KERO Madaktari mnapotoa appointment mgonjwa afike muda fulani nanyi pia muwe mnawahi, inakera mgonjwa anawahi daktari anafika masaa 3 baadaye

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu salama?

Hii imekuwa kero sugu hospitalini hasa upande wa serikali. Mgonjwa unaenda na shida zako dokta anakupa miadi ya kurudi siku fulani, au unanga appointment kwaajili ya mgonjwa wako na kupewa siku na muda fulani kwaajili ya huduma hiyo, siku inafika udamka mapema na unafika dk kadhaa kabla ya muda uliopangiwa lakini cha kushangaza daktari anafika masaa matatu au manne kabla!

Tunajua sisi ni binadamu na kuna dharura za hapa na pale hutoke lakini ndio dharura kila siku? Na unakuta wagonjwa wengine wana hali mbaya, lakini ndio hana namna inabidi asubiri tu.

Appointment zenu ziendane na ratiba zenu jamani, mnakwaza sana kuhusu suala hili, kama ninyi mlivyo na maisha mengine na wateja wenu pia wana maisha mengine. Fikiria umepanga kumpeleka mgojwa wako apate kipimo fulani ambacho at most ungetumia saa moja au moja na nusu unapoteza masaa matano. Madaktari mjirekebishe kwenye hili.

Nimemaliza, mjadala wa bajeti uendelee.
 
Umeongea vema,ila sidhani kama wafanya makurdi.kumtibu mgojwa hakuna muda maalumu yumkini amechelewa akimhudumia mgonhjwa mwingine.
 
Ni kweli dharura zinatokea, ila ikiwa mara nyingi inakuwa tabia Mkuu
 
Ukiwa na akili timamu na ukajionea mambo yanayofanyika kwenye hii nchi unaweza ukawa kichaa ghafla!

Ukitaka kuyafurahia maisha ya hii nchi wewe jitoe akili maana ukiwa na akili zako timamu hakika utakwazika na utaumia moyo sana kwasababu kila Idara,Kila sekta na kila taasisi zimeoza!

Ukitaka usife mapema kwa Mshituko wa moyo kwa upumbavu wa watu wa hii nchi wewe jifanye Zumbukuku!
 
Mkomoe na wewe.... Siku nyingine na wewe chelewaa, hili nae akae akusubiri
 
Wakuu salama?

Hii imekuwa kero sugu hospitalini hasa upande wa serikali. Mgonjwa unaenda na shida zako dokta anakupa miadi ya kurudi siku fulani, au unanga appointment kwaajili ya mgonjwa wako na kupewa siku na muda fulani kwaajili ya huduma hiyo, siku inafika udamka mapema na unafika dk kadhaa kabla ya muda uliopangiwa lakini cha kushangaza daktari anafika masaa matatu au manne kabla!

Tunajua sisi ni binadamu na kuna dharura za hapa na pale hutoke lakini ndio dharura kila siku? Na unakuta wagonjwa wengine wana hali mbaya, lakini ndio hana namna inabidi asubiri tu.

Appointment zenu ziendane na ratiba zenu jamani, mnakwaza sana kuhusu suala hili, kama ninyi mlivyo na maisha mengine na wateja wenu pia wana maisha mengine. Fikiria umepanga kumpeleka mgojwa wako apate kipimo fulani ambacho at most ungetumia saa moja au moja na nusu unapoteza masaa matano. Madaktari mjirekebishe kwenye hili.

Nimemaliza, mjadala wa bajeti uendelee.
Mmepeana appointment na daktari wako unakuja kulalamika huku. Umeshindwa kumwambia uso kwa uso. Huko ni kukosa kujiamini.
 
Baki kwenye mada Mkuu, na ukiandika kistarabu hakuna kitu unapungukiwa. Hata kama ingekuwa ni hivyo kweli, si kila mtu ana ujasiri wa kumwambia daktari hapo hapo, ndio maana kuna majukwaa kama haya kwaajili ya kutoa kero zetu
 
Wakuu salama?

Hii imekuwa kero sugu hospitalini hasa upande wa serikali. Mgonjwa unaenda na shida zako dokta anakupa miadi ya kurudi siku fulani, au unanga appointment kwaajili ya mgonjwa wako na kupewa siku na muda fulani kwaajili ya huduma hiyo, siku inafika udamka mapema na unafika dk kadhaa kabla ya muda uliopangiwa lakini cha kushangaza daktari anafika masaa matatu au manne kabla!

Tunajua sisi ni binadamu na kuna dharura za hapa na pale hutoke lakini ndio dharura kila siku? Na unakuta wagonjwa wengine wana hali mbaya, lakini ndio hana namna inabidi asubiri tu.

Appointment zenu ziendane na ratiba zenu jamani, mnakwaza sana kuhusu suala hili, kama ninyi mlivyo na maisha mengine na wateja wenu pia wana maisha mengine. Fikiria umepanga kumpeleka mgojwa wako apate kipimo fulani ambacho at most ungetumia saa moja au moja na nusu unapoteza masaa matano. Madaktari mjirekebishe kwenye hili.

Nimemaliza, mjadala wa bajeti uendelee.
Nikirudi shule tena natamani niwe madaktari wa wanawake na lecturer. Yani nitafaidi.
 
Hospital, taasisi za umma, halamshauri na ofisi za serikali kama una hasira za karibu wale Suma JKT wanaweza kuitwa wakutoe nje, kuna ujinga unafanywa mpaka unashangaa.
 
Hawana hata kumbukumbu ya kuwa na mgonjwa that time
 
Anayoyapitia daktari kila ck siyo ya kitoto emergency kibao, kusurubiwa kibao, shubiri ni nyingi acha kabisa harafu mmgonjwa unackrack anamuuliza maswali anakujibu najua wewe daktari unajua

Hahaha 🤣

Wagonjwa wengine siyo wagonjwa ati mgonjwa hajui anaumwa nini anakuja kwa daktari ili aambiwe anaumwa nini
 
Kufanya kikao chao cha madaktari hadi saa 4 ndiyo waanze kazi siyo tabia nzuri.
 
Wakuu salama?

Hii imekuwa kero sugu hospitalini hasa upande wa serikali. Mgonjwa unaenda na shida zako dokta anakupa miadi ya kurudi siku fulani, au unanga appointment kwaajili ya mgonjwa wako na kupewa siku na muda fulani kwaajili ya huduma hiyo, siku inafika udamka mapema na unafika dk kadhaa kabla ya muda uliopangiwa lakini cha kushangaza daktari anafika masaa matatu au manne kabla!

Tunajua sisi ni binadamu na kuna dharura za hapa na pale hutoke lakini ndio dharura kila siku? Na unakuta wagonjwa wengine wana hali mbaya, lakini ndio hana namna inabidi asubiri tu.

Appointment zenu ziendane na ratiba zenu jamani, mnakwaza sana kuhusu suala hili, kama ninyi mlivyo na maisha mengine na wateja wenu pia wana maisha mengine. Fikiria umepanga kumpeleka mgojwa wako apate kipimo fulani ambacho at most ungetumia saa moja au moja na nusu unapoteza masaa matano. Madaktari mjirekebishe kwenye hili.

Nimemaliza, mjadala wa bajeti uendelee.
hii iwafikie Benjamin Mkapa pale kitengo cha macho. Halafu Mirembe pale kwa Resident doctors. Kuna mdau kila akitoka lazima apige simu kulalamika.
 
Wakuu salama?

Hii imekuwa kero sugu hospitalini hasa upande wa serikali. Mgonjwa unaenda na shida zako dokta anakupa miadi ya kurudi siku fulani, au unanga appointment kwaajili ya mgonjwa wako na kupewa siku na muda fulani kwaajili ya huduma hiyo, siku inafika udamka mapema na unafika dk kadhaa kabla ya muda uliopangiwa lakini cha kushangaza daktari anafika masaa matatu au manne kabla!

Tunajua sisi ni binadamu na kuna dharura za hapa na pale hutoke lakini ndio dharura kila siku? Na unakuta wagonjwa wengine wana hali mbaya, lakini ndio hana namna inabidi asubiri tu.

Appointment zenu ziendane na ratiba zenu jamani, mnakwaza sana kuhusu suala hili, kama ninyi mlivyo na maisha mengine na wateja wenu pia wana maisha mengine. Fikiria umepanga kumpeleka mgojwa wako apate kipimo fulani ambacho at most ungetumia saa moja au moja na nusu unapoteza masaa matano. Madaktari mjirekebishe kwenye hili.

Nimemaliza, mjadala wa bajeti uendelee.
Mkataba na mteja
 
Back
Top Bottom