sifa ya kutambulika na kuingizwa kwenye kandidata kama vilivo virus wengine, kifupi ili virus kama alivo wa Corona ili ifkie hatua hii aliyonayo sasa hivi ya kutambulika kama threat Kwa dunia kuna test zinafanywa Kwa kujaribu samples then akisababisha madhara Kwa % kubwa na akikidhi mashart Mengine ndio anahalarishwa kama kirusi hatari
leo hii Kwa siku chache Tu kuna kipimo specific cha Corona na chanjo na magonjwa Mengine mengi kama pox,avian influenza Nk, ila HIV miaka nenda Rudi hakuna kipimo specific cha hiv wala chanjo kwanini? Maana kile sio kipimo huwezi kupima cd4 count alafu ndio useme unapima hiv je kama cd4 zimeshuka kutokana na sababu au magonjwa Mengine pia unambie Nina HIV? haiingii akilini mkuu
Watakuja na theory kibao mara ohh virus wa HIV anabadirika badirika ndomana ni ngumu kupata chanjo, come on kubadirika badirika hiyo ndio sifa kuu ya virus ata wa Corona anachange Ila chanjo imepatikana, imekuaje huyu virus wetu special ye hapati chanjo wala kipimo sahihi Kwa ajili ya kumpima
Miongoni mwa hizo test zake ni pamoja na kujua incubation period yake, Ila kitu cha ajabu Hadi leo hii kirusi cha hiv haijulikani incubation period yake, kuna watu wakipata maambukizi huonesha dalili baada ya miaka 7, wengine 5, wengine 3, wengine miezi Tu, wengine hawaoneshi kabisa ila ni hadi apimwe ndio atajulikana anao ila asipopima basi imetoka
Ulikuwa ni Uzi ambao jamaa kusema ukweli alijipanga sana Kwa facts kiasi kwamba madaktari wetu walimkimbia Kwa kukosa facts za kujibu hoja zake, kwahiyo ikabaki ni maneno Tu ya kutishana ohhh subiri ndugu yako aupate, ohhh subiri uupate ndio utajua kama ni kweli au sio kweli ila kiufupi madaktari walishindwa kutetea point zao ya kwamba hiv is real maana jamaa alijiandaa sana na alikuwa deep, yapo mengi ya kuandika Ila Kwa uelewa wangu mdogo siwezi kuelekeza vizuri ni vyema ungeupata ule uzi