Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu salama?
Hii imekuwa kero sugu hospitalini hasa upande wa serikali. Mgonjwa unaenda na shida zako dokta anakupa miadi ya kurudi siku fulani, au unanga appointment kwaajili ya mgonjwa wako na kupewa siku na muda fulani kwaajili ya huduma hiyo, siku inafika udamka mapema na unafika dk kadhaa kabla ya muda uliopangiwa lakini cha kushangaza daktari anafika masaa matatu au manne kabla!
Tunajua sisi ni binadamu na kuna dharura za hapa na pale hutoke lakini ndio dharura kila siku? Na unakuta wagonjwa wengine wana hali mbaya, lakini ndio hana namna inabidi asubiri tu.
Appointment zenu ziendane na ratiba zenu jamani, mnakwaza sana kuhusu suala hili, kama ninyi mlivyo na maisha mengine na wateja wenu pia wana maisha mengine. Fikiria umepanga kumpeleka mgojwa wako apate kipimo fulani ambacho at most ungetumia saa moja au moja na nusu unapoteza masaa matano. Madaktari mjirekebishe kwenye hili.
Nimemaliza, mjadala wa bajeti uendelee.